Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,652
Baada ya uchaguzi mkuu 2015, tulikuwa na "serikali ya Magufuli". Hii ndyo ilikuwa kauli ya wanasiasa wengi upande wa CCM hasa wale waliokuwa wakijipendekeza kupata vyeo. Na aliyekuwa akiongoza kutoa hii kauli alikuwa ni Mkuu wa mkoa wa Dr ( jina lake sahihi sina uhakika nalo).
Hata magufuli mwenyewe aliita " Serikali yangu".
Hivi sasa hii kauli imegeuka na kuwa serikali ya CCM na si Ya Magufuli au Yangu.
Hii ni baada ya upepo au nguvu za soda kukata au maandalizi ya Uchaguzi 2020.
2020 itakuwa serikali ya Wanyonge, baada ya uchaguzi itakuwa tena serikali ya Magufuli na si ya CCM .
Sent using Jamii Forums mobile app