Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini ambaye pia ni Rais wa eneo hilo Mhe. Joseph Mbilinyi , leo amefika kata ya Nsalanga kuomba kura kama sheria inavyoelekeza, pamoja na mkutano wake kuvunja...
17 Reactions
39 Replies
6K Views
Rais John Magufuli wa Tanzania amemfanyia dhifa mgeni wake Rais Lazarus Chakwera wa Malawi ambaye amewasili leo kwa ziara ya kikazi. Katika dhifa hiyo Rais Chakwera alishukuru urafiki uliopo kati...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Chama kimegawanyika vipande vipande kwa sababu ya watu hawa wawili Hawakuwahi kuwa wana CCM kabisa, wamekuja wameleta aidia za kizamani kabisa wakidhani Watanzania wako stone age. Hawa wapo...
17 Reactions
36 Replies
4K Views
Wanabodi, Baada ya figisu figusu za uchaguzi wa marudio wa madiwani, nimebahatika ya kufanya mahojiano na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Ramadhani Kailima, yaliyofanyika...
43 Reactions
581 Replies
49K Views
Ni majimbo yafuatayo: 1. Kawe 2. Mikumi 3. Iringa mjini 4. Mbeya mjini 5. Tunduma 6. Hai 7. Karatu 8. Bunda 9. Tarime mjini 10. Tarime vijijini 11. Arusha mjini Natamani kuona nguvu ya...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Leo nimepata bahati ya kusikiliza makala ya KUTOKA MAKTABA kupitia luninga ya TBC. Nimemsikiliza vizuri rip Ally Sykes akielezea namna waswahili wa Dsm walivyomuomba mwalimu Nyerere aje asaidie...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Wakuu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Jana usiku nilitembelewa na mpenzi wangu nyumbani Kwangu mtaa wa Majengo, Dodoma. Huyu mdada ni PS (Private Secretary) wa kigogo mmoja hivi wa...
39 Reactions
76 Replies
7K Views
Tulizoea watu wakidai haki wanaambiwa siyo wazalendo, huna nidhamu au ukulelewa vyema. Lakini Tundu Lissu anatufundisha umuhimu wakuelewa haki zako, umuhimu wakusimamia haki na kwamba hakuna...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
"Nikipata nafasi ya kuwa Rais, suala la changamoto kwa wakulima wa korosho kwa muda mrefu litaisha. Nitahakikisha pembejeo bora zinapatikana kwa wakati. Kupatikana kwa masoko yasioingiliwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari! Swali langu ni hilo, napenda kuelewa ni namna gani au sheria za Uchaguzi zinaruhusu kwa upande wa Bara kuweza kushiriki uchaguzi kwa kumchagua Rais katika kituo tofauti na...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Kwa members wanaoijua wilaya ya Kongwa ikiwemo CCM mtakubaliana na mimi mia kwa mia. Kwa wale ambao hamjawahi kufika huku basi pateni simulizi hapa. Nimezuru wilaya ya Kongwa leo na kujionea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Mimi niwaambieni ukweli, nimechoka kuwabembeleza ,mkiniletea madiwani na wabunge wa kutoka upande mwingine(wapinzani), siwaletei maji na huu ndiyo ukweli sipendi kuwaficha, nimechoka...
10 Reactions
21 Replies
3K Views
GWAJIMA UNAIKUMBUKA HII? NGOJA NAWE UKERWE Na, Robert Heriel Wewe uliwakera wenzako, uliwanyima mate kooni. Uliwachachafya mimbarini mbele ya waumini wako. Ulijisikia raha bila karaha. Tena...
11 Reactions
38 Replies
5K Views
Akiwa kwenye kampeni zinazoendelea ambapo ratiba ya Leo imempeleka Lindi na Ruvuma , amehutubia mkutano mkubwa sana wa kampeni Nachingwea , ambapo amewaomba wananchi wajitokeze kwa wingi kupiga...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanabodi, Niko Ubalozi wa Norway hapa jijini Dar es Salaam, ambapo serikali ya Norway, imemwaga mamilioni ya dola za Kimarekani, ambazo ni mabilioni ya shilingi za Kitanzanzania, kufadhili...
10 Reactions
83 Replies
9K Views
Moja ya sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwa na busara katika maamuzi yake. Lissu kwa mara nyingine leo amewathibitishia Watanzania kuwa ni mtu asiyekuwa na busara na anayetaka ligi bila sababu ya...
18 Reactions
118 Replies
10K Views
Katika kile ambacho Rais Magufuli huwa anakisema mara nyingi kuwa yeye ni Rais wa wanyonge na masikini ndicho kimenipa kipaumbele cha kuandika uzi huu. Ni kweli yeye ni Rais wa wanyonge na...
10 Reactions
13 Replies
2K Views
Kabla ya Tundu Lissu kupata shambulizi alionekana kama mtu anayependa sana watu na kuwasaidia waliokuwa hawana msaada na kupitia hilo alitengeneza jina miongoni mwa watanzania. Lakini baada tu ya...
17 Reactions
87 Replies
8K Views
Monday, 07 November 2011 11:56 Mwalimu Nyerere aliyeshika ngao kama ishara ya kujilinda katika mapambano. Hapo ilikuwa ni mwaka 1978 wakati akipongezwa kwa ushindi wa vita dhidi ya Idd Amin...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Ndugu wanaforum; Natumaini hamjambo na wengi wenu mnaendeleza gurudumu la kujenga taifa letu pendwa Tanzania. Pia tunamshukuru Mungu kwa kutupatia uhai na tunaweza kuanzisha threads humu, Amen...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
Back
Top Bottom