Arusha: Kada wa CHADEMA adaiwa kushambuliwa na kutupwa pembezoni mwa Barabara

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,501
9,280
Kada CHADEMA adaiwa kufanyiwa unyama na wasiojulikana

KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Evarist Rite, mkazi wa Narumu, Hai mkoani Kilimanjaro, ameokotwa akiwa amejeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana.

Mtu huyo aliokotwa jana akiwa ametelekezwa kando ya barabara kuu ya Arusha-Moshi, mji mdogo wa Kikatiti, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.

Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, Elias Mungure, alisema majira ya saa 11:00 jioni ya juzi, alipigiwa simu na wananchi na baadhi ya makada wa chama hicho wakimweleza kuwa kuna kada wa chama wamemkuta ametupwa barabarani.

“Tuliondoka vijana wetu kwenda eneo la tukio na tulipofika, tulimkuta Evarest akiwa ametupwa barabarani, anavuja damu kwenye ulimi, mikono, vidole, sehemu za siri na amevunjwa meno mawili ya mbele,” alisema Mungure.

Kwa mujibu wa Mungure, mtu huyo alitupwa karibu na kituo cha mafuta na kwamba waliofichua taarifa hizo ni pamoja na wafanyakazi wa kituo hicho, ambao walipiga simu Kituo cha Polisi na askari kufika eneo la tukio na kumhoji kada huyo.

“Kutoka kituo cha mafuta hadi kituo cha polisi kuna umbali wa mita 100 na baada ya hapo tulisafiri hadi Wilaya ya Hai, tulichukua PF3 (fomu ya polisi namba tatu) kwa ajili ya matibabu. “Baada ya kuchukua fomu hiyo, tulimpeleka Hospitali ya Wilaya ya Hai kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

Tuliwasiliana na viongozi wetu wa chama Wilaya ya Hai. “Walipofika hospitalini hapo, walithibitisha kumfahamu kada huyo na walisema kuwa walikuwa wamempangia majukumu ya kwenda kuchukua mabango ya chama,” alisema.

Mungure alisema walipofika eneo la tukio walimkuta kada huyo akiwa anatokwa na damu sehemu mbalimbali za mwili.

Alipotafutwa kuzungumzia tukio hilo, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi (ACP) Salum Hamduni, alisema bado hajapokea taarifa zozote kuhusiana na tukio hilo.
 
Sasa hii ni nini, mbona kaskazini vijana wanatumika vibaya sana kwenye siasa, vurugu za nini sasa, vita vya nini sasa, ilianza ile ya kumrushia mawe bwana lissu sahivi hili, kuna nini? Mbona miaka yote kulikua hakuna kitu kama hiki
 
Ngoja tuone kama kuna atakatoa tamko, singida nimesikia mwingine ameshambuliwa kwa mapanga na amepoteza maisha
 
Hii yote ni kutiana hofu uchaguzi kama unaweza kuingia doa kubwa sana, wale wa hai waliomtishia lissu kwa mawe unajua walikamatwa na wakasema walitumwa na mtu wa chama fulani, sasa hawa jamaa kama wakizidiwa nguvu ya mvuto wa kisiasa wasitumie mbadala wa vita tutauana wenyewe kwa wenyewe na uchaguzi utapita tu ukituachia makovu na vifo
 
I see. Hii hali ni mbaya na haijawahi kutokea. Two warring parties: CCM and the opposition. Dalili ya "civil war"!
 
Magufuli amesababisha tuishi kwa hofu na mashaka, huyu hapaswi kupewa tena ridhaa ya kuongoza nchi hii.
 
Uvccm wameshafanya yao
 
Hii yote ni kutiana hofu uchaguzi kama unaweza kuingia doa kubwa sana, wale wa hai waliomtishia lissu kwa mawe unajua walikamatwa na wakasema walitumwa na mtu wa chama fulani, sasa hawa jamaa kama wakizidiwa nguvu ya mvuto wa kisiasa wasitumie mbadala wa vita tutauana wenyewe kwa wenyewe na uchaguzi utapita tu ukituachia makovu na vifo
Hatari sana, hizi mbinu chafu zinaweza kueta madhara makubwa sana, sio za kufumbia macho
 
Sasa hii ni nini, mbona kaskazini vijana wanatumika vibaya sana kwenye siasa, vurugu za nini sasa, vita vya nini sasa, ilianza ile ya kumrushia mawe bwana lissu sahivi hili, kuna nini? Mbona miaka yote kulikua hakuna kitu kama hiki
Hii ni dalili kuwa kambi moja kati ya mbili zinazosuguana imeelemewa. Imeamu kumwaga damu kuitisha kambi nyingine.
 
Aliuliwa wa ccm akaja wa chadema.
Ikawa 1-1.
sasa kashambuliwa wa chadema anayefata wa wapi?.
 
Magufuli au IGP Sirro akumbuke tu dhamana ya usalama wa raia ipo mikononi mwake.

Afahamu pia Dunia inamtazama,asije akafikiri yupo chumbani kwake kajifungia hakuna anayemuoa
 
Hatari sana, hizi mbinu chafu zinaweza kueta madhara makubwa sana, sio za kufumbia macho
Halafu ukiangalia vyombo vya dola vinyewe vimeingia kwenye siasa.. ile ya ocd hai kusema bwana mbowe hutashinda jamaa ni kama madaraka yanamlevya unawezaje kumwambia mgombea wa chama fulani hutashinda kwa maana hiyo basi unajua mbinu zitakazotumika
 
Inashangaza!

Yaani mtu anathamini uchama kuliko utu na ubinadamu.
 
Kada CHADEMA adaiwa kufanyiwa unyama na wasiojulikana

KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Evarist Rite, mkazi wa Narumu, Hai mkoani Kilimanjaro, ameokotwa akiwa amejeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana.

Mtu huyo aliokotwa jana akiwa ametelekezwa kando ya barabara kuu ya Arusha-Moshi, mji mdogo wa Kikatiti, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.

Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, Elias Mungure, alisema majira ya saa 11:00 jioni ya juzi, alipigiwa simu na wananchi na baadhi ya makada wa chama hicho wakimweleza kuwa kuna kada wa chama wamemkuta ametupwa barabarani.

“Tuliondoka vijana wetu kwenda eneo la tukio na tulipofika, tulimkuta Evarest akiwa ametupwa barabarani, anavuja damu kwenye ulimi, mikono, vidole, sehemu za siri na amevunjwa meno mawili ya mbele,” alisema Mungure.

Kwa mujibu wa Mungure, mtu huyo alitupwa karibu na kituo cha mafuta na kwamba waliofichua taarifa hizo ni pamoja na wafanyakazi wa kituo hicho, ambao walipiga simu Kituo cha Polisi na askari kufika eneo la tukio na kumhoji kada huyo.

“Kutoka kituo cha mafuta hadi kituo cha polisi kuna umbali wa mita 100 na baada ya hapo tulisafiri hadi Wilaya ya Hai, tulichukua PF3 (fomu ya polisi namba tatu) kwa ajili ya matibabu. “Baada ya kuchukua fomu hiyo, tulimpeleka Hospitali ya Wilaya ya Hai kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

Tuliwasiliana na viongozi wetu wa chama Wilaya ya Hai. “Walipofika hospitalini hapo, walithibitisha kumfahamu kada huyo na walisema kuwa walikuwa wamempangia majukumu ya kwenda kuchukua mabango ya chama,” alisema.

Mungure alisema walipofika eneo la tukio walimkuta kada huyo akiwa anatokwa na damu sehemu mbalimbali za mwili.

Alipotafutwa kuzungumzia tukio hilo, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi (ACP) Salum Hamduni, alisema bado hajapokea taarifa zozote kuhusiana na tukio hilo.
Bongo inaenda kua sehemu mbaya watu kuishi
 
Back
Top Bottom