Moshi kuna nini hasa mpaka kuwe na mvutano na Tundu Lissu kiasi hiki?

Fya-fyafya

Member
May 2, 2019
43
125
Binafsi sikai Moshi au niseme sikai mkoani Kilimanjaro kunakodaiwa kuwa kitovu cha upinzani hasa CHADEMA.

Hata hivyo natamani sana kufika pande hizo hata kwa kukanyaga nyayo zangu tu ndani ya ardhi hiyo ili nitimize ndoto yangu.

Mara nasikia Moshi ni mji mzuri sana na wenye maendeleo. Nasikia ni mji msafi na kila mwaka hupewa tuzo za usafi. Nasikia ukitema hata mate chini maeneo ya stand inakamatwa. Yaani nasikia hata kama ukitupa chini ganda la Big G au pipi ushadakwa🤔

Basi nami napenda na natamani sana nifike huko nijionee mwenyewe hasa vijana, akina mama, wazee, kwa waume wanafananiaje ao ikoje.

Tukiachana na hayo, Juzi, Tarehe 30 mwezi wa 9 Mgombea uraias CHADEMA unasemekana alifika kwa kuchelewa kwa mkutano. Maelfu na maelfu Wananchi wakimsubiri hadi majira ya saa moja na madakika usiku nae akalazimika kwenda kuwasalimia ndipo walipo ondoka.

Lakini kuna taarifa nyingine nazisikia kuwa kabla hajafika moshi mjini kwa mkutano alizuiliwa na maelfu ya wananchi katika maeneo aliyokuwa akipita njiani kisa cha kufika kwake too late Moshi.

Inadaiwa Moshi imefunika mapokezi ya Lissu kuzidi sehemu yoyote Lissu alikopita. Nami najiuliza huku nilishangaa kama kweli Moshi wamewazidi Bahati, Mara, Katoro du!

Ila baadae nikagundua kuwa kuwa wakazi wa Kilimanjaro kwa na Moshi ujumla walitaka kutuonesha sisi wengine kuwa wao ndio Baba Lao. Kuwa wo ndo wanachama kindakindaki na kuwa Tundu Lissu alikuwa anakaribishwa nyumbani.

Jana tarehe 01 nimesikia Lissu kuhitajika kuripoti kituo cha polisi Kilimanjaro. Inaonekana kuna kosa alitenda au alikiuka baadhi ya kanuni za maadili japo polisi wametengua wito huo.

Najiuliza: Moshi kunani? Kwanini Tundu Lissu apate changamoto huko licha ya mapokezi yenu?

Ila kiukweli wengine hutamani kukanyaga nyayo zao kwenye ardhi ya Ulaya ama Marekani, ila mimi binafsi na hamu na shauku la kufika Moshi na Arusha specifically kujionea like style ya Wachagga na maendeleo yao. Kutembea ni kujifunza.
 
Mimi sio Mchaga ila kusema kweli Wachangamka wamesimangwa Sana awamu hii na Jiwe, kiasi ikawafanywa wawe wanyonge katika nchi Yao, na pengine kukisikia hawana Haki nchi hii.

Sasa Unajua mbabe wako akipata mbabe wake wewe utamfurahia mbabe wa mnabe wako. Ndicho kinachofanyika Kilimanjaro kipindi Lissu kaenda huko.
 
Mimi sio Mchaga ila kusema kweli Wachangamka wamesimangwa Sana awamu hii na Jiwe, kiasi ikawafanywa wawe wanyonge katika nchi yao, na pengine kukisikia hawana Haki n chi hii.

Sasa Unajua mbabe wako akipata mbabe wake wewe utamfurahia mbabe wa mnabe wako.

Ndicho kinachofanyika Kilimanjaro kipindi Lissu kaenda huko.
Hahahaa Roho ya umaskini na ujina wanaona wachaga wako njema kielimu na kipesa wanadhani wao ni maskini kwa sababu ya wachaga.
 
Lete ushahidi, usije kufungiwa kuaandika humu.Chuki zenu hazitasimamisha kasi ya JPM kuwaletea wananchi maendeleo. Treni ya abiria imeondoka leo kuelekea A town kwa mara kwanza baada ya miaka 30 bila.Magufuli ni sawa na maji ya kunywa
 
Natamani uchaguzi ufanyike tarehe 5 Octoba 2020 tutoke kwenye hizi kasheshe za uchaguzi.
 
sikuepo moshi nilikuepo arusha nilikuepo baadhi ya wana ccm walibeza sana ujio wa lisu ila baada ya kuona bendera za chadema kunakuwa na kama jinamizi flani linapanda na wanaanza kuchangamka hatari huku wakipandisha vidole viwili juu hata lema watu wanampinga kabla hawajamuona ila wakimuona tu hatakama wamevaaa nguo za ccm kuna kamzuka flan kanapanda kaskazini na upinzani ni fumbo zito sana
 
Elimu ya moshi nitofauti na sehemu nyingine hatu chagui mtu kwa chama au kwa jina hvo ni mkoa mgumu sana ccm wanauogopa hivi unafahamu tangu jpm amechaguliwa 2015 amefika mara ngapi ni mara moja tu tena ilikuwa may mosi.

