Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Binafsi nilitarajia usiri wa bei katika kununua hizo ndege baada ya kukubaliana bei ndio iwe chanzo cha usiri wa mikataba ya manunuzi kwa malengo ya kibiashara(mteja mwingine nae aje ani-gotiate...
6 Reactions
37 Replies
6K Views
Katiba ya Tanzania ya mwaka 1997, inaeleza majukumu ya mbunge kwa jimbo lake kama ifuatavyo:- (a) Kumuuliza Waziri yeyote swali lolote kuhusu mambo ya umma katika Jamhuri ya Muungano ambayo yako...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wadau Kama mada inavyojieleza hapo juu, hizi ndo sababu za Kwa nini Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ndo uchaguzi Mgumu zaidi kwa CCM? 1. Mwaka 2015 Chadema walikuwa na mgombea...
36 Reactions
104 Replies
10K Views
Halafu tukiwa 'tunawakosoeni' mnatuona Sisi ni Wanafiki au Rangi Mbili au tuna Chuki nanyi au tunatumika na Mabeberu. Na Mimi wala sitochoka kuwaambieni ukweli na bahati nzuri Mimi ninayewasema ni...
39 Reactions
56 Replies
7K Views
Wote mnakaribishwa . ======= Akizungumza na wanahabari Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , ameiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuitaja Kampuni iliyoshinda zabuni ya kuchapisha karatasi za...
46 Reactions
160 Replies
22K Views
Niwaombe sana wanasiasa pambaneni na mambo ya siasa msijaribu kuingiza vijana kwenye mambo ya uhalifu, uhalifu hauwezi kukufanya ukawa kiongozi sanasana mnawaharibia vijana maisha yao, maarifa...
29 Reactions
147 Replies
16K Views
Waungwana, na ijulikane leo kuwa mimi binafsi nimekataa kuwa sehemu ya Watanzania watakaosema tusamehe Magufuli, hatukujua kuwa wewe ni mtu muhimu kwetu Watanzania. Anyway, hivi mnakumbuka hali...
3 Reactions
57 Replies
4K Views
Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania Sura yake mtaiona kwenye karatasi...
10 Reactions
99 Replies
10K Views
Ukiwa Rais wa nchi yoyote ile ni vema ukawa rafiki au karibu na wapinzani wote hata muda wa kufanya nao mazungumzo jitahidi uupate, dunia ya sasa hivi sio dunia ya kuwa na maadui bali kuongeza...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa Sana James Mbatia amesema chama chake kinakwenda kuchukua nafasi yake na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini. Mbatia amesema baada ya uchaguzi wa...
12 Reactions
109 Replies
11K Views
Mwaka 2015 slogan ya CCM ktk uchaguzi huo kama nakumbuka vizuri ilikuwa HAPA KAZI TU... Hii ndiyo imekuwa mwongozo tangu wakati huo tangu walipotangazwa washindi na mpaka sasa ktk shughuli za...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
NEC hihirumieni taifa hili lisijenge historia mbaya. Ninasema hili nikiwa namaanisha kwamba mazingira tuliyonayo NEC kama chombo huru kisichoegemea popote kwa mujibu wa sheria ikifikia mahali...
1 Reactions
0 Replies
623 Views
SERIKALI IMEUA VIWANDA VYOTE HAPA TANGA,NIKIWA RAIS NTASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA" TANGA Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya...
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Nimeona vipeperushi vinaelezea mafanikio ya awamu ya tano. Vipeperushi hivi vinakuja baada ya joto la uchaguzi kuwa kali na kuonekana ngoma si kama tulivyoivalia kibwebwe. Ushauri: CCM achaneni...
10 Reactions
28 Replies
4K Views
Rais Magufuli ameshiriki kwa njia ya mtandao maombi ya kitaifa yaliyofanyika nchini Kenya kuliombea taifa hilo Mungu aliepushie ugonjwa wa Corona. Maombezi hayo yaliyofanyika Ikulu ya Kenya...
1 Reactions
0 Replies
713 Views
Maoni na ushauri wangu kwa wananchi ni kuwa pamoja na Ukinzani wa hoja potofu kuwa Serikali ya Dr. Magufuli imefanya mambo mengi yanyohusu maslahi ya watu. Kwa mfano tumeshuhudia Rais na mawaziri...
1 Reactions
4 Replies
803 Views
Mabibi na mabwana heshima kwenu. Siku 7 za kushindwa kwa jaribio dhidi ya haki na uhuru zimekwisha. Tunaporejea tena na sasa kwa vishindo zaidi, akili mkichwa na macho kumchuzi. Wanasema "he who...
11 Reactions
54 Replies
5K Views
Upo wapi Ndugu Yangu ? Nipo morena hotel kaka Ok ningoje hapo nakupitia twende sehemu .. Yalikua Mazungumzo yangu kwa njia ya simu kati yangu na kaka yangu,Kiongozi wangu, na Rafiki yangu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema wananchi wanatakiwa watafakari kwa kina wakati wanapochagua kiongozi kwa kuwa uongozi wa nchi...
-1 Reactions
38 Replies
3K Views
MTU DHAIFU HUTAFUTA UPENDELEO; JE LISU ANAPAMBANA NA MTU DHAIFU? Na, Robert Heriel Kikawaida watu dhaifu hutafuta kupendelewa, hutafuta dezo kwa watu. Pia kikawaida watu dhaifu ndio hupewa...
16 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom