Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,419
- 100,663
"What does not kill you, makes you Stronger".
CCM wamehaha, hawana pa kukimbilia, sera imekua kurubuni na kununua wanachama wa CHADEMA, Hii si mara ya kwanza na nakuhakikishia haitakua mara ya mwisho lakini kitu kizuri ni kwamba, wao watawanunua wakati huku watakuja bure.
Waliondoka watu mashuhuri wakasema chama kimekwisha, waaapi. Wapo waliosema kitakufa wamekufa wao na wengine wamechoka saaana.
CHADEMA itabaki kuwa strong daima, Mawimbi lazima yawepo na safari lazima iendelee....