Hili liwe fundisho kwa CCM, watu wanafuata burudani na si sera

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Mara tu baada ya wasanii kumaliza kucheza sindimba zao pale kwa Mkapa watanzania woote wakaamua kujiondokea zao.

Hakuna aliye hitaji kusikiliza hotuba za viongozi wa CCM. Hili liwe ni fundisho kwa wana propaganda kina Polepole kuwa sasa CCM imechokwa.

 
Ni mara 100 wangekuwa wanaweka wasanii mwisho ili watu wakae kusubiria show hotuba watazivumilia hivyo hivyo ingawa haziwaingii wala kuwagusa
Wakifanya hivyo watakuwa wanawaiga TBC
 
1602264611435.png

1602264641163.png



acheni cheap politics, vp hapa kuna msanii gan
 
Back
Top Bottom