Uchaguzi 2020 Serikali yaanza kuprint vipeperushi vya mafanikio ya Awamu ya Tano, tuvisome?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Nimeona vipeperushi vinaelezea mafanikio ya awamu ya tano. Vipeperushi hivi vinakuja baada ya joto la uchaguzi kuwa kali na kuonekana ngoma si kama tulivyoivalia kibwebwe.

Ushauri: CCM achaneni na mliyofanya, jikiteni kuwaeleza wananchi mtakayofanya. TBC kwa miaka mitano imekuwa inatueleza mliyofanya tena kwa picha na video.

Kama hatukuelewa kupitia TBC ni vigumu sana kuelewa vipeperushi kwa sababu sisi hatuna tabia ya kujisomea.
 
Vya kwetu hivi hapaView attachment 1580280View attachment 1580282View attachment 1580283
IMG-20200925-WA0114.jpg
View attachment 1580281

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mtangulizi kabla ya awamu hii pendwa, Pale Jangwani na Mwz alianguka lakini si unajua ndie alikuja kuwa Rais wetu Kipenzi. so hizo ni dalili Njema, Lissu for President. Hata hivyo Video hii kelele za Aende zimetengenezwa (photo shop) Ndio Maana Mwishoni walijisahau kuedit Maneno Rais !! Rais !! Yanasikika kwa Lissu...
 
Nimeona vipeperushi vinaelezea mafanikio ya awamu ya tano. Vipeperushi hivi vinakuja baada ya joto la uchaguzi kuwa kali nakuonekana ngoma si Kama tulivyoivalia kibwebwe.

Ushauri: CCM achaneni na mliyofanya, jikiteni kuwaeleza wananchi mtakayofanya. TBC kwa miaka mitano imekuwa inatueleza mliyofanya Tena kwa picha na video...Kama atukuelewa kupitia TBC Ni vigumu sana kuelewa vipeperushi kwa sababu sisi hatuna tabia ya kujisomea.
Hizo gharama za kuchapisha hivyo vipeperushi ni za CCM au serikali?
 
Ama kweli mwaka huu nimeupenda sana. Eti walikuwa wanabana pua "Upinzani umekufa". Watakufa wao na siasa zao za kimirengo na kutupachika majina mabaya mabaya. Eti Wanyonge!!! Eti masikini!! Wanahisi tunafurahia hayo majina wanayotupachika kila kukicha.
 
Nimeona vipeperushi vinaelezea mafanikio ya awamu ya tano. Vipeperushi hivi vinakuja baada ya joto la uchaguzi kuwa kali nakuonekana ngoma si Kama tulivyoivalia kibwebwe.

Ushauri: CCM achaneni na mliyofanya, jikiteni kuwaeleza wananchi mtakayofanya. TBC kwa miaka mitano imekuwa inatueleza mliyofanya Tena kwa picha na video...Kama atukuelewa kupitia TBC Ni vigumu sana kuelewa vipeperushi kwa sababu sisi hatuna tabia ya kujisomea.

Msimu umeingia wacha walafi na matapeli watafute mlo. Hiyo ni njia ya wajanja kuwakwapua CCM ambao wanazichota tuu pesa hazina
 
Nimeona vipeperushi vinaelezea mafanikio ya awamu ya tano. Vipeperushi hivi vinakuja baada ya joto la uchaguzi kuwa kali nakuonekana ngoma si Kama tulivyoivalia kibwebwe.

Ushauri: CCM achaneni na mliyofanya, jikiteni kuwaeleza wananchi mtakayofanya. TBC kwa miaka mitano imekuwa inatueleza mliyofanya Tena kwa picha na video...Kama atukuelewa kupitia TBC Ni vigumu sana kuelewa vipeperushi kwa sababu sisi hatuna tabia ya kujisomea.
wanatumia vibaya pesa
 
Bashiru hatumii elimu yake kuiendeleza CCM. Anashindwa kuja na mkikakati imara, chama kimepwaya sana.
Hakika Jamaa atakua amemiss sana support ya Kinana na January na Nape. Hao Jamaaa waliziweza sana Kampeni za miaka hiyo. Jamaa akawalipa stahiki zao. Sasa wanapambana na hali zao kimya kimya. Miss you Mkapa, Meko alikulilia kwa mengi...
 
Ama kweli mwaka huu nimeupenda sana. Eti walikuwa wanabana pua "Upinzani umekufa". Watakufa wao na siasa zao za kimirengo na kutupachika majina mabaya mabaya. Eti Wanyonge!!! Eti masikini!! Wanahisi tunafurahia hayo majina wanayotupachika kila kukicha.
Majina ya kututapelia watanzania!
 
Back
Top Bottom