Uchaguzi 2020 ANGALIZO: 28/10/2020 tumchague Rais anayeshaurika na anayetimiza matakwa ya Wananchi

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,407
Tusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake.

Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka, siyo yale anayotaka yeye.

28/10/2020 imekaribia sana, ndugu Watanzania tusifanye makosa.

Pia rais anaejiamini sio kufunga mabarabara ya pale Ikulu kuogopaogopa anatuletea usumbufu sana wananchi kuzunguzunguka anafanya barabara kama mali zake binafsi yani nna hamu nae mimi huyu $%##@@*&&&&...

Tukutane tr 28 October
 
Tusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake.

Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka, siyo yale anayotaka yeye.

28/10/2020 imekaribia sana, ndugu Watanzania tusifanye makosa.

View attachment 1595370
Hakika ni yeye tu Tundu Lissu, uchaguzi mkuu 2020
 
Safi
Tusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake.

Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka, siyo yale anayotaka yeye.

28/10/2020 imekaribia sana, ndugu Watanzania tusifanye makosa.

View attachment 1595370
Safi sana rais wangu John Pombe Magufuli. Eti Amstadam nae anataka kukupangia😁😁😁😁
Chukua 5 tena mkuu, wakija corona waambie tutapiga nyungu na wakija na lockdown wewe tukimbize tukachape kazi
 
Back
Top Bottom