Nani mwenye ushawishi Serikalini atamwambia ukweli? Uchumi tumechemka...

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,221
Nawaza Kwa vina na uwelewa wangu katika uchumi kila nikiangalia kesho nasikia machozi na sikia huzuni najuwa ma million ya watanzania wasio na elimu ya uchumi hawajuwi nini kitatukumbuka na kuliacha Taifa na vilio visivyo na sababu. Yes nasema visivyo na sababu maana kulikuwa na shida gani kusikilizana na kukubaliana vipaumbele vyetu na kuliepusha Taifa katika mtanziko huu.

Ndugu zangu napita kila mahali Mjini na vijijini watu wanalia na ili sote kukisikia vizuri kilio hiki nenda sokon wakati wa jion, temebelea taasisi za fedha uwone hali ilivyo Kuwa hali.

Tanzania tuna import zaidi kuliko ku export na katika hali kama hiyo lazima tuwe na hazina ndogo ya Fx. Sasa nawaza Sana nasipati majibu je nakishi kubwa ya Fx tuna pata wapi kuwezesha hizi megar projects?

Uchumi unajengwa na principal ya demand and supply Yani hii principal huwa haidanganyi hata ukifanya vipi huwa ina kuumbuwa. Unaweza punguza.
 
Wewe hujaona ndege 11 au hutaki kupanda ndege? Na hujasikia tunaongeza zingine 5, haujui kama tayari Tz ipo uchumi wa kati na hivi karibuni tunakua donor country, subiri uone wazungu wanatoka kwao ulaya kuja kutibiwa Tanzania, muda si mrefu tutaanza kuikopesha USA na UK, na kusaidia bajet ya nchi zao
 
Anaeujua uchumi hawezi somesha watu namba hapo ni sawa na kuzuia mito ikuleteyo maji ziwani, huwezi ukaua diplomasia, huwezi ukaumiza wafanyabiashara na wafanyakazi, huwezi ukaua private sector hizi zote ni itikadi za kijamaa na ukomunistu huwa na lengo la kuwafanya watu wawe masikini ili watawaliwe.
 
Maguful.i ameturudisha kipindi cha 1970
 
Mimi huyu TumainiEli japo ni CCM lakini nampenda sana kwasababu anakubali mapungufu ya mgombea wao na chama chao kuliko wale wanafiki ambao hawataki kukubali ukweli. Maana kama huwezi kukubali kuwa kama sehemu fulani kuna tatizo basi huwezi kulitatua.
 
Wewe hujaona ndege 11 au hutaki kupanda ndege? Na hujasikia tunaongeza zingine 5, haujui kama tayari Tz ipo uchumi wa kati na hivi karibuni tunakua donor country, subiri uone wazungu wanatoka kwao ulaya kuja kutibiwa Tanzania, muda si mrefu tutaanza kuikopesha USA na UK, na kusaidia bajet ya nchi zao
Kutibiwa? Labda kwa Babu wa Loliondo. Hospitali zote hazina vifaa muhimu kama MRI labda kasoro Muhimbili tu.

Lakini kiwanja cha ndege kinajengwa Chato kwa shilingi bilioni 80 ambazo zingeweza kununua MRI ktk kila hospitali ya wilaya pamoja na kuwezesha mafunzo kutolewa kwa wataalamu wote.
 
Naskitika kukwambia hakuna mwenye uthubutu wa kumwambia ukweli hata kama wanaumia yaani wamechagua kumsikiliza na kumpigia makofi ili walinde hata kaugali kadogo wanakopata.
 
Sio tz tuu uchumi wa dunia umeshuka. Sababu ya korona

Kuwa mzalendo

Chagua CCM
 
Back
Top Bottom