Uchaguzi 2020 Lissu na Mkewe, familia ya waomba Urais yenye nguvu ya hoja kuwahi kutokea Tanzania

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
409
1,000
Familia hii ni moja ya familia yenye nguvu kuwahi kutokea Tanzania na Afrika Mashariki. Mke na mme kuwa na nguvu jukwaa, wasomi na watu wenye nguvu ya uthubutu Kama Hawa ni mara chache kutokea.

Mara nyingi hutokea mke kuwa na nguvu na kutumia nguvu hiyo kumbeba mume na mme kuwa na nguvu nakutumia nguvu hiyo kumbeba mke.

Kuvuka kivuko kwa boti ya mbao kwa mke na mme si jambo dogo, wam-erisk sana na kwa kiasi kikubwa wameelewa wananchi wanataka watu wa aina gani.

Kusimama na kutembea kwenye mikutano yote ya siasa nakuacha masuala ya familia si japo dogo.

Familia hii itufunze vijana kuwa ndoa ni taasisi inayohitaji watu wawili imara wanaoweza kuzaa kizazi jasiri.

Hongera Alice hongera Lissu. Mmetuonesha maana ya maisha ya ndoa, mmetuonesha uhusiano wa ndoa na uongozi.
God bless you
 

kikiboxer

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
1,189
2,000
Asante kwa huu uzi mkuu.

Mimi nilichoona ni kwamba Lisu anapotaka jambo lake anakuwa unstoppable.
Hili funzo kwetu vijana tunaokata tamaa kirahisi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom