Hivi daraja la pili pale Ubungo interchange (Barabara ya Mandela kwenda Sam Nujoma) la kazi gani?

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,744
2,000
Yani interchange ya Ubungo ni moja ya interchange mbaya kabisa duniani na najua kuwa ile inapatikana Tanzania pekee.

Sasa niulize, lile daraja la juu la kuunganisha Mwenge na Buguruni yani Sam Nujoma na Mandela road lipo kwa kazi gani? Umeenda kujenga juu halafu barabara ya chini umeua wakati kwa ile ile poor design ungeweza kutanua barabara ya chini ukapata michepuko ya pembeni kutokea barabara ya Mandela kwenda Kimara kupitia ya Morogoro vile vile ungepata straight kutoka Mandela kwenda Sam Nujoma na wanaotokea upande wa Ubungo kwenda Mwenge wangeenda kujengewa round about njia panda ya chuo kikuu.

Kwa kutumia ubunifu huu walau pangeonekana afadhali. Yale madaraja yalivyopishana pale yameonekana kituko cha aina yake.

Yani nashangaa na watanzania wanasambaza video! Tunajidhalilisha sana.

Yani kwa ufupi lile daraja la pili ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Achilia mbali ujenzi wote ni wa hovyo hovyo usiozingatia utaalam hata kidogo.
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
11,095
2,000
Yani interchange ya Ubungo ni moja ya interchange mbaya kabisa duniani na najua kuwa ile inapatikana Tanzania pekee.

Sasa niulize, lile daraja la juu la kuunganisha Mwenge na Buguruni yani Sam Nujoma na Mandela road lipo kwa kazi gani? Umeenda kujenga juu halafu barabara ya chini umeua wakati kwa ile ile poor design ungeweza kutanua barabara ya chini ukapata michepuko ya pembeni kutokea barabara ya Mandela kwenda Kimara kupitia ya Morogoro vile vile ungepata straight kutoka Mandela kwenda Sam Nujoma na wanaotokea upande wa Ubungo kwenda Mwenge wangeenda kujengewa round about njia panda ya chuo kikuu. Kwa kutumia ubunifu huu walau pangeonekana afadhali. Yale madaraja yalivyopishana pale yameonekana kituko cha aina yake.

Yani nashangaa ujinga mtupu umefanyika pale na watanzania wanasambaza video! Tunajidhalilisha sana.

Yani kwa ufupi lile daraja la pili ni upuuzi na matumizi mabaya ya fedha za umma. Achilia mbali ujenzi wote ni wa hovyo hovyo usiozingatia utaalam hata kidogo.
Mkuu tujifunze kupenda vya kwetu

Kumbuka hatuna pesa za kutosha maana asilimia kubwa ya pesa za miradi zinaliwa na maccm
 
G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,744
2,000
Mkuu tujifunze kupenda vya kwetu

Kumbuka hatuna pesa za kutosha maana asilimia kubwa ya pesa za miradi zinaliwa na maccm
Gharama ya kujenga lile daraja la pili zingetosha kabisa kutanua barabara ya ground na chenji ingebaki na muonekano ungekuwa bora. Kile kituko pale kiukweli nikiongoza nchi nitakuwa naona aibu kuwa nacho.
 
Kamukhm

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,496
2,000
Kile ni upuuzi mr. Engeneer. Sawa tumekubali

Sasa kwann usitupe the best design based on your analysis of the problem at hand!?

Kwa design ile tuna designated over pass kwa ajili ya magari yanayotoka mwenge kwenda Buguruni...na nyingine inayotoa magari Kimara kwenda mjini. Chini tuna round about inayosaidia magari kuhama kutoka sam Nujoma kwenda Morogoro road and vice versa.

Best design for the problem. Sasa sisi tumeishia hapo.. wewe utufungue tumekwama wapi ili tujifunze tusirudie.

Kuhusu ubora hili linanitisha zaidi ..kama wewe ni mtaalamuna utusaidie kabla madhara hayajatokea.. sio ingine uje useme nilisema tuambie kama tumezingua tuifunge tusije ingia kwenye majanga ya kitaifa.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nguseroh

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
1,452
2,000
Kuna muda utafika mtaanza kupinga kuwa wazazi wenu sio biological father/mother. Ukizoea kupinga kila kitu unafika sehemu kwenye Jamii unaonekana MPUMBAVU tu.
Ndio tunakubali siyo biological father and mother. Tunataka kujua the biological father of the president kwanza
 
Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
1,308
2,000
Hayo mambo mengine ya kitaalamu hata sina cha kusema, mi kuona jinsi zile lami zilivyopishana pishana, nashindwa kuelewa walishindwa kuweka level?

Unatokea Riverside kuelekea darajani, unakutana na lami imenyanyuka kama step ya ngazi, unamaliza mzunguko wa pale chini, unashuka ngazi, kabla ya kukunja kwenda chuo unapandisha ngazi, upande wa pili ni vivo hivyo, hivyo vituta tuta vya nini?

Hivi lile la juu kabisa ndo linavusha magari kutoka Riverside kwenda Survey sio? Na lile la kati linavusha kutoka Shekilango kwenda Korogwe sio? Pale chini ndio liwalo na liwe sio?

Sidhani kama WAZARAMO watachanganyikiwa wajikute Magomeni.
 
uporo wa wali ndondo

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
3,396
2,000
Yani interchange ya Ubungo ni moja ya interchange mbaya kabisa duniani na najua kuwa ile inapatikana Tanzania pekee.

Sasa niulize, lile daraja la juu la kuunganisha Mwenge na Buguruni yani Sam Nujoma na Mandela road lipo kwa kazi gani? Umeenda kujenga juu halafu barabara ya chini umeua wakati kwa ile ile poor design ungeweza kutanua barabara ya chini ukapata michepuko ya pembeni kutokea barabara ya Mandela kwenda Kimara kupitia ya Morogoro vile vile ungepata straight kutoka Mandela kwenda Sam Nujoma na wanaotokea upande wa Ubungo kwenda Mwenge wangeenda kujengewa round about njia panda ya chuo kikuu.

Kwa kutumia ubunifu huu walau pangeonekana afadhali. Yale madaraja yalivyopishana pale yameonekana kituko cha aina yake.

Yani nashangaa na watanzania wanasambaza video! Tunajidhalilisha sana.

Yani kwa ufupi lile daraja la pili ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Achilia mbali ujenzi wote ni wa hovyo hovyo usiozingatia utaalam hata kidogo.
Sema kama unataka ukapige picha darajani tusikucheke.
 
Securelens

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
311
1,000

G.Sam unavyopinga kila kitu ukifikiri ni akili umefanya wengi humu tunakupuuza sana. Yaani uzi zako ni za kupuuzwa siyo za great thinkers. Fikiria kuanza kuandika zaidi kwenye facebook na badoo. Hili jukwaa la Great Thinkers nafikiri limekuzidi. You dont think objectively. I dont intend to hurt you, but it is compelling. I have learned that while those who speak about one's miseries usually hurt, those who keep silence hurt more. Siyo kubisha kila kitu ndugu yangu Jitafakari na chukua hatua.
 
Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
6,998
2,000
Yani interchange ya Ubungo ni moja ya interchange mbaya kabisa duniani na najua kuwa ile inapatikana Tanzania pekee.

Sasa niulize, lile daraja la juu la kuunganisha Mwenge na Buguruni yani Sam Nujoma na Mandela road lipo kwa kazi gani? Umeenda kujenga juu halafu barabara ya chini umeua wakati kwa ile ile poor design ungeweza kutanua barabara ya chini ukapata michepuko ya pembeni kutokea barabara ya Mandela kwenda Kimara kupitia ya Morogoro vile vile ungepata straight kutoka Mandela kwenda Sam Nujoma na wanaotokea upande wa Ubungo kwenda Mwenge wangeenda kujengewa round about njia panda ya chuo kikuu.

Kwa kutumia ubunifu huu walau pangeonekana afadhali. Yale madaraja yalivyopishana pale yameonekana kituko cha aina yake.

Yani nashangaa na watanzania wanasambaza video! Tunajidhalilisha sana.

Yani kwa ufupi lile daraja la pili ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Achilia mbali ujenzi wote ni wa hovyo hovyo usiozingatia utaalam hata kidogo.
Mayanga construction kama kawaida au ?
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,469
2,000
Hata ingejengwa hivyo unavyosema bado ungekuja kupinga tu, sijawahi kuona unasifu kitu chochote kilichofanywa na serikali iwe chenye faida kwa taifa au hasara ww utapinga tu.
STUPID. Jibu hoja yake sio ujinga huu. Mwisho utaomba akusugue!
 
shungurui

JF-Expert Member
Sep 1, 2008
3,654
2,000
Nimekulewa sana, kweli kulikuwa hakuna haja kabisa ya kuua zile barabara za chini, ilitakiwa tu kuongeza barabara za juu na zile za zamani zikaendelea kuwepo kama kawa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom