siyo kufuata katiba mpya ?Mfumo bora ni common sense.
Namba 3 nafikiri inafaa...tungekuwa na madictator wenye mapenz na nchi kam Gaddafi alivyokuwa libya, alikuwa dictator ila inchi ilipata karibu kila kituMfumo gani wa utawala ungefaa zaidi kuondoa umaskini, kuleta maendeleo makubwa,utangamani,haki na furaha kwa bara la Afrika ? Je ni.
1. Demokrasia
2.Ufalme kamili
3.Udikteta mwema/benevolent
Umeambiwa Barani Africa Sio Tanzaniasiyo kufuata katiba mpya ?
Name calling imekatazwa jfUmeambiwa Barani Africa Sio Tanzania
Kwani umeskia kila Nchi inataka KATIBA MPYA ??r
Mda Wote Wewe ni Negativity Against Tanzania, yani Hilda Bwana
Hakuna mfumo unaompata mtu, mtu anakutwa na mfumo.Mfumo upi unaweza kusaidia kumpata mtu mwenye ubora kuongoza?