Uchaguzi 2020 CHADEMA kuna haja ya kufafanua sera ya majimbo inapotoshwa

Ti Go

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
566
500
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza nafikiri kuna hàja ya uongozi Wa juu Wa CHADEMA kufafanua juu ya Sera ya utawala Wa majimbo.

Kila Mara viongozi Wa CCM wanapohutubia wanapotosha Sera ya majimbo, wanadai kuwa Ni ya kuwagawa watanzania. Kadiri ninavyokumbuka Sera ya majimbo ililetwa kwa Mara ya kwanza Na katiba pendekezwa ya jaji Jarioba. Lakini pia muundo huo wa uongozi upo pia Kenya.

Mimi nafikiri kuondoa upotoshaji huo, viongozi Wa CHADEMA wenye platform ya kuhutubia umma bora mfanye hivyo.
 
Valuhwanoswela

JF-Expert Member
Jun 27, 2019
938
1,000
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza nafikiri kuna hàja ya uongozi Wa juu Wa chadema kufafanua juu ya Sera ya utawala Wa majimbo. Kila Mara viongozi Wa CCM wanapohutubia wanapotosha Sera ya majimbo, wanadai kuwa Ni ya kuwagawa watanzania. Kadiri ninavyokumbuka Sera ya majimbo ililetwa kwa Mara ya kwanza Na katiba pendekezwa ya jaji warioba. Lakini pia muundo huo Wa uongozi upo pia Kenya.
Mimi nafikiri kuondoa upotoshaji huo, viongozi Wa CDM wenye platform ya kuhutubia umma bora mfanye hivyo
Wanaopotosha ni wa CCM kwa sababu Mwenyekiti wao haelewi kitu na anapotosha kila kitu lakini nchi kubwa kama Tanzania wananchi wenye akili wanaelewa maana ya Utawala wa Majimbo na umuhimu wake. CCM walivyo wajinga wanachukulia neno Majimbo kuwa na maana ya kugawa nchi vipandevipande matokeo yake kuwagawa Watanzania vipandevipande kumbe Majimbo ni jina tu CHADEMA wangeweza kutumia Mikoa kama ilivyo sasa, Province ilivyokuwa kabla ya Uhuru, County ilivyo Kenya hata State ilivyo USA, maana ikawa hiyohiyo. Hata siku moja CHADEMA hawajasema watagawa nchi katika Majimbo wao wanasema wataleta Utawala wa Majimbo wala siyo wa kwanza kupendekeza mfumo huu wa Utawala nchini mwetu. Mwalimu Nyerere alikuwa wa kwanza kuona umuhimu wa Utawala wa Majimbo kuleta maendeleo sawa nchi nzima bila kupendelea maeneo fulanifulani kwa sababu yoyote ile ikiwa ni pamoja na wanakotoka viongozi. Nyerere, Mwenyekiti wa CCM,aliita Madaraka Mikoani (Decentralization, wasio wa CCM wanaelewa maana yake) lakini, kama ilivyo sasa, Wanachama wenzake ambao pia walikuwa Serikalini hawakuuelewa mfumo huu wa Utawala kwa hiyo utekelezaji wake ulishindikana. Kosa kubwa kabisa lilikuwa la kwake mwenyewe Rais na Mwenyekiti kwa kutoa hata hayo Madaraka nusunusu na kubakiza mengine kwake bila kupeleka Mikoani Madaraka na Mamlaka yote muhimu ili waweze kuamua mambo yao wenyewe. Rais akawa anaajiri na kuteua wafanyakazi wote muhimu na bajeti za Mikoa za matumizi tu, mapato yalikusanywa na Serikali Kuu, zilitayarishwa Mikoani na kuletwa Serikalini, zikipita baada ya kupunguzwa zilipelekwa Bungeni kupunguzwa zaidi. Rasimu ya Waryoba ya Katiba Mpya, kwa kutambua hali ya nchi yetu na kujali matakwa ya Wananchi, nayo ilipendekeza mfumo huu wa Utawala kilichotokea ni haohao CCM kwa kutoelewa walipinga kwa nguvu zote ndo maana hata Katiba yenyewe hatunayo hadi leo. Utawala wa Majimbo wanaopendekeza CHADEMA na wengine ina maana Majimbo, ndani ya maeneo yao, yatakuwa na Serikali zao kamili zikiongozwa na Watumishi ambao watachaguliwa na kufukuzwa au kuteuliwa na kutenguliwa au kuajiriwa na kutumbuliwa hukohuko bila Serikali Kuu kuhusika na watakusanya mapato yao na kupanga matumizi hukohuko. Serikali Kuu itakuwa ndogo kwa saizi lakini itakuwa juu ya Serikali zote za Majimbo kwa Madaraka na Mamlaka na ndo itatambulika Kimataifa na itaongozwa na Rais atakayechaguliwa na wananchi wote wanaokubalika kisheria akisaidiwa katika utendaji kazi zake na Mawairi na Watendaji Wakuu wengine. Ile Mihimili miwili mingine ya Mahakama na Bunge nayo itakuwepo na itapatikana kwa taratibu zitakazopangwa na kukubalika. Inaposemwa kuwa kutakuwa na Mabunge ya Majimbo, CCM wanafikiri yatakuwa makubwa kama Bunge la Ndugai la ndiyoooo na kupiga meza lakini yatakuwa na Wabunge 20 au 30 kutegemea ukubwa wa Jimbo ambayo yatatuwa jumla Majimbo labda 10 au 15 tu. Umuhimu na kuhitajika kwa Utawala wa Majimbo
umeonekana sana Awamu hii ambapo mtu mmoja tu amekuwa anaamua kutumia fedha za walipakodi wa huku kutekeleza miradi isiyo kipaumbele ya kule. Uwanja wa Chato usingejengwa kama Serikali yao ya Jimbo ingewataka wananchi wa Chato wagharamie huo ujenzi huku wao wanashida kubwa ya maji ingawa Ziwa lipo karibu.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
149,819
2,000

Hili haliko CHADEMA tu bali hata kwenye rasimu ya katiba ya Warioba limo na Mzee Warioba ni CCM tena aliyewahi kushika nafasi kubwa serikalini.
 
Statesman

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
22,929
2,000
Hatuhitaji ufafanuzi wowote, hiyo sera haitufai.

Kama mnaipenda sana zifanyeni familia zenu katika mfumo wa majimbo ila sio nchi yetu.
 
ZNM

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
1,136
2,000
Hoja hiyo haiwezi kueleweka kwa sasa maana muda wake bado, muda ukifika wote tutaielewa tu!
 
Shehullohi

JF-Expert Member
Jul 21, 2020
940
1,000
Hili ni jukwaa la great thinkers, haliendeshwi kwa mihemuko. Umeelezwa hapo juu kuwa Sera hiyo siyo ya CDM, imependekezwa Na Tume ya Warioba (mwana ccm damu damu)

Warioba ndiye mgombea urais wa uchaguzi 2020 wa cdm aliyenda kupiga picha mbele ya jumba la makao makuu ya mashoga dunia?
 
Ti Go

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
566
500
Wanaopotosha ni wa CCM kwa sababu Mwenyekiti wao haelewi kitu na anapotosha kila kitu lakini nchi kubwa kama Tanzania wananchi wenye akili wanaelewa maana ya Utawala wa Majimbo na umuhimu wake. CCM walivyo wajinga wanachukulia neno Majimbo kuwa na maana ya kugawa nchi vipandevipande matokeo yake kuwagawa Watanzania vipandevipande kumbe Majimbo ni jina tu CHADEMA wangeweza kutumia Mikoa kama ilivyo sasa, Province ilivyokuwa kabla ya Uhuru, County ilivyo Kenya hata State ilivyo USA, maana ikawa hiyohiyo. Hata siku moja CHADEMA hawajasema watagawa nchi katika Majimbo wao wanasema wataleta Utawala wa Majimbo wala siyo wa kwanza kupendekeza mfumo huu wa Utawala nchini mwetu. Mwalimu Nyerere alikuwa wa kwanza kuona umuhimu wa Utawala wa Majimbo kuleta maendeleo sawa nchi nzima bila kupendelea maeneo fulanifulani kwa sababu yoyote ile ikiwa ni pamoja na wanakotoka viongozi. Nyerere, Mwenyekiti wa CCM,aliita Madaraka Mikoani (Decentralization, wasio wa CCM wanaelewa maana yake) lakini, kama ilivyo sasa, Wanachama wenzake ambao pia walikuwa Serikalini hawakuuelewa mfumo huu wa Utawala kwa hiyo utekelezaji wake ulishindikana. Kosa kubwa kabisa lilikuwa la kwake mwenyewe Rais na Mwenyekiti kwa kutoa hata hayo Madaraka nusunusu na kubakiza mengine kwake bila kupeleka Mikoani Madaraka na Mamlaka yote muhimu ili waweze kuamua mambo yao wenyewe. Rais akawa anaajiri na kuteua wafanyakazi wote muhimu na bajeti za Mikoa za matumizi tu, mapato yalikusanywa na Serikali Kuu, zilitayarishwa Mikoani na kuletwa Serikalini, zikipita baada ya kupunguzwa zilipelekwa Bungeni kupunguzwa zaidi. Rasimu ya Waryoba ya Katiba Mpya, kwa kutambua hali ya nchi yetu na kujali matakwa ya Wananchi, nayo ilipendekeza mfumo huu wa Utawala kilichotokea ni haohao CCM kwa kutoelewa walipinga kwa nguvu zote ndo maana hata Katiba yenyewe hatunayo hadi leo. Utawala wa Majimbo wanaopendekeza CHADEMA na wengine ina maana Majimbo, ndani ya maeneo yao, yatakuwa na Serikali zao kamili zikiongozwa na Watumishi ambao watachaguliwa na kufukuzwa au kuteuliwa na kutenguliwa au kuajiriwa na kutumbuliwa hukohuko bila Serikali Kuu kuhusika na watakusanya mapato yao na kupanga matumizi hukohuko. Serikali Kuu itakuwa ndogo kwa saizi lakini itakuwa juu ya Serikali zote za Majimbo kwa Madaraka na Mamlaka na ndo itatambulika Kimataifa na itaongozwa na Rais atakayechaguliwa na wananchi wote wanaokubalika kisheria akisaidiwa katika utendaji kazi zake na Mawairi na Watendaji Wakuu wengine. Ile Mihimili miwili mingine ya Mahakama na Bunge nayo itakuwepo na itapatikana kwa taratibu zitakazopangwa na kukubalika. Inaposemwa kuwa kutakuwa na Mabunge ya Majimbo, CCM wanafikiri yatakuwa makubwa kama Bunge la Ndugai la ndiyoooo na kupiga meza lakini yatakuwa na Wabunge 20 au 30 kutegemea ukubwa wa Jimbo ambayo yatatuwa jumla Majimbo labda 10 au 15 tu. Umuhimu na kuhitajika kwa Utawala wa Majimbo
umeonekana sana Awamu hii ambapo mtu mmoja tu amekuwa anaamua kutumia fedha za walipakodi wa huku kutekeleza miradi isiyo kipaumbele ya kule. Uwanja wa Chato usingejengwa kama Serikali yao ya Jimbo ingewataka wananchi wa Chato wagharamie huo ujenzi huku wao wanashida kubwa ya maji ingawa Ziwa lipo karibu.
Maelezo/ufafanuzi mazuri kama haya inafaa yatolewe mahali ambapo wapiga kura wengi yanaweza kuwafikia. Pia kuna Swala la CDM kuwa wanatumiwa Na mabeberu, wagombea wanapaswa kulitolea ufafanuzi mzuri. Nasema hizo hoja, ukitembea mitaani, wagombea Wa CCM wanazitumia sana kupotosha wapiga kura. Uongo ukirudiwa rudiwa bila kukanushwa, wengi wanachukulia kuwa Ni ukweli
 
AGITATOR

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
1,334
2,000
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza nafikiri kuna hàja ya uongozi Wa juu Wa CHADEMA kufafanua juu ya Sera ya utawala Wa majimbo.

