Mimi nikiwa mzalendo mkereketwa na muumini wa maendeleo ninamjulisha Baba Askofu Bagonza kuwa mimi ninaenda na mitano tena na siyo mitano kwanza kwa sababu zifuatazo:
1.mitano tena itaendelea kutuletea neema ya maendeleo yaliyokwisha anza
2 mitano tena ina uzoefu wa kuliongoza taifa na kulivusha kwenye mawimbi
3. Mitano tena wametuvusha kwenye korona kwa weledi
4.mitano tena wana hazina ya uongozi
5.mitano tena wameanzisha miradi mingi ya kimkakati wamalizie wao wakija mitano kwanza wataifuta na kuiacha
6.mitano tena wametekeleza ilani yao kwa asilimia 89 mitano kwanza wanaingia na hazina ya maneno matupu.
7. Mitano tena wameleta maendeleo ya watu ingawa mitano kwanza hawataki kutambua hilo
8. Mitano kwanza wakichukua nchi hatujui hatma itakuwaje iwapo wameshindwa hata kujenga jengo la ofisi yao
9.mitano tena ndiyo habari ya mjini kwa kuwachagua wao sitabahatisha kwa hilo
10.MITANO TENA kwa Dr Magufuli(PHD)NITAMPIGIA KURA YA NDIYO. MITANO KWANZA KWA Wakili Msomi Lissu HAPANA.