Uchaguzi 2020 Mapokezi makubwa aliyopewa Lissu na wakazi wa Chato yana ujumbe mkubwa uliokuwa umejificha mioyoni mwao

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa akiwatendea.

Tukiondoa vitendo vichache vya hapa na pale vya kupangwa alivyofanyiwa Lissu Chato, kitendo wachoonyesha ni sawa na kupeleka ujumbe kuwa tumepata sehemu angalau ya kupumulia, kutolea hisia zetu kwa vitendo.

Na mara nyingi mtoto akiwa na shida huogopa kumwambia baba yake lkn akija mjomba hujieleza bila hofu, wakazi wa Chato wamejieleza wazi.

Wenye akili tu wataelewa.

7723DE66-D59F-4E3D-931D-F9EC26CB2656.jpeg
 
Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa anawatendea.

Kitendo wachoonyesha ni sawa na kupeleka ujumbe kuwa tumepata sehemu angalau ya kupumulia, kutolea hisia zetu kwa vitendo.

Wenye akili tu wataelewa.

View attachment 1599379
Kutendewa jambo hili mahali ambapo ndio kama shina lako lilipo linakufunulia jambo kubwa sana ambalo unapaswa kutulia na kulitafakari kwa kina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa anawatendea.

Kitendo wachoonyesha ni sawa na kupeleka ujumbe kuwa tumepata sehemu angalau ya kupumulia, kutolea hisia zetu kwa vitendo.

Wenye akili tu wataelewa.

View attachment 1599379
Hata Chato wapo wanawake weusi wengi. Hawatasikilizwa na Bwana yule. Nao wanatafuta Uhuru, Haki, na Maendeleo ya Watu.
 
Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa akiwatendea.

Tukiondoa vitendo vya hapa na pale vya kupangwa alivyofanyiwa Lissu, kitendo wachoonyesha ni sawa na kupeleka ujumbe kuwa tumepata sehemu angalau ya kupumulia, kutolea hisia zetu kwa vitendo.

Na mara nyingi mtoto akiwa na shida huogopa kumwambia baba yake lkn akija mjomba hujieleza bila hofu, wakazi wa Chato wamejieleza wazi.

Wenye akili tu wataelewa.

View attachment 1599379
Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
 
Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa akiwatendea.

Tukiondoa vitendo vichache vya hapa na pale vya kupangwa alivyofanyiwa Lissu Chato, kitendo wachoonyesha ni sawa na kupeleka ujumbe kuwa tumepata sehemu angalau ya kupumulia, kutolea hisia zetu kwa vitendo.

Na mara nyingi mtoto akiwa na shida huogopa kumwambia baba yake lkn akija mjomba hujieleza bila hofu, wakazi wa Chato wamejieleza wazi.

Wenye akili tu wataelewa.

View attachment 1599379
Sema alitandikwa mawe
 
Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Ungekuwa mpenzi wa AYO CHART ungejionea shangwe hiyo.
 
Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Haya umejifariji pole zako labda useme Nabii hakubaliki kwao
 
Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Acha ujinga wewe. Waliopopolewa mawe ni gari la muziki la Chadema wakati Lissu ameshaondoka kwenye mkutano. Walifanya ujanja kumtanguliza Lissu tena ni hao polisi ili wapige mawe hilo gari la matangazo ambalo lilibaki nyuma. Huo ni mkutano wa Chato ingawa pia walitokea wanaccm wachache wakaanza kuzomea wakati mkutano unaendelea ila wakapigwa wakakimbia na mkutano ukaendelea kama kawaida.

Ile video ni baada ya Lissu kupata habari kuwa gari yao ya vifaa vya muziki iliyobaki nyuma imeshambuliwa kwa mawe ndipo akasema kuwa haondoki hadi gari yao ifike ili waondoke pamoja. Lissu alifanya mkutano Chato na hiyo ni picha ya mkutano wake Chato.
 
Back
Top Bottom