Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM kinajua kuwa siyo rahisi kushinda kwa sanduku la kura, sasa wapo tayari kwa lolote ilimradi warudi Ikulu upinzani wapende wasipende. CCM kinajua kina Madudu mengi hasa kwenye miradi hasa...
23 Reactions
78 Replies
5K Views
Na. Egla Mamoto Wakati Serikali Ya Awamu ya Tano Ya Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli ikilaumiwa na Baadhi ya wapotoshaji eti imejikita katika ujenzi wa Uchumi wa Vitu Badala ya Uchumi wa watu...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
ASILIMIA 100 YA TABAKA LILILOJICHOKEAGA AWAMU ZOTE,AMBALO AWAMU YA TANO LINAOGOPWA NA WENYE PESA, WATAMPA KURA ZOTE RAIS JOHN POMBE MAGUFULI. Leo 14:45hrs 06/09/2020 Tabaka la watu wanyonge...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Na Thadei Ole Mushi Kuna siku niliwaambia wenzetu huko nje wakiona wamepata kiongozi mwenye maono huwa hawamwachii kwa haraka. Niliwahi kuwaambia kuwa Urusi wao kwa kutambua Mchango wa Putin...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Hakuna ubishi kwa sasa Tanzania imesimama kwa sababu ya kampeni zinazoendelea za Uchaguzi Mkuu, Jumatano ya Oktoba 28, 2020. Swali la msingi, ikizingatiwa kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi ni je...
0 Reactions
2 Replies
828 Views
Serikali inatarajiwa kupokea Dollar million 40 au shilingi Billioni 100 kutoka kampuni ya Barrick ikiwa ni sehemu ya kishika uchumba cha Dollar Millioni 300 ambayo Barrick iliahidi kuipa serikali...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Mimi si mfuasi wa chama chochote kile naomba nieleweke hivyo kabla sijaweka hoja fupi leo kufuatana na press conference ya Kaka yangu Mbowe. Wengi wetu humu ndani tunamuita Mbowe ni Dj ama Mbowe...
32 Reactions
89 Replies
9K Views
Tangu kuanzishwa kwa siasa za ushindani wa vyama vingi mwaka 1992, Zanzibar hapakuwahi kuwa na utulivu wa kisiasa kwa muda mrefu sana. Kila uchaguzi mkuu ulifuatiwa na mikwaruzano na kusababisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mabibi na mabwana heshima kwenu. Umoja na utaifa ni tunu zitokanazo na kuzingatiwa kwa haki na uhuru wa watu. Hizi huakisiwa kimatokeo na hali ya amani na utilivu katika nchi husika. Kutatizwa...
0 Reactions
0 Replies
465 Views
NAONGEZA SAUTI, PART 3 Nawashangaa sana wale ambao mnafuata mkumbo bila kujua mnachokifuata Chadema ni mradi Chadema ni biashara kama biashara nyingine Mimi naijua chadema vyema kuliko wewe...
0 Reactions
1 Replies
659 Views
Hapa ni kwenye Mkutano wa hadhara kata ya Tindiga ==== NDIYO MZEE: JE PROFESA J ALIJITABIRIA Msanii wa miziki ya kufokafoka, hip hop, Joseph Haule, amekuwa mbunge wa Jimbo la Mikumi kwa miaka...
8 Reactions
52 Replies
6K Views
Leo eneo la Kinyerezi kwenye kampeni za Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ambaye ndie Rais Mtarajiwa hilo halina ubishi, Kumbilamoto amemuomba msamaha Dkt. Magufuli kuwa walifanya makosa...
10 Reactions
85 Replies
10K Views
Kwanini ninafikiri Tundu Lissu anatosha zaidi ya Magufuli? Kuna watu ambao wanasema kwamba KURA ya MTU ni siri.Pamoja na hayo ni lazima niweke rekodi sawa sawa ili kila mtu atambue kwamba...
51 Reactions
63 Replies
9K Views
'Hutashinda!, nani kakuambia utashinda? Unawadanganya wananchi wako kuwa utamshinda huyo?.. HUTASHINDA HATA UFANYAJE" Hayo ni maneno niliyojaribu kuyanukuu kutoka kwenye ile video inayoendelea...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Ratiba rasmi ya NEC toleo la 5 la Octoba 2 mwaka huu, inaonesha namna wagombea wa vyama vyote sehemu wanazotakiwa kuwepo kwenye mikutano rasmi ya kampeni. Lakini kumekuwepo na ukiukwaji mkubwa wa...
10 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ni muumini wa usawa kwenye uchaguzi. Tumeshuhudia huko duniani mamlaka zikiingia kwenye uchaguzi mkuu huku wakijitahidi kuweka usawa. Kwa Tanzania mwaka huu tumefeli na tunajichafua...
27 Reactions
58 Replies
5K Views
Mapokezi anayopata Tundu lissu kila mahali anakopita ni ishara ya watu kuchoka na watu wamechoka kweli kweli wala siyo utani. √ Vijana wanalia na ukosefu wa ajira √ Watumishi wanalia na nyongeza...
64 Reactions
158 Replies
12K Views
Dkt. Mwinyi aonya ubaguzi wa kidini. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) amesema bado kuna chembechembe za ubaguzi wa kidini kati ya wapemba na waunguja, wa Tanzania...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
“Nimepanda mabasi ya mwendokasi UDART kwa mara ya kwanza. Hapa nimekutana na Dada Rachel ambaye ananipa uzoefu wake wa usafiri huu. Naelekea Kariakoo”.
44 Reactions
192 Replies
18K Views
Leo Oktoba 07, 2020 Mgombea urais wa JMT Tundu Lissu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Ambassador Donald J. Wright. Balozi wa Marekani nchini Tanzania...
77 Reactions
269 Replies
25K Views
Back
Top Bottom