jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Prof. Kitila Mkumbo ambaye unaweza kumuita kuwa ni engeneer wa Chama kimojawapo cha upinzani hapa nchini (tukirejea sakata la waraka wa mabadiliko ndani ya Chadema) ameeleza kwa kujiamini kuwa bado vyama vya upinzani nchini havijajipanga KISERA NA KIUONGOZI hivyo Rais Magufuli anaenda kushinda tena 2020 kwa ushindi mkubwa.