2020 akishindwa sijui atakubali kutoka?

2020 akishindwa sijui atakubali kutoka?

TAWA

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
3,674
Reaction score
1,572
Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.

Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.

Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa?

Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli? Yani wenzenu tuna mawazo.!
 
Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.
Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.
Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa? Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli?
Yani wenzenu tuna mawazo!!!!
Hata kafara tutafanya

Masheikh na waganga watausika tutasoma albadri ya kufa mtu mpaka atoke
 
Nasikia yule mfalme wa kile kijiji cha kule Gambia kaambiwa kama hutaki kuachia kigoda basi watatumiwa sungusungu wa kijiji au vijiji vya jirani kumuondoa kwenye kigoda. Nadhani huo utaratibu ndio sasa umeanza kutumika kwa wale waliko weka gundi aina ya superglue kwenye makalio ili wakikalia vigoda viwe vimeng'ang'ania na waseme mbona hakitoki sasa mimi nifanyeje?
 
Bora iwe hivyo, akitawala tena wote tutakufa tumuachie nchi.
 
Hata sisi apa kijijni kwetu tuna uchaguzi wa Mfalme 2020, ila apa kijijin kwetu hawez kupita coz wanakijiji tumesha mchoka sana na tunajuta, apa tumeandaa nyuki weng sana, akikataa kutoka tutafungulia miznga ya nyuki wamtimue, akiwezekana akimbilie kijij cha Jiran yake na rafk yake
 
Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.
Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.
Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa? Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli?
Yani wenzenu tuna mawazo!!!!
kwenda zako wewe hata aibu huna. mumekaa kutumika na mtu anayeamini kazaliwa awe rais. uchaguzi juzi rais na serikali yake wanafanya kazi mumekaa kumkwamisha. 2020 ndio hampati kitu mtabakia kulialia zaidi.
 
Sisi huyu wa kwetu hatuwezi kusubiri 2020, tunataka kumtoa utifi haraka iwezekanavyo maana tumemchoka kabisa
 
Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.
Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.
Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa? Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli?
Yani wenzenu tuna mawazo!!!!
Mimi Niko Gambia, wa huku kakataa matokeo.
 
Sisi huku Mfalme wa kijijini kwetu tumemchoka
naona tunataka kumuondoa kikabe,
Ikiwezekana tumeweke gerezani kisha ahukumiwe kifo
 
kwenda zako wewe hata aibu huna. mumekaa kutumika na mtu anayeamini kazaliwa awe rais. uchaguzi juzi rais na serikali yake wanafanya kazi mumekaa kumkwamisha. 2020 ndio hampati kitu mtabakia kulialia zaidi.
Mambo ya rais yamekujaje? Tunazungumzia kijiji chetu cha akina Sizonje. Mbona kama povu!!?
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom