Polisi wa kituo kidocho cha Mbarali Mr. Antipas Temu akiwa na Gari aina ya Nissan T809 AVW amevamia msafara wa mgombea Ubunge wa Chadema na kuanza kulipua mabomu. Kabla ya kuanza kurusha mabomu, Bw. Temu alijificha kichakani, naa Baada ya kitendo hicho, na kuona wananchi wananchi wanaanza kuchukua mawe kujilinda, Bw. Temu aliingia kwenye gari akakimbia kurudi kituoni.
Viongozi wa Chadema waliporudi kituoni kuripoti hilo tukio, Bw. Temu amewaambia kwamba ni kweli mabomu amepiga yeye na ametumwa na IGP Sirro na CCM na hakuna atakalofanywa. Na tayari ameshawafungulia wanachadema Kesi. Baada ya hiyo kauli, Bw. Temu amekimbia kutoka kituoni kwenda kusikojuliana.
Hadi naandika hii post polisi wote kituoni wamekataa kuchukua maelezo ya viongozi wa Chadema .Watu kadhaa wameumia akiwemo mama mmoja aliyevunjika mguu. Watu walikuwa ninwengi sana na kama siyo busara za mgombea Ubunge, raia ilikuwa wachukue sheria mkononi kujilinda