Watanzania tarehe 28 mwezi huu ndio siku ya kufanya maamuzi ya msingi, lakini pia ndio siku ya kuadhibu wanasiasa ambao wanaojali matumbo yao tu, sio wananchi.
Fikiria muuza kahawa, mama ntilie...
Afisa Habari msaidizi wa ACT Wazalendo , Dotto C. Rangimoto amefikishwa mahakama ya Kisutu kwa tuhuma ya kusambaza maudhui ya ngono kwenye mtandao wa Twitter akitumia jina la James Michael...
Leo Tarehe 07/10/2020
Mheshimiwa Boniface Jacob
anatarajia kuendeleza Kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo katika Kata ya Makuburi.
Muda ni Kuanzia
Saa 8:00 Mchana, Mtaa wa Kibangu viwanja...
Nakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona.
Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia.
Kila mtu...
*WAPINZANI WALITAKA MABADILIKO BILA KUBADILIKA* Fuatana nami *Joseph Yona*
Maendeleo ya nchi yeyote huletwa na kikundi cha watu wachache au mtu mmoja kwa niaba ya watu wengine.
Mfano maendeleo ya...
Poleni sana na uchovu wa jioni
Uchaguzi huu,ilikuwa inatosha sana kwa Rais Magufuli (Mola amuongoze njia ya sawa na ampe maisha mema) apewe nafasi ya kuendelea kwa awamu ya pili, kwa yeye...
Kama kichwa ha habari kinavojieleza hapo juu, msaada tafadhali.
Tunaeleka mwaka wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge pamoja na madiwani. Ipo haja sasa kwa Watanzania kukaa na kupima licha ya kwamba...
Tanzania ni taifa ambalo uchumi wake umeonekana ukikua kwa kasi sana na hii ni kutokana na uwepo wa serikali yenye viongozi imara. Ni dhahiri kuwa serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt. John...
Baada ya mapema leo polisi kuzuia msafara wa Tundu Lissu eneo la Kiluvya, hatimae wameondoka na kuacha uendelee na safari na Lissu amesema ataendelea na safari yake kama ilivyopangwa na atakutana...
Mkurugenzi wa uchaguzi katika Tume ya Uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.
Dkt. Mahera amesema Tume yake...
NEC isipomuegua Tundu Lissu, ni go-ahead ya kuipoteza CCM Zanzibar. Je, muungano utasalimika?
Na, Robert Heriel
Jambo kubwa linaloendelea katika vichwa vya wafuatiliaji wa masuala ya kisiasa ni...
Jana Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, ndugu Zitto Zuberi Kabwe, alipata ajali mbaya ya gari baada ya gari la Mgombea Ubunge kuigonga gari yake kwa nyuma. Mungu ni mwema, Zitto pamoja na...
Mgombea ubunge wa jimbo la Sengerema alivyokuwa kwenye mkutano katika kijiji cha Mchangani kasema changamoto zingine atazimaliza kwa pesa yake mwenyewe, kwa kuanzia atatoa mifuko 200 ya saruji...
Jiji la Mwanza latoa Tsh. bilioni 2.75, uchaguzi Nyamagana CCM kupeta
Serikali imetumia zaidi ya Tsh. Bilioni mbili (2) kuwawezesha kiuchumi wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika...
Rais wetu ni mtu mwenye utu ni mtu wa watu na mkristo halisi leo amepigia simu Zitto Kabwe aliyepata ajali hapo jana na kumtakia maendeleo mema apone haraka aje wajenge nchi.
Pia rais...
Na Mackdeo shilinde
Wana-Ubungo nawasalimu kwa jina la Yesu kristu wa Nazareth na Mtume Muhammad (SAW).
Binafsi Ni miongoni wa vijana ambao tunafatilia kwa umakini wa hali ya juu, siasa na...
Tukiwa tumebakiwa na wiki tatu tu Watanzania tupige kura kuchagua Rais, wabunge na madiwani.
Licha ya kuwa na wagombea 15 wa kiti cha Rais lakini mpaka sasa wenye nguvu ya ushawishi ni kutoka...
Nikiwa kama mwananchi mzalendo, nimetafakari sana athari tutakazozipata kutokana na ahadi zinazotolewa katika majukwaa ya siasa hasa katika kipindi hichi cha kampeni.
Baadhi ya wanasiasa...
Hii ndio CV (curriculum vitae) ya kamanda Tundu Lissu
Full Name: Tundu Antiphas Mughwai Lissu
Member Type: Elected Member
Constituent: Singida Mashariki
Political Party: Chama cha Demokrasia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.