Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Mgombea wa CCM akihubiri Upendo, Umoja, Amani na Mshikamano; Mgombea wa CHADEMA anahubiri mafarakano na utengano baina ya Watanzania wenyewe. 2. Mgombea wa CCM anaeleza namna kusimamia na...
0 Reactions
4 Replies
731 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jaji Mkuu mstaafu Hamid Mahmoud amesema kura ya mapema haitawahusisha wapiganaji wote wa vyombo vya ulinzi ikiwemo majeshi na Polisi, kama...
3 Reactions
61 Replies
9K Views
Akiwa mkoani Dodoma ambayo kwa asili ni ngome ya chama cha mapinduzi, Ndugu Lissu amefafanua kwa uzuri kabisa na kwa lugha rahisi kabisa ya kueleweka anamaanisha nini pale CHADEMA inaposema haki...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana hamvi hamjambo humu? Mpaka sasa tumeona jinsi kampaini zinavyo kwenda Kati ya miaka mitano tena Na miaka mitano kwanza Kwa mwenendo huu wa kampain inavyoenda bila ya kuelemea upande wowote...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa anaefahamu,naomba atujuze kwani teyari mitandaoni watu wameanza kusema yao. Halafu hivi JAMANA PRINTERS ndio kina nani hasa? CC: CHADEMA
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Tusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake. Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka...
15 Reactions
88 Replies
6K Views
Uongozi uko katika ngazi nyingi. Wengine walibahatika kuwa viranja shuleni, kapteni wa timu ya chandimu, kiongozi wa msafara, kiongozi wa jumuia ya kanisa nk. Katika nguvu na mamlaka ya...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Tulishuhudia kampeni za uchaguzi wa 2015 Lowassa akizunguka na timu nzima ya viongozi wakuu wa CHADEMA na karibu wabunge wote kila alipokuwa anakwenda kufanya kampeni. Mwaka huu ni tofauti...
20 Reactions
79 Replies
6K Views
Mara tu baada ya wasanii kumaliza kucheza sindimba zao pale kwa Mkapa watanzania woote wakaamua kujiondokea zao. Hakuna aliye hitaji kusikiliza hotuba za viongozi wa CCM. Hili liwe ni fundisho...
47 Reactions
287 Replies
27K Views
Hii ni kwasababu kwanza bado hajajua achague kipi kati ya kuendelea kuwa Mwanaharakati au Kujiandaa kuwa Kiongozi. Hali hii imemfanya afanye harakati sana hata anapokuwa kiongozi. Nivyema akabaki...
21 Reactions
79 Replies
6K Views
Habari zinasema rais wa Malawi amekatiza ziara yake hapa nchini baada ya mazungumzo na Rais Magufuli na wafanya biashara wa Malawi. Rais Chakwera alifika Tanzania Jumatano kwa ziara ya siku tatu...
3 Reactions
82 Replies
11K Views
Kamati ya maadili manispaa ya Kinondoni leo itatoa uamuzi wa ama kumfungia siku 7 Halima Mdee wa CHADEMA au la kufuatia malalamiko ya CCM na mgombea wao Dr Gwajima kwamba Mdee alitumia lugha...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Wakuu ninaona kwamba kuna haja ya chama cha Mapinduzi,kiwe kimeshinda au kushindwa katika uchaguzi wa mwaka huu kukaa na wapinzani na kushauriana njia sahihi za kufanya chaguzi zetu za kila baada...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wanajf, leo kuna jambo moja ambalo nimeona nilizungumzie ili tuweze kukaa sawa na kuweza kushinda mapambano yetu yanayokuja. Ninaamini kuwa hadi sasa CHADEMA ila ilani nzuri sana ambayo...
9 Reactions
62 Replies
5K Views
Habari wakuu, Wiki iliyopita nilikuwa kwenye kampeni ya mgombea ubunge wa upinzani anayetetea kiti chake Mhe. Joseph Mbilinyi eneo la Stendi ya chunya. Nilichogundua ni kwamba kuna vijana...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kada CHADEMA adaiwa kufanyiwa unyama na wasiojulikana KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Evarist Rite, mkazi wa Narumu, Hai mkoani Kilimanjaro, ameokotwa akiwa amejeruhiwa...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Shule za mkoloni zinaonesha kuchoka na kulegea. Watoto wa kusoma wanaongezeka kila mwaka shule haziongezeki. Kanda ya ziwa hakuna chuo kikuu cha serikali ni vijitawi tu. Jana nilimuona mgombea...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Hivi sasa ukipita mitandaoni, utaona kabisa kuna aina fulani ya watu kuanza kuhamasishana kuhakikisha haki inatendeka katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na wanasiasa ndio wanaonekana kuwa mstari wa...
21 Reactions
105 Replies
9K Views
Alitegemea kukubarika zaidi, kwa jinsi alivyokuwa akitumia vyombo vya Habari, shirika la utangazaj nchini TBC, vyombo vya Habari vya CCM. Yawezekana watu hawavifuatilii sana ama ugumu wa maisha...
81 Reactions
171 Replies
22K Views
Mnachopigania ni kitu gani? Wajua kuna ile busara ya kuzaliwa nayo, unaona kabisa uwezo wangu wakushinda Urais hapa sina unapiga porojo tu kusumbua watu. Mnajua mwaka huu fulani anaungwa mkono na...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…