Uchaguzi 2020 Ilani ya CHADEMA haijitoshelezi!

Status
Not open for further replies.

Bekiri

Member
Jun 30, 2013
14
75
Ilani ya Chadema ni TAKATAKA ya kutupwa dampo. Haiwezi kuongoza hata kijiji.
Ilani haina utafiti wowote wala analysis yoyote imeandikwa kama barua ya posa.

Inasema tutaboresha barabara bila kueleza tatizo la barabara ni kubwa kwa kiasi gani na wataanza na barabara gani kwa muda gani. Kwa Ilani ya Chadema ni kama nchi hii haina kabisa barabara inakwenda kuanza upya. These people are very stupid.

Ilani ya CHADEMA haielezi inaomba uongozi wa nchi kwa muda gani, haijui kama ni Ilani ni mkataba kwa kipindi husika. Nenda kasome Ilani yao uone ujinga wa hawa wajinga. Its like hawajui wanachokwenda kufanya.

Kwa ilani ya CHADEMA matatizo ya Iringa ni sawa na yale ya Mtwara, matatizo ya Zanzibar ni sawa na ya Bara. Very useless ILANI ime-genalize mambo yote katika tawira moja.

Ilani haina uchambuzi wowote wa matatizo ya wananchi, haina utafiti wowote wa matatizo ya watu. Ilani ya kurasa 104 kama kitini cha matrix cha CBE inayotaka kuongoza nchi ni bure, ni takataka. Chadema ni dustbin kbs!

Ilani ya CHADEMA hailezi kwenye maji itafanya nini, haielezi ukubwa wa tatizo la maji ktk nchi na maeneo yenye changamoto zaidi yenye kupewa kipaumbele.

Ilani ipo kama mwongozo NGO haielezi takwimu za maji as if hakuna jambo lolote lililofanyika kwenye maji katika nchi hii. Kwa ILANI ya Chadema tatizo la maji DODOMA ni sawa na ilivyo MWANZA, tatizo la pembejeo Lindi ni sawa na ilivyo Daslamu. Hii ni Ilani ya hovyo sikupata kuona. Ilani ya kilevi kupita ulevi wenyewe.

Ilani ya CHADEMA haina research yoyote ktk jambo lolote, haina analysis yoyote katika jambo lolote ipoipo tu inapiga soga za mtaani kuhusu uhuru wa habari bila kueleza uhuru wa habari umekwenda wapi, uliondokaje na utarudije. Inasema tutaurudisha kama iliuchukua yenyewe!

Ilani hii ni TAKATAKA to be dampled, haina maana yoyote katika kuendesha nchi yoyote, ni uchafu mtupu. Inataja umeme bila kueleza ni tatizo ni kubwa kwa kiwango gani. Hakuna UTAFITI juu ya umeme, hailezi unatakiwa kupelekwa wapi kutokea wapi. Ilani inasimulia tu matatizo bila kuonesha namna ya kuyatatua. Very idiotic Ilani. Useless!

Sijapata kuona ILANI ya kipumbavu kama hii. Whichi kind of Ilani is this. Ilani imejumlisha mambo yote bila kutambua kuwa changamoto zinatofautiana kulingana na jiografia. Ilani haigusi maeneo ya watu kwa matatizo yao, ipo tu inasimulia habari za wasiojulikana halafu wanataka kupewa nchi kuongoza. Nonsense, to hell.

Watu wa Mtwara hawajui waichague CHADEMA kwa sababu gani kwa kuwa agenda yao haipo ktk Ilani, Kagera hawamo, Arusha bilabila Ilani ipo inahangaika na kuweka rehani madini ya nchi. Very stupid!!

Ilani ya CHADEMA ni zaidi ya TAKATAKA, Nenda kasome, sura ya 3.5 (a) ya ilani inasema Serikali ya Chadema itafuta Muungano wa Serikali mbili katika siku 100 za kwanza na kuufanya kuwa wa Serikali tatu (shirikisho) halalfu sura hiyohiyo 3.5 (c) inasema Serikali ya Chadema itaanzisha utaratibu wa mazungumzo katika ya Serikali ya Muungano na na SMZ yenye lengo la kufikia muafaka kuhusiana na uendeshaji wa uchumi, utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi, uvuvi wa bahari kuu na usajili wa meli za kimataifa.

Hivi unaelewa huu ujinga wa hawa wajinga wa CHADEMA!? Kamati gani ilipitisha ILANI ya kipumbavu namna hii?
Hawa watu ni wagonjwa wako HOI taabani ICU, yaani unavunja Muungano na kuifanya Zanzibar ijitegemee ikiwa na mamlaka yake kamili halafu unapanga kuzungumzia mali zake. Pumbavu kabisa. Watu wajinga sana hawa!! Ukiuvunja muungano huu na kuufanya wa shirikisho Serikali ya Shirikisho haina sauti juu ya jambo lolote linalohusu mali katika nchi washirika inakuwa ya kupewa tu kwa mfumo wa michango ndivyo rasimu inasema.

Wanachopinga hawakijui, wanachodai hawakijui. Wapo tu na vichwa vikubwa ubongo,kiduchu wanajiandika UTOPOLO. Hii ni Ilani ya hovyo, takataka, uchafu, inatia kinyaa, kichefuchefu.
 

THE LOST

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
1,054
2,000
Ccm kwenye ilani kuna sehemu mnasema mtaondoa elimu ya astashahada kwa walimu msingi ili kila mmoja awe na elimu ya stashahada but m/kiti akasema huo ni upumbavu na bado huo upumbavu upo kwenye ilani yenu sasa hapo takataka ni IPI?
 

ORCA ACE

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
747
1,000
Sure na ikapelekea naibu katibu wa wizara atumbuliwe kwa kuanza kuitekeleza.

Sasa kilicho ktk ilani ya ccm kimemfukuzisha kazi mama wa watu, sasa iyo ni ilani au takatakatakataka???
Ccm kwenye ilani kuna sehemu mnasema mtaondoa elimu ya astashahada kwa walimu msingi ili kila mmoja awe na elimu ya stashahada but m/kiti akasema huo ni upumbavu na bado huo upumbavu upo kwenye ilani yenu sasa hapo takataka ni IPI?
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
26,845
2,000
Ilani ya chadema haikuandikwa na watanzania iliandikwa ulaya ndio maana wanasema hawataki maendeleo ya vitu pia hawatakusanya kodi ila wataweka rehani madini yetu ili wakope wapate pesa za kuendesha serikali pia wao hawataki umoja wa kitaifa wanasema nchi wataivunja vipande vipande kwenye majimbo ambapo raisi hatakuwa na nguvu kwenye majimbo

pia wanatamka serikali itakuwa marufuku kufanya biashara kila kitu kitaendeshwa na sekta binafsi wanataka turudi kule kule kwa mifisadi ya umeme ya IPTL,RICHMOND NK
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom