CHADEMA tunaporejea kwa kishindo, tahadhari

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,223
35,149
Mabibi na mabwana heshima kwenu.

Siku 7 za kushindwa kwa jaribio dhidi ya haki na uhuru zimekwisha. Tunaporejea tena na sasa kwa vishindo zaidi, akili mkichwa na macho kumchuzi.

Wanasema "he who laughs last, laughs best."

Mshirika mwenzetu yuko kitandani na wenziwe wakiuguza majeraha. Tunapowaombea ahueni ya mapema kurejea kwenye kampeni zao, chonde chonde usalama kwanza. Myendo yetu na magari na pia madereva wetu tahadhari zaidi wakuu.

Tusisahau makenge nao wapo ndani ya misafara yetu "wakiitisha bwana bwana hali hawatauona ufalme wa mbinguni." Nani 2015 alimshuku mgombea ubunge yule wa leo, kuwa alikuwa mmoja wao?

Umri wa madereva bila kuwafuata wale wenye kutafuta visingizio kama wale wa yule wa Chopa si haba. Walisema waungwana "vya kale ni dhahabu."

Chonde chonde tulipo penye basi kuwa basi kweli kweli, maisha ya majemedali wetu ni muhimu sana. Walizimwa kina "King", tusizimwe kizembe.

Kwani lini waliwahi kuwa na dini hawa? Kwani kuitisha maombezi kuliwahi kukoma walipopotea kina Ben au Azory? Au hata Lissu aliponusurika?

Kama ilivyo ada, wao akiwamo yule daktari bingwa wa nani hii wako kwenye nyungu zao kutuombea mabaya hata ikibidi njaa.

Kwamba kuna siri tena?

Sasa basi!
 
Na Tundu Lisu alivyokuwa mbinafsi siajabu hata hajafika Hosptalini kumpa pole Zito Kabwe kwa laana aliyopigwa na Mungu chaliii na bado , ...
Vipi mkuu mwenyekiti wetu wa chama anaendeleaje, siku hizi kampeni zetu ni za mjini tu. Afya yake kama gari la mkaa trip 1 shamba, siku 7 gereji, Mwambie atubu. Tunasubiri kishika uchumba cha bariki, malelezo ya 1.5 Trillioni, Noah zetu, na milioni 50 Kila kijiji. HATUJASAHAU.
 
Mabibi na mabwana heshima kwenu.

Siku 7 za kushindwa kwa jaribio dhidi ya haki na uhuru zimekwisha. Tunaporejea tena na sasa kwa vishindo zaidi, akili mkichwa na macho kumchuzi.

Wanasema "he who laughs last, laughs best."

Mshirika mwenzetu yuko kitandani na wenziwe wakiuguza majeraha. Tunapowaombea ahueni ya mapema kurejea kwenye kampeni zao, chonde chonde usalama kwanza. Myendo yetu na magari na pia madereva wetu tahadhari zaidi wakuu.

Tusisahau makenge nao wapo ndani ya misafara yetu "wakiitisha bwana bwana hali hawatauona ufalme wa mbinguni." Nani 2015 alimshuku mgombea ubunge yule wa leo, kuwa alikuwa mmoja wao?

Umri wa madereva bila kuwafuata wale wenye kutafuta visingizio kama wale wa yule wa Chopa si haba. Walisema waungwana "vya kale ni dhahabu."

Chonde chonde tulipo penye basi kuwa basi kweli kweli, maisha ya majemedali wetu ni muhimu sana. Walizimwa kina "King", tusizimwe kizembe.

Kwani lini waliwahi kuwa na dini hawa? Kwani kuitisha maombezi kuliwahi kukoma walipopotea kina Ben au Azory? Au hata Lissu aliponusurika?

Kama ilivyo ada, wao akiwamo yule daktari bingwa wa nani hii wako kwenye nyungu zao kutuombea mabaya hata ikibidi njaa.

Kwamba kuna siri tena?

Sasa basi!
#sasabasi !!!
 
Na Tundu Lisu alivyokuwa mbinafsi siajabu hata hajafika Hosptalini kumpa pole Zito Kabwe kwa laana aliyopigwa na Mungu chaliii na bado , ...
Daaaah wewe jamaa unateseka sana Lisu. Hana muda mchafu wakuchukua attention kwenye uhai wa mtu Kama Meko alivyofanya.

Eti kumjulia mgonjwa hali Tena kwa simu mkatangaza matelevision yote.

Bado press mbili tu za Dr Hasani moja nazani ni meko kajamba leo. Nyingi mapenzi ya Mungu yatimizwe.

Haki huinua TAIFA
 
Na Tundu Lisu alivyokuwa mbinafsi siajabu hata hajafika Hosptalini kumpa pole Zito Kabwe kwa laana aliyopigwa na Mungu chaliii na bado , ...
Kama walijaribu kumpeleka kaburini wakashindwa,atashindwaje kumjulia Hali rafiki.Hata kupitia maombi apate ahueni na kurejea katika mapambano kuwangoa wadhalimu.
 
Na Tundu Lisu alivyokuwa mbinafsi siajabu hata hajafika Hosptalini kumpa pole Zito Kabwe kwa laana aliyopigwa na Mungu chaliii na bado , ...
Waliopanga kumwua Lissu kivile siku wakiwa na neno jema kwake hata moja tu, basi nyani wataamia ngedere shambani.
 
Tundu Lisu ameshindwaje kwenda kumpa pole Zito Kabwe Hospitalini na alikuwa Dar siku zote? Kama siyo ubinafsi ni nini?

Nasikia nyani wameshaanza kuamia ngedere pande za Gamboshi. Maisha kwa sasa ni murua.
 
Yani huyu ndio tumpe aongoze Nchi huyu
Auze Nchi kwa Mabebelu huyu

Hivi Sisi Chadema Wazima kweli ??
IMG_20201010_122624.jpg
 
Hivi Lissu mtu atake kumuua kwa kipi hasa alichonacho huyo kibaraka wa mabeberu jamaniiiiiii

Kwani walishaacha? Kwani hata sasa wakipatana nafasi wataiacha? Mangula walimtarai, sembuse Lissu?

Mabandiko yenu mengine haya hifadhini usengeremani - Lumumba mkiwa mnasubiria buku 7.

Kwa taarifa yako na nyote mapanya buku 7, Lissu ni mzalendo mno zaidi ya jiwe, wewe, majaliwa na hata yule kicheche.

Kwa taarifa yenu tupo tuokuwa kuwapo JKNIA, Uhuru, Kiluvya, wengine na hata Lupaso. Mmfundishe nani nyie nini kuhusiana na uzalendo wasengerema wakubwa?
 
Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

Kiingereza kama jiwe, kiswahili nacho ndiyo hivyo tena. Shule mlikwenda kusomea ujinga.

Nitampigia Lissu jina langu siyo Robert. Wapo wengi tu watakaompigia Lissu wengine wapo CCM hata ACT.

Kuweka record sawa, kura tutapiga sisi, Robert mtaanza naye ICC.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom