Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,326
- 10,943
Hakuna asie jua kua kilicho ipandisha CDM na kufikia hapa ilipo ni kashfa za ufisadi. Walituimbia Ufisadi 2005 wananchi hatukuwaelewa vizuri.
Wakatuimbia tena wimbo huu 2010 wananchi tukawasikia na kuipenda nyimbo yao hiyo iliyo chini ya waimbaji mahiri kama Zito kabwe na Dr. Slaa, chini ya muandaaji wao Mbowe.
Leo ni 2015 wimbo huo umechuja na haunogi tena.
Kwanza waimbaji wale wametoswa na muandaaji /mwenye bendi. Yani wameonekana sauti zao hazifai tena kuimba wimbo ule.
Alicho fanya mwenye bendi ni kumchukua yule alie beba jina la wimbo na kumpa bendi atunge chochote awezacho.
Swali langu je CDM watakuja na song gani litakalo bamba kampeni hii!?