Hivo mtoa mada kaa ukijua watu wa moshi wanajitambua sana zaid ya sana ukisema huwaletei maendeleo wanatoka nje ya moshi wanavuta mpunga wanakuja kufanya maendeleo nyumban na ndio sehemu peke kila mwisho wa mwak lazma watu warudi wajitathimini mwaka umeisha wamefanya nn au wako wapo ni hayo tu kwa uchache.

*kuwa na Elimu sio akili ila ukiwa na akili una Elimu*
 
Propaganda za kipumbavu. Wenye akili wanaelewa nini kinafanyika.
 
Kuna uwezekano mkubwa ccm isipate hata jimbo moja kilimanjaro.

Lakini pia pamoja na yote mkoa wa Kilimanjaro haujawahi kuwa na hamasa ya uchaguzi kama mwaka huu.

Hivyo Jeshi la polisi linatumia kila nguvu kuhakikisha kuzima hilo viguvugu.

Mbeya na Mara nako hali ni hiyo hiyo lakini jeshi la polisi Mbeya na Mara wanaogopa kufanya lolote kwa sababu ya historia ya mikoa hiyo wanaweza kufanya lolote bila kuogopa chochote.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Hawataweza. Wameshashindwa kabla ya kuanza Wachaga ni kama Wahaya. Wakiamua jambo hawashindwi
 
Lete ushahidi, usije kufungiwa kuaandika humu.Chuki zenu hazitasimamisha kasi ya JPM kuwaletea wananchi maendeleo. Treni ya abiria imeondoka leo kuelekea A Town kwa mara kwanza baada ya miaka 30 bila. Magufuli ni sawa na maji ya kunywa

Ibilisi huwa hapendwi fullstop.
 
Upinzani wa kwanza kabisa hapa nchini ulianzia Moshi. Mwaka 1958 Mangi Mkuu Mareale alishaongea na Malkia Elizabeth na Moshi ikapewa uhuru wa mpito (semi autonomy). Ilibidi Nyerere awahi haraka kwa malkia na alifanikiwa kumshawishi kwamba Moshi isubiri sehemu nyingine za Tanganyika ili wapate uhuru kwa wakati mmoja.

Tangu miaka hiyo Moshi wamekuwa wakivutwa shati na kuambiwa tusubiriane hasa wakati wa Nyerere naweza kusema kila awamu walisema Moshi tusubiriane. Awamu hii ndio ilisemwa wazi tena kwa hasira na chuki kubwa "Huko mlishaendelea muwasubiri wengine.." Na kweli kwa miaka 5 jiwe amefika Moshi mara moja huku akifika Mwanza zaidi ya mara 14.

Waafrika ndivyo tulivyo tukimwona mwenzetu yuko mbele badala ya kujifunza mbinu zake tunamvuta shati. Kuna mengi sana sana mabaya waliyofanyiwa watu wa Moshi sio kwamba wana kosa ila tu kijicho hadi watu wengi wa huko hawataki hata kujulikana na wanaficha majina yao, unakuta mtu anaitwa Paul Joseph anaacha ubin/surname yake ili asije akanyimwa kazi au nafasi flani.

Kwa ujumla watu wengi wa Moshi hawapendi kujiingiza kwenye kazi za kuajiriwa za serikali au hata siasa japo unaweza kushangaa kwamba wapinzani wakubwa kama akina Mtei, Mrema, Mbatia, Mbowe, Mvungi, Kyara na wengine wengi walimpa Nyerere shida wanatoka Moshi. Kuna mengi.
Binafsi sikai Moshi au niseme sikai mkoani Kilimanjaro kunakodaiwa kuwa kitovu cha upinzani hasa CHADEMA.

Hata hivyo natamani sana kufika pande hizo hata kwa kukanyaga nyayo zangu tu ndani ya ardhi hiyo ili nitimize ndoto yangu.

Mara nasikia Moshi ni mji mzuri sana na wenye maendeleo. Nasikia ni mji msafi na kila mwaka hupewa tuzo za usafi. Nasikia ukitema hata mate chini maeneo ya stand inakamatwa. Yaani nasikia hata kama ukitupa chini ganda la Big G au pipi ushadakwa🤔

Basi nami napenda na natamani sana nifike huko nijionee mwenyewe hasa vijana, akina mama, wazee, kwa waume wanafananiaje ao ikoje.

Tukiachana na hayo, Juzi, Tarehe 30 mwezi wa 9 Mgombea uraias CHADEMA unasemekana alifika kwa kuchelewa kwa mkutano. Maelfu na maelfu Wananchi wakimsubiri hadi majira ya saa moja na madakika usiku nae akalazimika kwenda kuwasalimia ndipo walipo ondoka.

Lakini kuna taarifa nyingine nazisikia kuwa kabla hajafika moshi mjini kwa mkutano alizuiliwa na maelfu ya wananchi katika maeneo aliyokuwa akipita njiani kisa cha kufika kwake too late Moshi.

Inadaiwa Moshi imefunika mapokezi ya Lissu kuzidi sehemu yoyote Lissu alikopita. Nami najiuliza huku nilishangaa kama kweli Moshi wamewazidi Bahati, Mara, Katoro du!

Ila baadae nikagundua kuwa kuwa wakazi wa Kilimanjaro kwa na Moshi ujumla walitaka kutuonesha sisi wengine kuwa wao ndio Baba Lao. Kuwa wo ndo wanachama kindakindaki na kuwa Tundu Lissu alikuwa anakaribishwa nyumbani.

Jana tarehe 01 nimesikia Lissu kuhitajika kuripoti kituo cha polisi Kilimanjaro. Inaonekana kuna kosa alitenda au alikiuka baadhi ya kanuni za maadili japo polisi wametengua wito huo.

Najiuliza: Moshi kunani? Kwanini Tundu Lissu apate changamoto huko licha ya mapokezi yenu?

Ila kiukweli wengine hutamani kukanyaga nyayo zao kwenye ardhi ya Ulaya ama Marekani, ila mimi binafsi na hamu na shauku la kufika Moshi na Arusha specifically kujionea like style ya Wachagga na maendeleo yao. Kutembea ni kujifunza.
Mimi sio Mchaga ila kusema kweli Wachangamka wamesimangwa Sana awamu hii na Jiwe, kiasi ikawafanywa wawe wanyonge katika nchi Yao, na pengine kukisikia hawana Haki nchi hii.

Sasa Unajua mbabe wako akipata mbabe wake wewe utamfurahia mbabe wa mnabe wako. Ndicho kinachofanyika Kilimanjaro kipindi Lissu kaenda huko.
Hahahaa Roho ya umaskini na ujina wanaona wachaga wako njema kielimu na kipesa wanadhani wao ni maskini kwa sababu ya wachaga.
Lete ushahidi, usije kufungiwa kuaandika humu.Chuki zenu hazitasimamisha kasi ya JPM kuwaletea wananchi maendeleo. Treni ya abiria imeondoka leo kuelekea A town kwa mara kwanza baada ya miaka 30 bila.Magufuli ni sawa na maji ya kunywa
sikuepo moshi nilikuepo arusha nilikuepo baadhi ya wana ccm walibeza sana ujio wa lisu ila baada ya kuona bendera za chadema kunakuwa na kama jinamizi flani linapanda na wanaanza kuchangamka hatari huku wakipandisha vidole viwili juu hata lema watu wanampinga kabla hawajamuona ila wakimuona tu hatakama wamevaaa nguo za ccm kuna kamzuka flan kanapanda kaskazini na upinzani ni fumbo zito sana
Elimu ya moshi nitofauti na sehemu nyingine hatu chagui mtu kwa chama au kwa jina hvo ni mkoa mgumu sana ccm wanauogopa hivi unafahamu tangu jpm amechaguliwa 2015 amefika mara ngapi ni mara moja tu tena ilikuwa may mosi hivo mtoa mada kaa ukijua watu wa moshi wanajitambua sana zaid ya sana ukisema huwaletei maendeleo wanatoka nje ya moshi wanavuta mpunga wanakuja kufanya maendeleo nyumban na ndio sehemu peke kila mwisho wa mwak lazma watu warudi wajitathimini mwaka umeisha wamefanya nn au wako wapo ni hayo tu kwa uchache
*kuwa na Elimu sio akili ila ukiwa na akili una Elimu*
 
Upinzani wa kwanza kabisa hapa nchini ulianzia Moshi. Mwaka 1958 Mangi Mkuu Mareale alishaongea na Malkia Elizabeth na Moshi ikapewa uhuru wa mpito (semi autonomy). Ilibidi Nyerere awahi haraka kwa malkia na alifanikiwa kumshawishi kwamba Moshi isubiri sehemu nyingine za Tanganyika ili wapate uhuru kwa wakati mmoja.

Thomas marealle alichaguliwa kuwa mangi mkuu mwaka 1952 kwa kuwashinda mangi abdiel shangali, john maruma, jackson kitali, na petro marealle.

Lakini ukisoma zaidi utakuta kwamba ktk utawala wake, mangi thomas marealle, alikuwa akikabiliwa na upinzani toka kwa vijana wasomi ambao walitaka demokrasia pana zaidi ktk kuchagua kiongozi wa jamii ya wachagga.

Kwahiyo, utaona kwamba muamko wa demokrasia ulikuwepo kilimanjaro muda mrefu kabla hata ya ujio wa chama cha TANU ktk mkoa. huo.
 
Kifupi Moshi na Arusha wako vizuri kwenye uelewa wa siasa, demokrasia na uraia na wana msimamo.
 
Lete ushahidi, usije kufungiwa kuaandika humu.Chuki zenu hazitasimamisha kasi ya JPM kuwaletea wananchi maendeleo. Treni ya abiria imeondoka leo kuelekea A town kwa mara kwanza baada ya miaka 30 bila.Magufuli ni sawa na maji ya kunywa
Hiyo treni nani aliizui miaka 30?
 
Back
Top Bottom