Uchaguzi 2020 Siku 45 za kampeni za Urais 2020 nimejifunza haya...

Bekiri

Member
Jun 30, 2013
14
63
1. Mgombea wa CCM akihubiri Upendo, Umoja, Amani na Mshikamano; Mgombea wa CHADEMA anahubiri mafarakano na utengano baina ya Watanzania wenyewe.

2. Mgombea wa CCM anaeleza namna kusimamia na kuboresha Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar; Mgombea wa CHADEMA anahubiri kuuvunja ndani ya siku 100 za awali akiwa Rais.

3. Mgombea wa CCM anahubiri Uzalendo kwa kutanguliza maslahi ya nchi kwanza; Mgombea wa CHADEMA yeye anahubiri kutanguliza maslahi ya Nchi za Ulaya ktk nchi yetu.

4. Mgombea wa CCM anahubiri maendeleo yaliyofanywa na Serikali kwa kipindi cha miaka mitano inayomalizika ( yanayoonekana); Mgombea wa CHADEMA anahubiri kuyabomoa hata yale yaliyokamilika tayari.

5. Mgombea wa CCM anaonesha heshima na Utii kwa vyombo vya dola na mamlaka zingine za Nchi licha ya kuwa ni Rais; Mgombea wa CHADEMA yeye kila kukicha ni kutukana mamlaka za nchi kuwa zinaongozwa na watu wajinga.

6. Mgombea wa CCM ananadi na kufafanua ILANI inayopambanua matarajio ya Serikali ijayo ktk Sekta ya Umeme kuwa utazalishwa na Serikali kupitia TANESCO (Stieglers Gorge; Mgombea wa CHADEMA anafafanua ILANI inayokusudia kurudisha uzalishaji wa umeme mikononi mwa watu binafsi kama ilivyokuwa RICHMOND na IPTL.

Hapa nimejifunza kuwa Ilani ya CHADEMA inakusudia kuturudisha ktk kashfa za ufisadi kama ule wa Richmond na IPTL.

7. Mgombea wa CCM na CCM wanahimiza UTII wa sheria bila shuruti; Mgombea wa CHADEMA na CHADEMA wanahimiza UKAIDI wa sheria. Rejea Ukaidi wa Nyamongo Mara, Mlandizi na Kibaha- Pwani.

8. Mgombea wa CCM anaomba kuchaguliwa kuwa Rais kutokana na historia yake ktk utendeji ndani ya Serikali kabla na wakati wa Urais wake; Mgombea wa CHADEMA anaomba kuchaguliwa kuwa Rais kwa sababu ya kunusurika kifo kana kwamba Urais ni pongezi.

9. Mgombea wa CCM anaomba Urais ili aendelee kuijenga nchi; Mgombea wa CHADEMA anaomba Urais ili aibomoe nchi kisha aanze upya kuijenga. Hapa nimejifunza kuwa, kuichagua CCM ni kuendelea kuijenga nchi na kuichagua CHADEMA ni kuibomoa nchi na kuanza kuijenga upya.

10. Mgombea wa CCM anaungwa mkono na makundi yote ktk jamii, yaani Vijana, Wazee na Akina Mama; Mgombea wa CHADEMA anaungwa mkono na kundi moja la Vijana ambao pia ni wachache.

Kwa siku hisi 45 za Kampeni za Uchaguzi nafasi ya Urais nimejifunza mengi, naendelea kujifunza mengi zaidi lkn kubwa zaidi nimejifunza kuwa CCM inayo nafasi kubwa ya kuchaguliwa ktk uchaguzi huu kutokana na utekelezaji mzuri wa Ilani yake ya Uchaguzi ya 2015-2020.
Tuendelee kujifunza!!
MenukaJr.
 
Umeandika professional rubbish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vile Magufuli anajiandaa kwenda kwenye kampeni kuchamba wanawake kuwa hataki wanawake weusi
347890.jpg
 
Ukiongelea umoja wa kitaifa halafu ukamhusisha Magufuli unakuwa umevuka kiwango cha mwisho cha uzezeta.
Huyu anayewaita wanaCCM watoto wake, na wanachama wa vyama vya upinzani Mbwa anawezaje kuleta umoja wa kitaifa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom