Nafahamu wazi kwamba muda hautoshi kwa Mh Tundu Lissu kuweza kupita kila mahali kuomba kura , lakini kuna maeneo ambayo umuhimu wa Tundu Lissu kupita ni mkubwa sana , hii ni kutokana na mvuto...
Hii nimeichota sehemu...
TULIA HATOSHI, NI KIRUSI KINACHOIGAWA CCM MBEYA
Mh. Tulia Ackson kazungukwa na watu wa ovyo. Kwanza ana haraka sana. Kitendo hiki kinawakera Mbeya tofauti na yeye na...
Kwa political analysists wazuri watakubaliana na mimi kuwa katika uhai wake kama Chama cha Siasa kimefail kuwa na ushawishi katika upande wa pili wa muungano. Jambo hili halina afya nzuri kwa...
Na:
McWenceslaus
Leo nimekuja nikiwa na ujumbe maridhawa wenye lengo la kutukumbusha kuhusu malengo ya Muungano wetu na utawala wa umoja wa kitaifa ambao tumekuwa nao kwa zaidi ya miaka 56 sasa...
Mchakato wa ufutaji hatimiliki za ardhi ambazo hazitumiki unadaiwa kuingiliwa na baadhi ya matajiri wanaotumia wanyonge ili wavitumie viwanja kwa maslahi yao. JAMHURI lina taarifa kwamba katika...
Mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad jimbo la Mpendaye.
Leo tarehe 08/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi...
NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA"
TANGA-KOROGWE MJINI
Nitahakikisha kuwa kila mwananchi...
Tunapoelekea siku ya uchaguzi, kuna scenario kadhaa zitakazotokea kama ifuatavyo:
1) Kuna watu iwe mvua, jua, homa, foleni etc watavumilia na kupiga kura kuwachagua viongozi wanaowataka
2) Kuna...
Lissu kuwa makini na maneno yako kila unapoongea jukwaani. CCM na JPM kwa ujumla huwa hatuna nyongo.
Kumbuka mpaka sasa hatuna ubalozi Iraq wala Afghanistan, kwa kifupi tunahitaji manpower na we...
Kila mtu anao Mtazamo wake kuhusu masuala mbalimbali katika maisha.
Namna unavyofanya maamuzi inaakisi sana Mtazamo wako na Fikra zako kuhusu masuala fulani.
Katika mfumo wa maamuzi KURA ni sauti...
Habari wana JF.
Katika makosa waliofanya wananchi wa tanga mjini mwaka 2015 n kumpa ubunge mtu ambae haguswi ata na kero za wananchi wake, kumekuwa na mbunge jina tuu, mbunge anashindwa ata...
Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo...
Mwaka 1961 tulipopata Uhuru tulirithi Jeshi la kikoloni lililoitwa Kings African Rifles (KAR) tukalibadilisha jina na kuliita Tanganyika Rifles (TR). Usiku wa kuamkia Disemba 9, Askari wawili wa...
Wana CCM wameendelea kuiombea kura CHADEMA baada ya wagombea wao wa Ubunge, Udiwani na hata Urais kushindwa kueleza wazi hatima ya maisha yao baada ya UCHAGUZI.
Ugumu wa maisha uliopelekea...
Rais Magufuli amekuwa mstari wa mbele katika kuitangaza na kuikuza lugha ya kiswahili iwe lugha ya kimataifa. Lakini wakati huo huo yeye mwenyewe ndiyo amekuwa mstari wa mbele katika kuikuza lugha...
Niliongea na jirani yangu ambae ni kada kindaki ndaki, aliniambia upinzani hauwezi kutangazwa mshindi hata ukishinda. Nilimuuliza ni kwanini iwe hivyo? Jibu lake ni kuwa CCM na watu wake...
MH.MAGUFULI KATIKA VIATU VYA NYERERE.
Katika Makala yangu ya “Rais Magufuli na Goriathi wa Tanzania” katika Gazeti la “Nipashe” na kwenye mitandao ya “Jamii Forum” na Facebook” Nilieleza namna...
Imezoeleka kuwa Jambo juzi na jema kutokea kwenye jamii au maisha ya mtu,tunaiita BAHATI ya MTENDE.
Hivyo ndivyo ilivyo kwa wakazi wa jimbo la ubungo na halmashauri ya ubungo.
Chama Cha...
Wakuu natanguliza salamu ,
Naomba kuweka wazi kabisa kwamba mimi ni mwenyeji wa Mkoa wa Mbeya , Wilaya ya Kyela , kijiji cha Kajunjumele ,utamaduni wa Kyela na Rungwe unashabihiiana kwa kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.