Kumbe hata Vigogo wa Serikali ya CCM wanafuatilia harakati za Tundu Lissu

Ben Bella

JF-Expert Member
Dec 3, 2019
519
1,000
Wakuu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Jana usiku nilitembelewa na mpenzi wangu nyumbani Kwangu mtaa wa Majengo, Dodoma.
Huyu mdada ni PS (Private Secretary) wa kigogo mmoja hivi wa wizara nyeti ya serikali hapa jijini Dodoma.

Wakati tumengia kitandani, akaanza kunisimulia stori ya kufurahisha sana ambayo imetokea hivi majuzi tu hapo ofisini kwao.

Stori yenyewe ilikuwa hivi;
Yeye (mpenzi wangu) alikuwa anampelekea boss wake (top official) wa wizara mafaili kadhaa ambayo ilibidi yasainiwe.
Alipofika ofisini kwa huyo kigogo alisukuma mlango akaingia ndani. Alimkuta boss wake yuko busy na simu ya mkononi akiwa anaangalia video.

Yule dada (PS) alinyooka direct hadi kwenye meza ya boss kitendo ambacho kilimshtua yule kigogo na kusababisha aiweke pembeni ile simu ili yule dada asiweze kuiona ile video. Kwa bahati mbaya hakuweza kuzima sauti mara moja na ndipo yule mpenzi wangu alipogundua kwamba sauti iliyokuwa inasikika toka kwenye huyo simu ilikuwa ni ya Tundu Lissu.

Aliweka mafaili mezani na kuondoka hapo ofisini haraka sana. Aliniambia kwamba hakuwa amemsimulia mtu yeyote isipokuwa mimi.

Nilistaajabu sana ila nilijifunza kwamba kumbe kuna vigogo wa serikali wanaofuatilia harakati za wagombea wa upinzani kama Tundu Lissu.
 
Ben Bella

JF-Expert Member
Dec 3, 2019
519
1,000
Mkuu mbona umepanic? Hii ni stori niliyosimuliwa na demu wangu tu.
Usinichukie bure mkuu.
Cha ajabu ni nini? chadema ni Chama kikuu cha Upinzani nchini hivyo hata wangesimamisha Sokwe angefwatiliwa pia.

Low IQ!
 
Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,563
2,000
Wakuu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Jana usiku nilitembelewa na mpenzi wangu nyumbani Kwangu mtaa wa Majengo, Dodoma.
Huyu mdada ni PS (Private Secretary) wa kigogo mmoja hivi wa wizara nyeti ya serikali hapa jijini Dodoma.

Wakati tumengia kitandani, akaanza kunisimulia stori ya kufurahisha sana ambayo imetokea hivi majuzi tu hapo ofisini kwao.

Stori yenyewe ilikuwa hivi;
Yeye (mpenzi wangu) alikuwa anampelekea boss wake (top official) wa wizara mafaili kadhaa ambayo ilibidi yasainiwe.
Alipofika ofisini kwa huyo kigogo alisukuma mlango akaingia ndani. Alimkuta boss wake yuko busy na simu ya mkononi akiwa anaangalia video.

Yule dada (PS) alinyooka direct hadi kwenye meza ya boss kitendo ambacho kilimshtua yule kigogo na kusababisha aiweke pembeni ile simu ili yule dada asiweze kuiona ile video. Kwa bahati mbaya hakuweza kuzima sauti mara moja na ndipo yule mpenzi wangu alipogundua kwamba sauti iliyokuwa inasikika toka kwenye huyo simu ilikuwa ni ya Tundu Lissu.

Aliweka mafaili mezani na kuondoka hapo ofisini haraka sana. Aliniambia kwamba hakuwa amemsimulia mtu yeyote isipokuwa mimi.

Nilistaajabu sana ila nilijifunza kwamba kumbe kuna vigogo wa serikali wanaofuatilia harakati za wagombea wa upinzani kama Tundu Lissu.
Sio kwamba wanafuatilia tu , wanaomba sana Magufuri ashindwe .
 
dikteta2020

JF-Expert Member
Aug 14, 2018
591
1,000
Angalia hiyo uone wanavyomfuatilia. Yani Dar Mpya kwa sasa ni mtandao maarufu kuliko wowote ule kutokana na mambo ya Tundu Lissu. Jamaa anaangaliwa yani hapo ni mkutano wa ndani wa chama tu.
20201007_160653.jpg
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,361
2,000
Wakuu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Jana usiku nilitembelewa na mpenzi wangu nyumbani Kwangu mtaa wa Majengo, Dodoma.
Huyu mdada ni PS (Private Secretary) wa kigogo mmoja hivi wa wizara nyeti ya serikali hapa jijini Dodoma.

Wakati tumengia kitandani, akaanza kunisimulia stori ya kufurahisha sana ambayo imetokea hivi majuzi tu hapo ofisini kwao.

Stori yenyewe ilikuwa hivi;
Yeye (mpenzi wangu) alikuwa anampelekea boss wake (top official) wa wizara mafaili kadhaa ambayo ilibidi yasainiwe.
Alipofika ofisini kwa huyo kigogo alisukuma mlango akaingia ndani. Alimkuta boss wake yuko busy na simu ya mkononi akiwa anaangalia video.

Yule dada (PS) alinyooka direct hadi kwenye meza ya boss kitendo ambacho kilimshtua yule kigogo na kusababisha aiweke pembeni ile simu ili yule dada asiweze kuiona ile video. Kwa bahati mbaya hakuweza kuzima sauti mara moja na ndipo yule mpenzi wangu alipogundua kwamba sauti iliyokuwa inasikika toka kwenye huyo simu ilikuwa ni ya Tundu Lissu.

Aliweka mafaili mezani na kuondoka hapo ofisini haraka sana. Aliniambia kwamba hakuwa amemsimulia mtu yeyote isipokuwa mimi.

Nilistaajabu sana ila nilijifunza kwamba kumbe kuna vigogo wa serikali wanaofuatilia harakati za wagombea wa upinzani kama Tundu Lissu.
La Msingi hapa na kwa Kiufupi sana tu ulitaka 'Kujimwambafai' Kwetu kuwa 'Unabandua' Demu wa Wizara Nyeti Serikalini mengine ni Nyongeza tu.
 
Ben Bella

JF-Expert Member
Dec 3, 2019
519
1,000
Hapana mkuu, lengo langu sio hilo bali nilitaka ku-share nanyi hii stori ya kuvutia.
La Msingi hapa na kwa Kiufupi sana tu ulitaka 'Kujimwambafai' Kwetu kuwa 'Unabandua' Demu wa Wizara Nyeti Serikalini mengine ni Nyongeza tu.
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
6,424
2,000
Kwa hiyo huyo demu wako ana mazoea ya kuchungulia simu ya bosi, kamata mwizi meeen!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom