Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,240
Wote mnakaribishwa .
=======
Akizungumza na wanahabari Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , ameiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuitaja Kampuni iliyoshinda zabuni ya kuchapisha karatasi za kupigia kura , na njia zilizotumika kuipata na labda na washindani iliyochuana nao