Uchaguzi 2020 Uchaguzi huu hauhitaji mabavu unahitaji hekima zaidi

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,649
20,988
Jambo lolote lile huweza kutengenezwa kwa muda mrefu sana lakini maaribifu au kuuaribu uzuri wake ukachukua majuma mawili tu.

Sababu ya kuyaandika haya hapo ni kuwaomba viongozi wetu wa ngazi zote husika za kiserekali kuitumia hekima yote ile iliyo kuu ili kuweza kuiepusha nchi yetu dhidi ya yote yale mabaya yanayoweza kutokea hasa pale watu wachache watakaokuwa na dhamira ya kuipindisha haki ya aina fulani kwani vyeo hivi ni dhamana tu na havina umaana wowote mbele ya mwenyezi mungu kwa nini tupigane?

kwa nini tuumizane?

all and all it need a real common sense ni kweli madaraka ya kidunia ni matamu sana lakini utamaduni wa kistaarabu huwa mwema zaidi hasa kwa sisi binaadamu ambao ni super creature mungu aliyetuumba kwa mfano wake kwanini tujitoe akili na kuanza kuumizana ?

ease way is to accept for what it may come out ni heshima kubwa kweli
 
Watu wawili uwezi kuwashauri:-
1 Mwenye madaraka na ulizi wa kijeshi
2 Mwenye njaa ya kufa anapoona chakula mbele yake.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mimi natamani wale watawala wanaosema wana hofu Na Mungu, wayasome haya Na wayatekeleze. Maisha yetu hapa duniani Ni mafupi, kwa nini uharibu maisha yako ya milele kwa kugang'ania vitu vya muda mfupi? Amini yuko wapi? Gadaf yuko wapi? Mkurunziza yuko wapi?........ Daima ukitata Amani basi tenda haki.
 
Once you cause an innocent death its a curses to you it must cost you by any means
 
Back
Top Bottom