Meli mpya kwa ajili ya Ukerewe yakamilika kama ilani ya CCM ilivyotaka, imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Octoba 2020

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,910
51,904
CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE kupata ajali. Leo imekamilika kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300.

Tatizo la usafiri Ukerewe kuwa historia.

Kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020.
 
CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE KUPATA ajali. LEO IMEKAMILIKA kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300.

Kuna majamaa hapa watakwambia hivyo ni VIMIUNDOMBINU. Lakini juzi walipotaka kwenda visiwani huko walivitaka hivyo vimiundombinu viwasafirishe. Kwanini hasingeogerea tuuu ilikukwepa kutumia hivyo vimiundombinu?
 
Mnacho kimavi. Hata mkizindua tarehe 28, haisaidii. Meli na flyover zitakupigieni kura.
 
Pamoja na yote,mmechelewa sana, WANANCHI wa leo siyo wa Zama za mawe, Meri ingenunuliwa kwa pesa zake hapo ingekuwa Maajabu,soneni Alana za nyakati.
 
CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE KUPATA ajali. LEO IMEKAMILIKA kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300...
Nayo Haina chama?
 
CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE KUPATA ajali. LEO IMEKAMILIKA kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300.

Tatizo la usafiri Ukerewe kuwa historia.

Kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020.
Siku Lissu akienda tena ukerewe Meli itaharibika, akiondoka tu inapona, ccm bana, huwa wananifurahisha sana, wana akili za kitotooo
 
Kuna vilaza watapinga hii
CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE KUPATA ajali. LEO IMEKAMILIKA kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300.

Tatizo la usafiri Ukerewe kuwa historia.

Kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020.
 
Hapo sawa. Kodi yetu lazima matunda yake yaonekane.
Husiwe na wasiwasi, tunaamini serikali ya Lissu itaisimamimia vizuri hiyo meli ilete tija kwa watanzania.
 
CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE KUPATA ajali. LEO IMEKAMILIKA kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300...
Hongera kwakutekeleza ahadi yenu ingawa mliwatoa ndugu zetu kafara kwenye Mv nyerere,ila nawakumbusha kuwa sikuizi hatudanganywi,hata mngetuletea tarehe28 Oct bapo tutawaazbu kwakutenda kiunafiki.

Lakini pia nkukumbushe ili sio Jambo lakujisfu nalo maana niwajibu waserikal yoyote duniani kuweka miundo mbinu sala pasipo kuathiri maisha yawanachi wake.

Kiongozi yoyote anae sema ukinichagua nitajenga barabara,nitajenga daraja,au nitaleta kivuko nk.uyo nkiongoz mfu maana wajibu haupaswi kuwa hisani
 
Back
Top Bottom