Uchaguzi 2020 NEC yakabidhi nakala ya daftari la kudumu la wapiga kura kwa vyama vya siasa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
NEC YAKABIDHI NAKALA YA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA VYAMA VYA SIASA​

Tume ya Taifa ya uchaguzi leo imevikabidhi vyama vya siasa nakala tepe ya daftari la kudumu la wapiga kura pamoja na orodha ya vituo vya kupigia kura.

Pia wamekabidhi Karatasi ya mfano ya kupigia kura yenye orodha ya wagombea nafasi ya urais na makamu wa rais

Kanuni ya 37 ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mwaka 2018 inaelekeza Tume inaweza kuvipatia vyama nakala ya Daftari hilo kwa ajili ya utambuzi wa wapigakura wanaoingia Kituoni.

Masharti ya kanuni ya 50 (1) ya uchaguzi wa Rais na wabunge ya mwaka 2020, wasimamizi wa uchaguzi watavipatia vyama vya siasa orodha ya vituo vya kupigia kura ili vyama vipange mawakala.
 
Pongezi nyingi kwa tume,

Tunaimani kuwa mpo katika kusimamia haki na kazi zenu nzuri ndio zitakazotuletea viongozi bora wa Taifa letu.

Mungu atubariki sote tuwe na uchaguzi wa amani na wenye tija kwa Taifa letu.
Amina, na iwe kama ulivyoomba.
 
Pongezi nyingi kwa tume,

Tunaimani kuwa mpo katika kusimamia haki na kazi zenu nzuri ndio zitakazotuletea viongozi bora wa Taifa letu.

Mungu atubariki sote tuwe na uchaguzi wa amani na wenye tija kwa Taifa letu.
We just only want smooth transition of power from Magufuli to Braza Lissu after the election. No blah blah after that or else we will enter into the forest to restore back our sovereignty.
 
Ninaamini hilo daftari ni uongo na lenye ovu maana tume usikute ina daftari jingine kabisa. Ninaomba wapinzani watoe majina yaliyomo ili kila mpiga kura some jina lake kama lipo
Upinzani hamkosi kisingizio, kumbuka huo ni utaratibu wa kila uchaguzi lkn upinzani bado mnapigwa za uso
 
Haya yule mbwatukaji wenu kigogo kule twiter sijui atawadanganya nini tena
 
Magufuli bye bye soon Tanzanians will give you a marching order. The presidency you got by luck is in the near end. Soon Tanzania is going to be born again by heaven sent 'Death fighter' brazza lissu.
Bai bai unafikiri inakuwa kama unavyomuaga dadako siku ya sendoff yake?

Subiri lisu atakapopata 20% ndio utakapo jua huyo mtu wenu ni kopo tupu
 
Ajabu sana mwaka huu, sasa itakuwaje mtu akinyolewa na wembe bila sabuni kwenye kisaduku, maana upepo huu siusomi mafuriko kila mtaaa
 
Back
Top Bottom