Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuptia SAU, Muttamega Mgaywa, amesema kama atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, atakuwa mstari wa mbele kulinda amani iliyopo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Shilatu, E.J Matendo anayoyafanya Mgombea anayeitwa Tundu Lissu si mapya, yalikuwepo na waliyoyafanya waliishiwa kupata kichapo kikali. Ngoja nimkumbushe kidogo. Kama suala la wafuasi na...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Binafsi sijawahi kulipenda Jeshi la Polisi kutokana na kuendesha Mambo yake kiupendeleo. Lakini tangu zoezi hili la Uchaguzi lianze Jeshi la Polisi limekuwa tofauti kabisa na chaguzi za nyuma...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Sina hakika kama CHADEMA kina wazee wanaoweza kukosoa viongozi pale wanapokengeuka. Mzee Edwin Mtei aliweza kumkemea Tundu Lissu wakati wa mchakato wa katiba pale alipomshambulia Mwalimu Nyerere...
14 Reactions
137 Replies
10K Views
LISSU; KIBURI SI MAUNGWANA!! Imeandikwa, kiburi si maungwana na mtoto mkaidi hawezi kufaidi hadi siku ya Iddi. Tundu Lissu anaingia ktk kundi hili kwa kushauriwa vibaya au kukaidi ushauri mzuri...
6 Reactions
66 Replies
6K Views
Hakuna asie jua kua kilicho ipandisha CDM na kufikia hapa ilipo ni kashfa za ufisadi. Walituimbia Ufisadi 2005 wananchi hatukuwaelewa vizuri. Wakatuimbia tena wimbo huu 2010 wananchi...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Moja ya sababu ya msingi ambayo TFF kwa kujua au kutojua kuhairisha mechi ya yanga na Simba kuelekea UCHAGUZI imesaidia Sana kuja kutumika kutunishiana kifua kwa wagombea wa Uraisi. Kwa bahati...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama Je, isingewezekana mkutano wa CHADEMA Kibaha na Mlandizi...
1 Reactions
74 Replies
7K Views
Mfululizo wa marais wa nchi jirani wanaokuja kutembelea Tanzania, kipindi hiki cha kampeni una lengo la kumpigia kampeni Magufuli? Ukianzia kwa Rais wa Uganda, ukaja kwa Rais wa Burundi na sasa...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Watanzania tar 28 mwezi huu ndio siku ya kufanya maamuzi ya msingi,lakini pia ndio siku ya kuadhibu wanasiasa ambao wanaojali matumbo yao tu,sio wananchi. Fikiria muuza kahawa,mama...
6 Reactions
72 Replies
5K Views
Mgombea mwenza wa urais wa Tundu Lissu kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Salumu Mwalimu amemtaka Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa Mh. Nyahuza kutoingilia masuala ya ndani ya vyama. Mwalimu...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Katika kile kilichoonekana watu kususa hotuba ya mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi Zanzibar. Watu wakiwa wamevalia nguo zenye nembo ya CCM walionekana wakitoka huku mgombea huyo akiendelea...
32 Reactions
86 Replies
13K Views
Na Bwanku M Bwanku Dirisha la kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani limefunguliwa na tayali vyama mbalimbali vya siasa vimeanza kazi ya kupita maeneo mbalimbali ya...
10 Reactions
102 Replies
8K Views
Mwenyekiti wa Chama cha United Democratic Party (UDP), John Cheyo amewaomba wananchi wa Jimbo la Itilima, kumpigia kura mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli kwa kuwa...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninaomba kwa wafuatiliaji wa mambo watuwekee hapa rekodi ya matukio ya mgombea wetu Tundu Lissu akiongoza vita dhidi ya rushwa na wala rushwa hapa nchini iwe...
0 Reactions
6 Replies
836 Views
Wanabodi kuna watu walazimisha ukweli uwe uongo na uongo uwe ukweli, Lakini wanasema hata vitabu vya dini vinasema mahali popote ulipo ukweli ndipo nuru ilipo. Sasa nauliza hivi kuna watu bado...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Chama cha Maaskofu na Wachungaji (TPA) kimeiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kusimamia Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, kwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo ili haki itendeke. Kimesema...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
*Does it make any sense?* Kuhusu Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Na TUNDU Lissu 16.09.2020 Mbeya. Andiko hili limetolewa kama ufafanuzi malalamiko ya CCM juu ya hoja za Uhuru, Haki na...
10 Reactions
15 Replies
2K Views
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Kiongozi huyo wa Chama cha ACT-Wazalendo ameandika: "Ninaendelea vizuri. Ilikuwa ajali mbaya sana. Namshukuru Allah kwa kutuponya. Shukran Wahudumu wa Kituo cha...
4 Reactions
49 Replies
5K Views
Nimejiuliza sana jinsi Mh. Tundu Lissu alivyobobea na kuwa nguli wa sheria. Wengi tunafahamu namna anavyoweza kuchambua suala lolote kisheria, kwa hoja nzito na hatua kwa hatua na namna alivyoweza...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Back
Top Bottom