Uchaguzi 2020 Kawe: Halima Mdee alalamikiwa kukiuka maadili ya uchaguzi kwa kutumia lugha ya matusi na kashfa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,007
9,873
Malalamiko yaliyofikishwa kwenye tume ya maadili ya uchaguzi ni pamoja na kumuita Gwajima kuwa ni Chokoraa, aidha ametoa madai yasiyoweza kuthibitika ni kudai kuwa mchungaji Gwajima anatembea na kondoo wake, ni mtu anayetafutwa huko Japan kwa kutembea na mke wa mchungaji

Pia amedaiwa kusema kuwa mchungaji Gwajima kanisa lake lina vyumba vinavyotumika kula kondoo

1602231021283.png

1602231033548.png

1602231054166.png
 
Attachments

  • 1602231069351.png
    1602231069351.png
    131.3 KB · Views: 1
Naunga mkono hoja ya Halima Mdee, GWAJIMA NI CHOKORA, ANAZINI NA WAUMINI WAKE , TENA ANAWATUMIA WASICHANA WADOGO, ANAWA BLACK MAIL KWA KUTUMIA DINI NA MAMBO YA KISHETANI.

GWAJIMA NI CHOKORA, KILA MTANZANIA MWENYE NIA NZURI NA KAWE NA TZ, AMUUNGE MKONO HALIMA
 
Hawa wote wawili, Bi Halima na Mch. Gwajima wote kwa nyakati tofatitofauti wanajibizana Vijembe na kutukanana, sasa isije ikawa ya Kwamba anayewahi Police kushitaki ndie usikilizwa Kwanza na kupata advantage. Tume hii HURU iwe Makini Isije kujikuta Inakisaidia Chama Cha Mapinduzi kupooza au Kupunguza momentum ya Mashambulizi toka kwa washindani wao "Vyama Vya Upinzani'
 
Wagombea wa CHADEMA kila siku wanalalamika kutukanwa lakini tume haijawahi kuwaita mbona hawa watu wa CCM?
 
Naunga mkono hoja ya Halima Mdee, GWAJIMA NI CHOKORA, ANAZINI NA WAUMINI WAKE , TENA ANAWATUMIA WASICHANA WADOGO, ANAWA BLACK MAIL KWA KUTUMIA DINI NA MAMBO YA KISHETANI.

GWAJIMA NI CHOKORA, KILA MTANZANIA MWENYE NIA NZURI NA KAWE NA TZ, AMUUNGE MKONO HALIMA
Kwani kutowajibika kwa walio kuchagua ndio imekuwa kigezo kipya cha mgombea kuchaguliwa, tunaenda wapi? PIGA CHINI.

Sifa iliyo ipa chadema nafasi ni kuwa CCM hawafanyi lolote kuhusu maendeleo ya nchi yetu, sasa hili suala limebadilika? CHINJA.
 
Naunga mkono hoja ya Halima Mdee, GWAJIMA NI CHOKORA, ANAZINI NA WAUMINI WAKE , TENA ANAWATUMIA WASICHANA WADOGO, ANAWA BLACK MAIL KWA KUTUMIA DINI NA MAMBO YA KISHETANI.

GWAJIMA NI CHOKORA, KILA MTANZANWENYE NIA NZURI NA KAWE NA TZ, AMUUNGE MKONO HALIMA
Hahahahahahahahha! Wewe unaweza kumtukana upendavyo. Nani anakujua!?? Ahahahahahahahah!
 
Ni utawala huu tu ndio unachukulia mambo ya propaganda serious.

Huku Moshi Vijijini kuna mgombea udiwani wa CHADEMA amesimamishwa kuendelea na kampeni kisa tu anatumia wimbo wa lady JD wa Yahaya kumsema mgombea wa CCM kuwa anaishi kwa wazazi wake hadi leo.
 
NI UTAWALA HUU TU NDIO UNACHUKULIA MAMBO YA PROPAGANDA SERIOUS.
HUKU MOSHI VIJIJINI KUNA MGOMBEA UDIWANI WA CHADEMA AMESIMAMISHWA KUENDELEA NA KAMPENI KISA TU ANATUMIA WIMBO WA LADY JD WA YAHAYA KUMSEMA MGOMBEA WA CCM KUA ANAISHI KWA WAZAZI WAKE HADI LEO.
Wanafundishwa wajue kuwa Mikutano ya Kampeni ni mahali pa kueleza sera na ilani za vyama kuhahidi mtawafanyia nini Wananchi, sio kupiga matusi, vijembe na kukashfu watu wengine. ndio makubaliano ya kanuni na maadili za uchaguzi waliyoweka saini.
 
Kwani ushahidi si upo???
Aende na ile connection ya unno....
Aende na ile video ya maharage ya mbeya kwa bwana pengo.....
Aende na ile ya mahubiri ya kubadili misikiti kuwa sunday school.....
Aende na video ya bi kidude....
Aende na video kibao za bashite....

Mbona ishu ni simpo tuu hapo?
 
Back
Top Bottom