Uchaguzi 2020 Lissu hana jipya, kama suala la wafuasi na mashabiki walikuwepo Mrema, Slaa na Lowassa

wandamba

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
510
839
Na Shilatu, E.J

Matendo anayoyafanya Mgombea anayeitwa Tundu Lissu si mapya, yalikuwepo na waliyoyafanya waliishiwa kupata kichapo kikali.

Ngoja nimkumbushe kidogo. Kama suala la wafuasi na mashabiki walikuwepo Augustine Mrema akachapwa na Hayati Benjamin Mkapa; Alikuwepo Dk. Slaa akachapwa na Dk. Jakaya Kikwete; Alikuwepo Edward Lowassa mwaka 2015 aliyekuwa na mafuriko ya Watu akachapwa na Dk. John Pombe Magufuli. Hivyo Lissu asidanganywe na anayoyaona kichapo chake kipo pale pale.

Kama suala la kupondwa na uwongo kusemwa Wagombea wa upinzani walishapayuka sana kwa takribani miaka 28 lakini kichapo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kipo pale pale siku zote.

Kama suala ni kwenda Sokoni, mwaka 2015 Lowassa alienda masokoni ya Tandika na Kariakoo mpaka akanywa maji ya kufunga almaarufu maji ya Kandoro lakini bado kichapo akachezea. Lissu naye ajiandae kichapo kikali, maana hana jipya la ziada.

Kama ni kupanda mwendo kasi, Lowassa naye alipanda daladala lakini haikumsaidia kwani kichapo alichezea. Lissu hata apande Farasi nini mwendo kasi bado kichapo kipo pale pale.

Narudia tena kusema anayoyafanya Lissu si mapya kwenye ulimwengu wa sanaa za kisiasa kwani atavuna kichapo kikali maana anapita mule mule wenzake walipocharazwa, walio karibu nae wamueleze ukweli utakaomuandaa kisaikolojia ya kichapo kikali.

*Shilatu, E.J*
 
Lissu anajua ameshashindwa anachofanya ni kutafuta watu wa kuwatupia lawama za kushindwa kwa aibu. Vyombo husika vinatakiwa kumuachia aendelee kuzurura, ameshjipaka kinyesi anatafuta mtu wa kumvamia wanuke wote. Muacheni aendelee na futuhi shughuli imeshakwisha.
 
NEC = Police = CCM = Magufuli
Wote wanapigishwa kwata za nguvu kutoka kwa jemedali "Hon Tundu Lissu".
JamiiForums-465903546.jpg
 
Lisu anajua amesha shindwa anachofanya ni kutafuta watu wa kuwatupia Lawama za kushindwa kwa aibu. Vyombo husika vinatakiwa kumwachia aendelee kuzurura ameshjipaka kinyesi anatafuta mtu wa ku mvamia wanuke wote. Mwacheni aendelee na futuhi shughuli imesha kwisha.
Utabiri koko huu! umejuaje kama kashindwa? Au weye ni Mganga wa kienyeji?
 
Mashabiki wa watekaji, watoa ahadi za uongo, wala rambirambi, wadhalilisha wanawake... mnajiona kuwa mna daraja lenu la pekee! PoliCCM inawapa kiburi.
 
CCM na makuwadi wake mna Shida sana kama mnajua Lissu kesha shindwa kama mnavyo dai kwanini muhangaike kufungua nyuzi humu kumzungumzia yeye?

Je, kama ni kweli Lissu si lolote mbona baba yenu Magu anatumia Polisi kumdhibiti jamaa? Ina maana nyie ni mbumbumbu hamlioni hilo?

Jitahidini kuficha Ujinga mlonao japo kidogo !! Kwanini msimuongelee Lipumba mnayeona ni tishio kuliko Lissu?

BIBLIA INASEMA:
"Mwenye kutawala akisikiliza uongo; Basi watumishi wake wote watakuwa waovu."
Mithali 29 :12
 
Lissu kwa sasa ndio kila kitu kwenye siasa za Tanzania. Usimpomsema kwa mazuri basi utatafuta namna ya kumsema vibaya. CCM, Polisi na NEC kwa sasa wameunda hadi ushirikiano rasmi wa kupambana na Lissu.
 
Endapo Dkt.Slaa hakupita kuwa rais Wa Tanzania.

Nilikata tamaa kama ipo siku chadema wanaweza ongoza nchi hii.

Na Slaa baadae alikuja kulitambua hili..akawakimbia kwa kauli nzito.

Lowassa pia kawakimbia.

Tundu Lissu ndio anakiua chama kabisa.
 
Lisu anajua amesha shindwa anachofanya ni kutafuta watu wa kuwatupia Lawama za kushindwa kwa aibu. Vyombo husika vinatakiwa kumwachia aendelee kuzurura ameshjipaka kinyesi anatafuta mtu wa ku mvamia wanuke wote. Mwacheni aendelee na futuhi shughuli imesha kwisha.
Kajifunze kuandika kwanza mpuuzi weee hivi nyie misukuma mlitapikwa?
 
Endapo Dkt.Slaa hakupita kuwa rais Wa Tanzania.

Nilikata tamaa kama ipo siku chadema wanaweza ongoza nchi hii.

Na Slaa baadae alikuja kulitambua hili..akawakimbia kwa kauli nzito.

Lowassa pia kawakimbia.

Tundu Lissu ndio anakiua chama kabisa.
Sawa binti wa kisukuma
 
UVCCM mme anza kufanya kazi yenu naona mme kuja kwa kasi sana na nyuzi zinazo endana tumieni vizuri izo buku 7
 
Katibu tarafa ameleta pumba kwa mara nyingine.
Mwenye video ya Zitto akimpasua Meko live pale kijijini Mihambwe kwa huyu katibu aiweke hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom