Lissu kwa mara nyingine amewathibitishia Watanzania kuwa hafai kuwa kiongozi wa nchi

Securelens

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
316
541
Moja ya sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwa na busara katika maamuzi yake. Lissu kwa mara nyingine leo amewathibitishia Watanzania kuwa ni mtu asiyekuwa na busara na anayetaka ligi bila sababu ya msingi. Mtu kama Lissu akipewa madaraka makubwa ya nchi anaweza kuingiza nchi kwenye vita visivyo na ulazima wakati wowote.

Kama angekuwa na busara hakuwa na sababu ya kukaa hapo barabarani hadi usiku na kutoka kwa aibu. Nilikuwa mahali fulani katika mazungumzo, kila aliyekuwepo alisema hafai na hafai hata kidogo kuwa hata kiongozi wa ngazi ya chini. Wanachadema poleni sana leo mmepoteza hata wale wachache waliokuwa upande wenu baada ya kuona ligi ya kitoto iliyofanywa na Lissu leo.

Mpaka Oktoba 28 mtakuwa mmepoteza wengi. Naona wengine mnajifariji kama kawaida yenu kuwa uhuni wa leo umemwongezea umaarufu. Cha kushangaza hao wanaosema hivyo ndiyo hao hao wanaolalamikia polisi. Kama kinamwongezea umaarufu msingelalamika ili apate umaarufu huo zaidi. Pengine mngeshangilia pia kesho azuiliwe ilia apate huo umaarufu tena. Yaani mnajifariji tu kwa maumivu yenu. Hata Jumuiya ya kimataifa wamemdharau na kumwona ni mhuni tu asiye na sifa ya kuwa kiongozi wa nchi.
 
Upuuzi mtupu kuwasifu polisi kwa kumzuia kwa woga mtu aliyekuwa anakwenda kwenye shughuli zake.
Umesema vyema, Lissu amefanya upuuzi mtupu leo. Bora na nyie wanachadema mmeona, Amepoteza wafuasi wengi sana kwa kitendo chake cha upuuzi wa leo. Poleni, mjaribu tena 2025
 
Endeleeni kwa mnayotaka na kujisikia.

Hakuna wa kuweza kulipa gharama ikitakiwa kuwa hivyo.
 
Huyu ndio anafaa kwa kusimamia msimamo wake anapoona ni haki. Amefanikiwa kwenda atakako na amefanya kikao chake kwa mafanikio makubwa pengine kuliko alivyotazamia. He is a man of principles.

Ila kwa vile chanzo chako cha habari ni TBC1 na Radio Uhuru huwezi kuelewa yaliyoendelea baada ya pale.
 
Mi nimemkubali amedai haki yake kwa vitendo na ameipata.
Hakuna haki aliyoipata ndugu yangu.. Wanasheria wanasema the delayed right is the denied right. Kuachiwa usiku mkubwa huu amepata haki gani na kesho anzauiliwa hadi adhabu yake iishe
 
Anawakilisha ile rangi nyekundu.. ya kwenye bendera yao..

Wengine tunacheka tu.. ni kama ako kwa dunia yake..

Chadema ilikwisha jizika zamaniii..

Washangiliaji ni mafisadi.. vyeti feki.. matapeli.. waroho.. wapenda pesa za kuiba.. wavivu.. wale hata kazini hawawezi dokoa tena..

2020 kumekucha 💚💛💚💛💚
 
😅😅😅Kumbe wewe zezeta.. umekuwaje zezeta!!! Sasa hospitali ndo.. wakakupea dawa ya kutibu chama au?😅😅😅

Halafu tupe maana ya zezeta..
CCM Chama Cha Mazezeta.
Mijitu ambayo kazi yake ni kusema ndiyo kwa Kila kitu, mijitu isiyotumia akili zao kwenye kufanya maamuzi.
Mijitu hii ndio imekaa kule bungeni kupitisha Sheria za kijinga kabisa, rejea Sheria ya madini, Sheria ya mafuta na gesi, na Sheria nyingine nyingi za ajabuajabu
 
CCM Chama Cha Mazezeta.
Mijitu ambayo kazi yake ni kusema ndiyo kwa Kila kitu, mijitu isiyotumia akili zao kwenye kufanya maamuzi.
Mijitu hii ndio imekaa kule bungeni kupitisha Sheria za kijinga kabisa, rejea Sheria ya madini, Sheria ya mafuta na gesi, na Sheria nyingine nyingi za ajabuajabu

Sasa hasira ya nini!!! Hivi umeguswa kutumbuliwa nini 2015-2020? 😅😅😅😅

Maana sioni bado sababu uwaite mazezeta.. huku wewe ushasema zezeta.. na uzezeta naamini ni.. kwa kuwa mufuasi wa mulio na khali moja..

Bujibuji kutoka kujaribu ndumba uliandika humu..kufanya mengi.. 😅😅😅😅.. ati upo na kutaka pesa.. ukabebwa tu.. unafungiwa kwa chumba.. sasa wewe kama sio muvivu ni nini!!! Ulitaka JPM akuletee chakula kwa nyumba yako!!!😅😅😅

Jaribu lingine.. hata wapinzani walikuwa bungeni.. miaka mitano.. walisubiri JPM kafanyaje waongee.. walikwenda kupokea pesa tu.. wananchi sio nambari moja kwao.. wala maendeleo..

Anzeni kulia..
 
CCM Chama Cha Mazezeta.
Mijitu ambayo kazi yake ni kusema ndiyo kwa Kila kitu, mijitu isiyotumia akili zao kwenye kufanya maamuzi.
Mijitu hii ndio imekaa kule bungeni kupitisha Sheria za kijinga kabisa, rejea Sheria ya madini, Sheria ya mafuta na gesi, na Sheria nyingine nyingi za ajabuajabu
Sheria ya madini ina ubaya gani ndugu yangu. Be honest
 
Back
Top Bottom