Aug. 2015. Akizungumza na vyombo vya habari jijini, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Assah Mwambene alisema Serikali hakitatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kuutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili...
Greetings,
Nimetafakari kwa kirefu suala hili na nikaguswa zaidi na kutoweka ghafla kwa rafiki yangu. Nimeona ni vyema sana tukumbushane haya kwa Wagombea wa vyama vyote.
Moja, hakikisha...
NICHAGUENI OKTOBA 28, NIWE RAIS ILI NISIMAMIA MAENDELEO YA KIUCHUMI NCHINI "PROF.LIPUMBA"
TANGA- MKINGA
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa...
Baada ya kuishiwa hoja mmekuja na slogan kwamba maendeleo ya vitu hayana maana
Kwamba ndege zilizonunuliwa hazina maana, mkasahau kuwa ndugu zetu walipokwama India tuliwafuata na Ndege yetu...
Malalamiko yaliyofikishwa kwenye tume ya maadili ya uchaguzi ni pamoja na kumuita Gwajima kuwa ni Chokoraa, aidha ametoa madai yasiyoweza kuthibitika ni kudai kuwa mchungaji Gwajima anatembea na...
Uteuzi wa Mrisho Gambo Jimbo la Arusha umepokewa kwa mitazamo Tofauti ukizingatia kwamba siku Rais John Mgufuli akimtumbua ukuu wa Mkoa huo watu wengi walifurahia na kuonekana wakimwaga pombe bar...
Ukihudhuria kwenye kampeni za CCM, tishet utapata, kofia utapata, mauno utayakata, machambo utayakata, vitisho utavipata, yaan kila aina ya burudani utavipata, wengine hata kutembea na wake na...
Habarini wana jamvi. Juzi hapa tulimsikia rais akiwa-mind wakandarasi kwa kuchelewesha mradi wa stendi mpya ya kisasa pale mbezi jambo ambalo hakulitegemea tena mbele ya mgeni wake, Rais wa...
Ohoooo Gambo Anasema CCM wafanye vurugu ili Jimbo tu la Arusha lirudi CCM! Msisitizo, Wafanye hata Vurugu..... Hii kauli ingetolewa na Upinzani mmmmghh..
Leo May 27, 2018 Mkuu wa mkoa wa Arusha...
Mr David Concar has been appointed British High Commissioner to the United Republic of Tanzania in succession to Ms Sarah Cooke who will be transferring to another Diplomatic Service appointment...
Waswahili walisema kuwa "Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo". Ni kweli ataumia kidogo kwa sababu utakua umemshtua ila ukweli ni kwamba umemuongezea mwendo. CCM wanafurahi wapinzani kukamatwa...
Wana wema wa MUNGU.
Ni ukweli ambao kwa wengine utawaumiza, na wengine utawafurahisha, lakini hakuna dalili yeyote ya upinzani kushimda nafasi ya uraisi, kwa sababu zifuatazo:
1: Mtandao wa CCM...
"What does not kill you, makes you Stronger".
CCM wamehaha, hawana pa kukimbilia, sera imekua kurubuni na kununua wanachama wa CHADEMA, Hii si mara ya kwanza na nakuhakikishia haitakua mara ya...
Ni kama Tanzania imepata uhuru kutoka kwa mkoloni mweusi CCM ni furaha ilioje waTanzania wameweza kufanya maamuzi magumu ya kuiondoa CCM madarakani dalili zimeanza kuchomoza kila pembe ya...
Msikilizeni huyu kijana.
Baadhi ya wasanii walikuwa wakifanya mambo machafu.
Mambo yasiyoendana na maadili ya Watanzania.
CCM iwe makini katika kuchagua wasanii wa kufanya kampeni.
=======...
Wakuu, Nakumbuka niliwahi kuandika kitu kama hiki iwakati wa Uchaguzi uliopita lakini kwa bahati mbaya sana sana Ndugu yangu, Rafiki yangu Mohamedi Mtoi alipata ajali siku chache baadae, ajali...
Humphrey Polepole
Tusipoyauliza leo, hakika tutaulizwa sisi na vizazi vijavyo tukiwa hai au tukiwa tumetangulia mbele ya haki
Kabla ya kuuliza maswali yangu manne, ni vema nikaeleza kwanza...
Na:
McWenceslaus
www.ccmmpya.org
10/10/2020.
Leo nimekuja nikiwa na ujumbe maridhawa wenye lengo la kutukumbusha kuhusu malengo ya Muungano wetu na utawala wa umoja wa kitaifa ambao tumekuwa nao...
Taarifa hii ilitolewa jana usiku (7:24 PM) na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Mawasiliano wa CHADEMA, bwana
Jon Mrema kupitia mtandao wa twitter:
Kesho Jumatatu tarehe 16.03.2020 saa Sita Kamili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.