Tundu Lissu asipopita katika Uchaguzi huu, lazima apate ukakasi

Best Daddy

JF-Expert Member
Apr 2, 2019
759
1,283
Salamu (Maendeleo Hayana Chama)

Nimekuwa mfuatiliaji kindaki ndaki wa Uchaguzi huu wa Twenty-twenty kwa kila Mgombea anaewania kiti hiki pendwa cha Urais(Hii ofisi imeonekana kila mtu anaitamani,nje ya maendeleo ya nchi|watanzania pia kuna sababu binafsi upande wao).

Baada ya kuatilia nimegundua Tundu Lissu kufikia sasa amejipa assurance kwa 100% kuwa Tarehe 28.10.2020 , mwananchi yeyote wa kawaida atakae piga kura basi atatoa Alama ya ndiyo katika jina lake. Hii kusema itamuwezesha kushinda katika Uchaguzi huu.

Haya Matumaini ya 100% kushinda yametokana;

1.Kujaza katika kampeni zake bila kutumia wasanii au Wali(Zawadi yeyote ile). Ameamini ya kuwa kwa yeyote alie pale yupo kwa ajili yake na atampaka kura.

Ingawa hatambui, kuna wengine wapo pale kutaka kujua Tundu Lissu yupo vipi (Kumshangaa tu) na kura ni siri ya mtu binafsi.

2.nMatangazo Mtandaoni (Naita Matangazo kwa sababu binafsi, llakini watu Mtandaoni wanajaribu kukuza na Kudogodesha Mambo).

- Kukuza Mazuri ya Tundu Lissu

- Kudogodesha mazuri ya Magufuli (wakati mabaya yanakuzwa)
N.k

Tatizo Litakuja pale endapo Tundu Lissu atashindwa katika Uchaguzi huu.Hii suprise kwake Lazima ataona kadhurumiwa/kaonewa/Hastahili kushindwa.

Na sina Imani kama atakuwa na kifua cha kuyapokea haya Matokeo ya kushindwa hata kama kura ni siri ya mtu.

Japokuwa hata upande wa JPM percentage yake ya kushinda kwa kishindo ishaanza kupotea kichwani Mwake.
 
Lini CCM imewahi kushinda kwenye sanduku la kura...
 
Lini CHADEMA walishaongoza nchi tangu Kuanzishwa kwa Mfumo vyama Vingi??
 
Na yule mwingine anayetembea na wasanii zaidi ya 200 mithili ya tamasha la Tigo Fiesta anadhani wananchi wanafuata sera ama kuwashangaa akina King Kiba na kuserebuka na burudani ya bure!?

Siku moja mwambieni Meko awaweke pembeni akina Diamond then aende kwenye kampeni kama afanyavyo Lissu halafu tuone kama watahudhuria hata watu kumi ukimuondoa Chakubanga na yule mla sumu (Mangula)
 
Salamu (Maendeleo Hayana Chama)

Nimekuwa mfuatiliaji kindaki ndaki wa Uchaguzi huu wa Twenty-twenty kwa kila Mgombea anaewania kiti hiki pendwa cha Urais(Hii ofisi imeonekana kila mtu anaitamani,nje ya maendeleo ya nchi|watanzania pia kuna sababu binafsi upande wao).

Baada ya kuatilia nimegundua Tundu Lissu kufikia sasa amejipa assurance kwa 100% kuwa Tarehe 28.10.2020 , mwananchi yeyote wa kawaida atakae piga kura basi atatoa Alama ya ndiyo katika jina lake. Hii kusema itamuwezesha kushinda katika Uchaguzi huu.

Haya Matumaini ya 100% kushinda yametokana;

1.Kujaza katika kampeni zake bila kutumia wasanii au Wali(Zawadi yeyote ile). Ameamini ya kuwa kwa yeyote alie pale yupo kwa ajili yake na atampaka kura.

Ingawa hatambui, kuna wengine wapo pale kutaka kujua Tundu Lissu yupo vipi (Kumshangaa tu) na kura ni siri ya mtu binafsi.

2.nMatangazo Mtandaoni (Naita Matangazo kwa sababu binafsi, llakini watu Mtandaoni wanajaribu kukuza na Kudogodesha Mambo).

- Kukuza Mazuri ya Tundu Lissu

- Kudogodesha mazuri ya Magufuli (wakati mabaya yanakuzwa)
N.k

Tatizo Litakuja pale endapo Tundu Lissu atashindwa katika Uchaguzi huu.Hii suprise kwake Lazima ataona kadhurumiwa/kaonewa/Hastahili kushindwa.

Na sina Imani kama atakuwa na kifua cha kuyapokea haya Matokeo ya kushindwa hata kama kura ni siri ya mtu.

Japokuwa hata upande wa JPM percentage yake ya kushinda kwa kishindo ishaanza kupotea kichwani Mwake.
Kama kuna mtu anadhani tundu anaweza kushinda atakuwa na mtindio wa ubongo
 
Back
Top Bottom