Mfano tumechukua Nchi Tuanze na nani kumfukuza kwenye taasisi kubwa?

M.Rutabo

Senior Member
Apr 8, 2015
161
433
Nafamu upepo sio mzuri na mpaka muda huu Kuna people zinapumlia mashine. Mm mwaka huu ata watu wote wakatae barabarani nitaingia. Miaka 30 ya umri wangu elimu yangu unaenda kufanya interview ya kazi serikalini unawapita wote Ila wakigudua una kadi ya upinzani wanakuengua. This time around imekula kwao nasema Tena imekula kwao wafanye watakalo wengine ata baba zetu hatukuwai kuwaona tunaenda kuzeeka na hiki chama? By the way ikitokea tumechukua Nchi Tuanze na wakuu gani wa taasisi kuwagawana.
 
1. Simon Sirro
2. Jaji Mutungi
3. Hassani Abbas - Mfamaji wa Serikali
4. Ibrahim Juma
5. Wilson Mahera
6. Semitesticles Kaijage
7. Doto James
8. Jaji Feleshi
9. DPP Mganga
10. Kilaba wa TCRA

Hawa stahili yao ni gerezani na kufanyishwa kazi ngumu
 
Hamuwezi chukua nchi, kwa Chama cha Mbowe kilivyo chaweza timua wote wabakie wachache Chadema na wachaga. Mnachoweza chukua ni viti maalum tu, tena kwa kuwahonga ruzuku za chama mpaka mnavunjwa miguu.
 
Nafamu upepo sio mzuri na mpaka muda huu Kuna people zinapumlia mashine. Mm mwaka huu ata watu wote wakatae barabarani nitaingia. Miaka 30 ya umri wangu elimu yangu unaenda kufanya interview ya kazi serikalini unawapita wote Ila wakigudua una kadi ya upinzani wanakuengua. This time around imekula kwao nasema Tena imekula kwao wafanye watakalo wengine ata baba zetu hatukuwai kuwaona tunaenda kuzeeka na hiki chama? By the way ikitokea tumechukua Nchi Tuanze na wakuu gani wa taasisi kuwagawana.
Polepole aachie nafasi ya Nape na,Kinana arudi kwenye nafasi yake.
 
Mnatukosea heshima Watanzania, yaani ii nchi iongozwe na kiongozi anaye shabikia mapenzi ya jinsia mmoja!! Bado Watanzania hatujafikia huko.
Kama wewe hapa
tapatalk_1601418168188.jpeg
 
1. Simon Sirro
2. Jaji Mutungi
3. Hassani Abbas - Mfamaji wa Serikali
4. Ibrahim Juma
5. Wilson Mahera
6. Semitesticles Kaijage
7. Doto James
8. Jaji Feleshi
9. DPP Mganga

Hawa stahili yao ni gerezani na kufanyishwa kazi ngumu
Wengine watakimbia wenyewe, mfano mmoja ni Job Ndugai. Usishangae hadi sasa yuko mguu mmoja ndani mwingine nje!
 
Back
Top Bottom