Uchaguzi 2020 CCM kilikuwa chama pendwa ila kwa sasa naona wengi wamekuwa na wasiwasi nacho

Reykijaviki

JF-Expert Member
Aug 25, 2020
426
652
Wanabodi kuna watu walazimisha ukweli uwe uongo na uongo uwe ukweli, Lakini wanasema hata vitabu vya dini vinasema mahali popote ulipo ukweli ndipo nuru ilipo. Sasa nauliza hivi kuna watu bado wanaamini kabisa Chama cha Mapinduzi kinapendwa?

Kinachopendwa sasa hivi ni kulinda matumbo yao mfano wagombea ubunge wengi wa CCM wanalinda matumbo yao na sio kweli kwamba wanakipenda chama chao kwa dhati.

Ila upande wa pili wananchi wameamua kukichukia kwa dhati ili kuondokana na neno"KULIMIA KWA MENO" tafsiri inayotolewa kimakosa eti mafisadi ndio yanalimia meno kumbe watu wananyang'anywa haki zao, Uhuru wao, na maendeleo yao.

Watu ambao hawajui hata maana ya neno ufisadi katika maisha yao. Mfano Waalimu, maaskari, wakulima ( att.mikoa ya kusini), wafanya biashara mfani yule jamaa wa bureau de change wa Tanga aliyenyang'anywa pesa zake kwa kuporwa na Serikali,na wengine wengi, Sasa swali langu nauliza je kuna watu bado wanaamini kwa dhati kabisa kwamba CCM bado inapendwa?
 
Dikteta Uchwara Ameharibu kila kitu.
Hakuna mwana CCM anayependa utekaji.
Hakuna mwana CCM anayependa watu kuuwawa.
Hakuna mwana CCM anayependa Lissu kushambuliwa.
Hakuna mwana CCM anayependa vijana wanakosa ajira.
Hakuna mwana CCM anayependa ukandamzwaj wa Vyombo vya habari.
Hakuna mwana Ccm anayependa kununua wabunge wa upinzani.

Na mengineyo mengi alyoyaanzisha Jiwe.
 
Hahaha CCM haijawahi kupendwa, watanzania walilazimishwa kuikubali.

Chama kiliposhika hatamu ilikuwa ni lazima kuwa mwana CCM.

Kumbuka Magufuli alisema serikali ya CCM popote ulipo unatekeleza ilani ya CCM , hutaki tupishe. Tungefanyaje na tunafamilia zinatutegemea?!

Sasa tumeamua October 28 ni kuiondoa ccm, kura zote kwa CHADEMA.
 
Dikteta Uchwara Ameharibu kila kitu.
Hakuna mwana CCM anayependa utekaji.
Hakuna mwana CCM anayependa watu kuuwawa.
Hakuna mwana CCM anayependa Lissu kushambuliwa.
Hakuna mwana CCM anayependa vijana wanakosa ajira.
Hakuna mwana CCM anayependa ukandamzwaj wa Vyombo vya habari.
Hakuna mwana Ccm anayependa kununua wabunge wa upinzani.

Na mengineyo mengi alyoyaanzisha Jiwe.
Hawa wanaolipwa buku 7 kukutetea wanayapenda hayo ndiomana wanakesha mitandaoni kukitetea bila kuwa na hoja😂😂
 
Dikteta Uchwara Ameharibu kila kitu.
Hakuna mwana CCM anayependa utekaji.
Hakuna mwana CCM anayependa watu kuuwawa.
Hakuna mwana CCM anayependa Lissu kushambuliwa.
Hakuna mwana CCM anayependa vijana wanakosa ajira.
Hakuna mwana CCM anayependa ukandamzwaj wa Vyombo vya habari.
Hakuna mwana Ccm anayependa kununua wabunge wa upinzani.

Na mengineyo mengi alyoyaanzisha Jiwe.
Mkuu mbona watu hasahasa wana Ccm wanasema Ccm imeleta maendeleo! Wenyewe wanasema " Jpm mitano tena! Sasa sijajua mitano tena ya neema au mitano tena ya dhiki!?
 
Back
Top Bottom