Salamu zangu kutoka bara kwa Wanzanzibari..

Nicodemas Tambo Mwikozi

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2016
Posts
663
Reaction score
1,047
Upo wapi Ndugu Yangu ? Nipo morena hotel kaka
Ok ningoje hapo nakupitia twende sehemu ..

Yalikua Mazungumzo yangu kwa njia ya simu kati yangu na kaka yangu,Kiongozi wangu, na Rafiki yangu Mheshimiwa Antony Mtaka Mkuu wa Mkoa wa Simiyu.

Baada ya dakika chache alifika hotelini kisha akanielekeza alipo nikipanda gari safari ikaanza.

Kaka tunaenda wapi? Niliuliza,
Mdogo mbona una wasiwasi kama Isack Kwani mi Ibrahimu kwamba nimebeba humu ndani kuni na kisu ila mnyama wa kuchinja hayupo so unahofu tutakuchinja[emoji780] nilicheka kisha nikatulia Tuli.

Safari ilianza kuelekea sehemu ambayo sikuambiwa ni wapi na mimi sikua na hofu yoyote.

Tulitoka morena kuelekea mjini kisha tukafwata Barabara inayoelekea area D kwa kua ilikua usiku na mimi sio mkazi wala mwenyeji wa dodoma sikuelewa tena tunaelekea wapi.

Baada ya dakika takribani 10 tuliwasili kwenye nyumba kubwa nyeupe yenye geti Jeusi walinzi wasio na sare ya polisi wala jeshi walionekana mbele yetu na Bunduki, nilishituka,! mmoja alikuja na kuchungulia alipomuona Mh Mtaka akatoa sauti ya kuonyesha alikua anajua ujio wa Mheshimiwa.
"ahaaa kumbe wewe karibu sana Mkuu alitoa ishara geti likafunguliwa..

Bado nilikua kwenye mawazo tunaenda wapi na kufanya nini tuliingia ndani kisha kuelekea nyumba kubwa.

Mheshimiwa Mtaka alijandaa hakuvaa viatu alivaa sandozi tuu, tulipofika mlangoni nililazimika kuvua viatu ili niweze kuingia na sox hamadi sox nilizovaa zilikua tofauti kwa rangi moja ilikua nyeupe na moja ilikua ya njano,[emoji38]
Nkajiongeza harakaharaka nikavua na Sox zote nikaingia peku peku,

Mh. Mtaka alitangulia kuingia, wakati navua viatu kwa mbali nikawa nasikia sauti za vicheko wakisalimiana na mtu huko ndani ambaye sikujua ni nani, Ikawa zamu yangu kuingia baada ya kuvua viatu Sox.

Nilipoingia sebleni hapakua na mtu, ila upande wa kulia kulikua na chumba cha kulia chakula, dinning room, nilimuona moja kwa moja Mh. Mtaka nae akaniita, Mdogo wangu Njoo huku mtu wa upande mwingine nilikua simioni vizuri kutokana na upande aliokaa.

Baada ya kuingia nilikutana uso kwa uso na Mgombea Uraisi kupitia CCM Dr.Hussein Mwinyi alikua mbele yangu tukatazamana nilishtuka ila nikaficha hofu yangu, kisha nikamsalimia shikamo Mheshimiwa akajibu.

Kisha akaniambia karibu uketi,ninyi wakulima kweli kweli mmekuja muda muafaka wa chakula nikacheka kisha nikasema asante sana.

Kaka Mtaka alifanya utambulisho mfupi ila wa kina, Baada ya utambulisho maongezi yaliendelea hasa kwa wao wawili walionekana kufahamiana kwa muda mrefu, maongezi yao hayakua kati ya kiongozi na kiongozi ila kati ya rafiki na rafiki waliongea mambo ya uongozi siasa na mambo ya kijamii na kiuchumi.

Wakati maongezi yakiendelea Mh Hussein Mwinyi alikua akinisisitiza mara nyingi pakua na hiki pakua na kile hiki kitamu sana onja, sasa mdogo wangu bakuli hilo lishushe ili nyama hiyo uile vizuri, alikua akanielekeza pia namna ya kuweka sahani ili nile vizuri na uhuru, ila niligundua amegundua nina hofu anajaribu kuniweka huru.

Baada ya chakula tulirudi sebleni ambako tulikuta kipindi cha mdahalo wa wazee kinaendelea katika television ya zanzibar na kipo live mdahalo ulikua serikali ijayo iwafanyie nini wazee wa Zanzibar ?

Kwa kua wewe unagombea na utashinda piga simu Zanzibar kwenye hiki kipindi kwani kipindi kipo live piga simu live kwenye kipindi na utumie wasaa huu kuzungumza na wazee wa Zanzibar Mh mtaka alishauri,
Wazo hilo lilipokelewa kwa mikono miwili na mchakato ukafanyika wazo likatendeka Dr Hussein Mwinyi akapiga Simu live kwenye kipindi wazee wakafrahi ndani ya kipindi na Zanzibar nzima ikasikia kutokea Dodoma Mgombea kaongea na wazee wa zanzibar

Baada ya kipindi kuisha mazungumzo yaliendelea kwa masaa matatu zaidi na wakati huo na mimi uoga ulikua umeniisha nikawa mchangiaji mzuri hasa kwenye mijadala ya ya siasa
Yafwatayo niligundua katika mazungumzo ya usiku ule

1. Hussein Mwinyi ana kiu kubwa ya kuibadilisha zanzibar maono yake juu ya zanzibar ni makubwa sana anayo mipango mikubwa juu ya zanzibar katika mazungumzo alionekana kuchoshwa na migogoro ya kisiasa isiyokwisha zanzibar anatamani zanzibar iwe kama visiwa vingine duniani ambayo vimeendelea kiuchumi na vina Amani na ni vituo vikubwa vya biashara na utalii hiyo ni ndoto yake kubwa kwa wazanzibar.

2. Katika usiku ule nilibaini Hussein Mwinyi ni Mpole ila mchangamfu kiasi, ni msikivu na anashaurika na kupokea ushauri

3. Ana mtazamo Mkubwa wa mabadiliko kwa Zanzibar yapo mazoea yasio na tija anaenda kukomesha Zanzibar
4. Hana Tofauti na Mheshimiwa Magufuri naye anaamini katika vijana mabadiliko hayo aliyoyabeba na maono Aliyonayo juu ya zanzibar yanaenda kufanywa na vijana hivyo tutarajie sura mpya za kiuongozi katika awamu yake.

5. Hana visasi waliomuunga mkono na ambao hawakumuunga mkono katika kinyang'anyiro cha kugombea uraisi amemaliza tofauti mapema kwa maslahi mapana ya chama cha mapinduzi na Zanzibar kwa ujumla
5. Ni mtu anaejali marafiki na familia wakati wa mazungumzo yetu mke wake alipiga mara 4 Simu hakupokea lakini baada ya kutoka mezani alituaga na kusema wife kapiga simu mara moja wacha niongee nae. Anagawa muda kwa marafiki na kwa familia pia.

6. Ni msomi mzuri wa vitabu na kasoma vitabu vingi vizuri na anakumbukumbu ya aliyosoma kila kitabu ambacho Mh mtaka alikiweka katika mazungumzo yaliyomo humo ndani waliyajadili vizuri kabisa na kwa uelewa wa pamoja na vizuri sana

7. Jambo lilonishangaza zaidi ni simu yake ya mkononi mpaka naondoka sikujua ni aina gani sio iPhone, sio Samsung, wala sio tekno huenda ikawa Motorola ya zamani au infinix na upande wa juu imepasuka kidogo inaonyesha kuchakaa.. hili lilinifikirisha saana kwa mshahara wake wadhifa wake angeweza kumiliki simu yoyote ile lakini sio mtu mwenye tamaa anaridhika na hii ni sifa ambayo viongozi wachache wanayo

10. Katika mazungumzo yale nilibaini sio mtu anayewajali wazanzibar tuu waliopo zanzibar ila anawajari wazanzibar waliopo bara na alikua na mpango wa kufanya kikao kujua changamato zao ili aweze kuzipunguza au kuziondoa pindi atakapokua Raisi wa Zanzibar.

11. Mpaka tunaondoka baada ya kujadili mengi moja hatukifika mwisho Moto wa kampeni uweje hili hatukifika mwisho slogani zilikua nyingi sana lakini badae Yajayo ni Neema Tupu ilishinda.

Kikao kilikua kirefu sasa ilikua inaelekea saa saba usiku bado alionekana mwenye nguvu na kiu ya mjadala lakini busara zilielekeza ni mda wa kupumzika niliona saa nikampa ishara kaka angu mtaka na kumtext kaka tutakesha huku akasema ngoja afupishe kikao baada ya muda tuliondika takribani saa saba na dakika 13.
Kabla sijaondoka nilimuomba kupata picha ya ukumbusho akasema tukae tusimame au selfie [emoji3][emoji3]
Nikamjibu tusimame mkuu akasimama tukagonga picha.. kabla ya kupiga picha simu yangu ilikua haina chaji wala ya kaka Mtaka aksema tumia yangu nitakutumia nikapiga nikampa namba yangu ya simu wakati navaa viatu nikasikia mlio wa simu yangu tiiiiiiti, tihiiiti, kufungua ujumbe huo nilikuta kashatima picha zote..

Kiu ya maendeleo niliyoiona kwa Dr. Hussein Mwinyi ni kubwa kwa wazanzibar Nawaomba msifanye makosa kura zote kwake

Nilipata nafasi ya kwenda zanzibar baada ya hapo hisia zangu za awali zinanielekeza huenda kwa mara ya kwanza zanzibar Transition of power ikafanyika pasipo kua na vurugu aina yoyote wala umwagaji damu itakua smooth transition of power..

Hussein Mwinyi anakata kiu ya makundi yote Zanzibar wazee na vijana,

Wazee wanamwamini Vijana wanamwamini akina mama wanamwamini watoto wanampenda
unguja wanampenda
Pemba wanampenda.

Nilikutana na mzee mmoja akasema kwa utani huyu uraisi anauweza kwanza kujifunza kwa baba yake kujifunza kwa mzee mkapa kujifunza kwa mzee kikwete na kajifunza kwa Mh. Magufuri ulikua utani mwepesi wenye maana nzito

Uzoefu ni dawa Hussein amepikwa na akaiva katika uongozi
Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Zanzibar

Wazanzibar msifanye makosa mpeni Kura za ndiyo [emoji736] zama za Sharifu Mohamed zimefika ukingoni Rasmi"

Kila la heri Comrade Hussein Mwinyi.
20200828_232602_mfnr.jpg
 
yajayo yanakirihisha ,kama yanafurahisha ni kwa wao tu sio kwa wananchi walio wengi ,wazanzibari hawasikii hawaoni wanamtaka Husein arudi kwao Mkuranga kama amekuja kuwauwa waZanzibari wanasema sawasawa kama amekuja mgombea basi atulie abahatike na umakamo unamtosha kuwa Raisi wa Tanganyika 2025 kwa tiketiya CCM.
 
Kila la heri Comrade Hussein Mwinyi.View attachment 1595551
IMG-20201009-WA0174.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ubaguzi wa kubaguana waunguja kwa wapemba hatutakubali

Hussein ndio chaguo letu
Hata muimbe nyimbo gani ccm ni ileile hatuichagui na hatutaki rais WA kukodi. Labda muibe lkn bila ya hivyo hamna mtakalolipata. Unajua kwanini kila siku wanapelekwa jeshi kila aina kwenda pemba.
 
Tangu lini mzaramo akaongoza Zanzibar?
 
Ni hivi...
Wazanzibari walio wengi hawana shida na Hussein. Shida kubwa iliopo ni CCM na mfumo wake ovu. Hussein Mwinyi hata awe na nia njema na Zanzibar kiasi gani hana uwezo wa kufanya chochote kinyume na matakwa ya chama chake(DODOMA). Na hatakuwa na uwezo wa kuiongoza Zanzibar kwa utashi wake au kwa utashi wa wazanzibari bali ni kwa kuendeleza matakwa ya CCM bara. Kumchagua Hussein Mwinyi Zanzibar ni kuichagua CCM. Ni kuendeleza ukoloni wa CCM kwa wazanibari. Ni kuupigilia msumari kuzamishwa kwa Zanzibar.

Uchaguzi huu utaamua wazanzibari wakubali kuombewa mikopo na CCM bara au wawe na uwezo na uhuru wa kuomba mikopo wenyewe! Na kwa vile shida kubwa kwa sasa ni kutaka kujiamulia mambo wenyewe, wazanzibari tunakwambia mleta mada sorry, kwa kweli tunajuwa nini tunataka na tunajuwa kwamba Hussein hana ubavu wa kutupatia tunachokitaka.
 
Back
Top Bottom