Uchaguzi 2020 Mwenye kujua mgombea urais wa NCCR Mageuzi anijuze leo kampeni zake zipo wapi

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,680
Mwl. J. K. Nyerere alisema Watanzania wanahitaji mabadiliko na wasipo yaona ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM. Kuna watu walidhani Tanzania tunahitaji mabadiliko ya maigizo maigizo.

Nyerere alisema eti kuna wanasiasa Malaya Malaya tuwaogope Kama ukoma. Muda wa kudanganyana umekwisha tunataka mabadiliko ya kweli sio mazingaombwe.

Tundu Lissu ndiye rais ajaye Mungu anajua na hata lbirisi anajua ndio maana Leo anahangaika kuzuia mpango wa Mungu huko Ukerewe.

Maendeleo hayana vyamaa.
 
Maganja anachanja mbuga... urais mwaka huu hakuna wa kutuzuia nccr, tutawafanyia mageuzi hao mapinduzi na kuingia ikulu saa nne asubuhi.
Mwl. J. K. Nyerere alisema Watanzania wanahitaji mabadiliko na wasipo yaona ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM. Kuna watu walidhani Tanzania tunahitaji mabadiliko ya maigizo maigizo....
 
Back
Top Bottom