Kila Mara viongozi Wa CCM wanapohutubia wanapotosha Sera ya majimbo, wanadai kuwa Ni ya kuwagawa watanzania. Kadiri ninavyokumbuka Sera ya majimbo ililetwa kwa Mara ya kwanza Na katiba pendekezwa ya jaji Jarioba. Lakini pia muundo huo wa uongozi upo pia Kenya.

Mimi nafikiri kuondoa upotoshaji huo, viongozi Wa CHADEMA wenye platform ya kuhutubia umma bora mfanye hivyo.
Chama cha Mbowe kina Sera. Hizo ni Sera za Lissu na kina Amsterdam ili wapate rasilimali zetu.
 
ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
2,663
2,000
Mnajua mapato ya halmashauri kwa kila mkoa?mnajua mapato ya TRA kwa kila mkoa?
Yaani ikija hivyo DSM itakuwa kama Lagos au jburgs na maeneo mengine yatakuwa hoi balaa.
kwa ujumla mapato ya tanzania kwa asilimia karibu 40 yanategemea biashara za dsm na ikiruhusiwa hiyo ndio tunavunja umoja wetu.
 
Ibumalo

JF-Expert Member
Mar 19, 2017
212
250
Wanaopotosha ni wa CCM kwa sababu Mwenyekiti wao haelewi kitu na anapotosha kila kitu lakini nchi kubwa kama Tanzania wananchi wenye akili wanaelewa maana ya Utawala wa Majimbo na umuhimu wake. CCM walivyo wajinga wanachukulia neno Majimbo kuwa na maana ya kugawa nchi vipandevipande matokeo yake kuwagawa Watanzania vipandevipande kumbe Majimbo ni jina tu CHADEMA wangeweza kutumia Mikoa kama ilivyo sasa, Province ilivyokuwa kabla ya Uhuru, County ilivyo Kenya hata State ilivyo USA, maana ikawa hiyohiyo. Hata siku moja CHADEMA hawajasema watagawa nchi katika Majimbo wao wanasema wataleta Utawala wa Majimbo wala siyo wa kwanza kupendekeza mfumo huu wa Utawala nchini mwetu. Mwalimu Nyerere alikuwa wa kwanza kuona umuhimu wa Utawala wa Majimbo kuleta maendeleo sawa nchi nzima bila kupendelea maeneo fulanifulani kwa sababu yoyote ile ikiwa ni pamoja na wanakotoka viongozi. Nyerere, Mwenyekiti wa CCM,aliita Madaraka Mikoani (Decentralization, wasio wa CCM wanaelewa maana yake) lakini, kama ilivyo sasa, Wanachama wenzake ambao pia walikuwa Serikalini hawakuuelewa mfumo huu wa Utawala kwa hiyo utekelezaji wake ulishindikana. Kosa kubwa kabisa lilikuwa la kwake mwenyewe Rais na Mwenyekiti kwa kutoa hata hayo Madaraka nusunusu na kubakiza mengine kwake bila kupeleka Mikoani Madaraka na Mamlaka yote muhimu ili waweze kuamua mambo yao wenyewe. Rais akawa anaajiri na kuteua wafanyakazi wote muhimu na bajeti za Mikoa za matumizi tu, mapato yalikusanywa na Serikali Kuu, zilitayarishwa Mikoani na kuletwa Serikalini, zikipita baada ya kupunguzwa zilipelekwa Bungeni kupunguzwa zaidi. Rasimu ya Waryoba ya Katiba Mpya, kwa kutambua hali ya nchi yetu na kujali matakwa ya Wananchi, nayo ilipendekeza mfumo huu wa Utawala kilichotokea ni haohao CCM kwa kutoelewa walipinga kwa nguvu zote ndo maana hata Katiba yenyewe hatunayo hadi leo. Utawala wa Majimbo wanaopendekeza CHADEMA na wengine ina maana Majimbo, ndani ya maeneo yao, yatakuwa na Serikali zao kamili zikiongozwa na Watumishi ambao watachaguliwa na kufukuzwa au kuteuliwa na kutenguliwa au kuajiriwa na kutumbuliwa hukohuko bila Serikali Kuu kuhusika na watakusanya mapato yao na kupanga matumizi hukohuko. Serikali Kuu itakuwa ndogo kwa saizi lakini itakuwa juu ya Serikali zote za Majimbo kwa Madaraka na Mamlaka na ndo itatambulika Kimataifa na itaongozwa na Rais atakayechaguliwa na wananchi wote wanaokubalika kisheria akisaidiwa katika utendaji kazi zake na Mawairi na Watendaji Wakuu wengine. Ile Mihimili miwili mingine ya Mahakama na Bunge nayo itakuwepo na itapatikana kwa taratibu zitakazopangwa na kukubalika. Inaposemwa kuwa kutakuwa na Mabunge ya Majimbo, CCM wanafikiri yatakuwa makubwa kama Bunge la Ndugai la ndiyoooo na kupiga meza lakini yatakuwa na Wabunge 20 au 30 kutegemea ukubwa wa Jimbo ambayo yatatuwa jumla Majimbo labda 10 au 15 tu. Umuhimu na kuhitajika kwa Utawala wa Majimbo
umeonekana sana Awamu hii ambapo mtu mmoja tu amekuwa anaamua kutumia fedha za walipakodi wa huku kutekeleza miradi isiyo kipaumbele ya kule. Uwanja wa Chato usingejengwa kama Serikali yao ya Jimbo ingewataka wananchi wa Chato wagharamie huo ujenzi huku wao wanashida kubwa ya maji ingawa Ziwa lipo karibu.
Mbaya zaidi hela ya serikali ameigeuza kuwa yake na kuanza kuwasimanga nazo watu au maeneo yasiyompenda na kuacha kumpigia kura.
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,974
2,000
Mnajua mapato ya halmashauri kwa kila mkoa?mnajua mapato ya TRA kwa kila mkoa?
Yaani ikija hivyo DSM itakuwa kama Lagos au jburgs na maeneo mengine yatakuwa hoi balaa.
kwa ujumla mapato ya tanzania kwa asilimia karibu 40 yanategemea biashara za dsm na ikiruhusiwa hiyo ndio tunavunja umoja wetu.
Tatizo mnajifanya hamuelewi linalozungumzwa au mnajitoa ufahamu. Serikali kuu hukusanya kodi ambayo inaweza na itatumika kuona maendeleo yanapatikana kwa wale ambao hawana rasilimali za kutosha. Wengi tunasahau Japan zaidi ya rasilimali watu (human capital) hawana kingine cha kupigia kelele.
 
Gerald .M Magembe

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
1,513
2,000
jee katika Tanzania yetu kuna sehemu yeyote nyingine mbali ya mkoa wa Geita na unatembea kilometer 500 kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine ( Mwanaza Airport to Bukoba airport ) na una watu million nne hakuna uwanja wa Ndege? na una mapato ya billion198 kwa mwezi?

TUPUNGUZE UJINGA-- Geita ni tajiri kuliko mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Tanga na Manyara kwa pamoja? mbona Watanzania tunauza akili zetu? Mkoa wa Geita unazalisha 7% ya GDP ya Tanzania.
Ki mapato- Mkoa wa Geita unazalisha kipato kikubwa kuliko shuguli zote za Utalii kwa nchi Nzima. na ndio mkoa sasa hivi unaingiza mapato ya kigeni kuliko shuguli zote za kilimo cha Mazao yote yanayo limwa nchi nzima. TUSISHIKIWE AKILI.

Wachumi muongee msowaachie vilaza wawa aminishe watanzania kitu cha uwongo wakati data zote zipo.
 
Shehullohi

JF-Expert Member
Jul 21, 2020
940
1,000
Waliufyata waliomkana na kumtoa kafara mwenzao. Wangesimama kidete na kumtetea Makonda tungewaelewa.

Utamtetea anaye mwaga petrol kwenye moto unaofuka. Akijidai eti ni maji yaliyo changwanywa na dawa ya kuuzima.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom