Wananchi wa Dar es salaam tuipime CCM na viongozi wake kupitia mvua hizi zinazoendelea kunyesha

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,502
6,403
Wakuu

CCM na viongozi wake wamekuwa wakijinadi kipindi cha uchaguzi kwamba jiji la Dar es salaam limejengwa kisawasawa na miundombinu yake hususani barabara iko vizuri jiji zima

Fly over za kutosha, bombadi, daraja la salenda halikadhalika Mwendokasi vyote hivi CCM inasema ni kwaajili ya manufaa ya wanadaslam!

Mvua hizi zimekuja wakati muafaka, kipindi cha kampeni ambapo Magufuli na CCM yake wanasema waliahidi na wametekeleza, Je Jijini Dar es salaam waliahidi mafuriko kwa wakazi wa keko, mikocheni, jangwani na kwingineko?

Je waliahidi na kutelekeza barabara hizi zilizofungwa kufuatia mvua ya siku moja tu?

Ni muda muafaka sasa kwa wakazi wa Dar es salaam kuamua kuendelea kuteseka na hadha hizi za miaka mingi ndani ya jiji au kuchagua upande mwingine ili ukawatatulie kero hii kubwa kwani CCM imeshindwa
 
Tunaomba kura zenu. Tumejenga uwanja wa ndege Chato. Sasa tutawasikiliza wanawake weupe.
 
Wakuu

CCM na viongozi wake wamekuwa wakijinadi kipindi cha uchaguzi kwamba jiji la Dar es salaam limejengwa kisawasawa na miundombinu yake hususani barabara iko vizuri jiji zima

Fly over za kutosha, bombadi, daraja la salenda halikadhalika Mwendokasi vyote hivi CCM inasema ni kwaajili ya manufaa ya wanadaslam!

Mvua hizi zimekuja wakati muafaka, kipindi cha kampeni ambapo Magufuli na CCM yake wanasema waliahidi na wametekeleza, Je Jijini Dar es salaam waliahidi mafuriko kwa wakazi wa keko, mikocheni, jangwani na kwingineko?

Je waliahidi na kutelekeza barabara hizi zilizofungwa kufuatia mvua ya siku moja tu?

Ni muda muafaka sasa kwa wakazi wa Dar es salaam kuamua kuendelea kuteseka na hadha hizi za miaka mingi ndani ya jiji au kuchagua upande mwingine ili ukawatatulie kero hii kubwa kwani CCM imeshindwa
Budget ya kujenga sealander bridge ingeweza ku solve tatizo kwa hayo maeneo yote uliyotaja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takwimu zinaonyesha Dar es salaam ndo Mkoa hapa Tanzania unaoongoza kwa kukaliwa na watu wengi wenye upeo mdogo hapa Tanzania.
Ndo Mkoa unaokuta jitu linatiririsha maji machafu ya chooni barabarani, linatupa taka ovyo na bado hilo jitu litajitokeza hadharani kulaumu Serikali kuwa Jiji linanuka na CCM iondoke madarakani.
 
Dar-Es-Salaam ya Bashite...#timu_DAB watakuja kusema haya mambo hayakuwepo kipindi cha Bashite, Bashite alizuia mafuriko, blah blah arudishwe kwenye jiji lake.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Hizi mvua zimeletwa na wapinzani ili kuvuruga ziara ya JPM DSM, na pia kuvuruga hoja ya ujenzi wa flai over na miundombinu DSM, nimesikia wapinzani wameleta kikosi ya waganga wa kuita mvua ili mvua inyeshe mfululizo mpaka tarehe 26/10, ili wana DSM waichukie serikali baada ya kupigwa na shida ya foleni.

Nasikia eti kila sehemu mzee wetu akienda kuhutubia, hawa waganga wanaanza kazi siku moja kabla, na wakiona watu hawasikii, wataanza kuleta ngurumo kubwa kama za kuzimu pamoja na radi kali zinazowaka mwanga kutoka kusi mpaka kaskazi

Sie wana ccm na sisi tutafute waganga wa kuzuia mvua, Mshana Jr tafadhali, hebu ingia uwanjani,wazee wenzio hatuwezi kuadhirika na wewe upo, Fanya mafekeche mvua zikiletwa na hawa jamaa basi unazielekezea baharini
 
Jana Kuna mla kondoo Mwandamizi anasema tatizo la mafuriko Dar Ni Halima Mdee😂😅😅😀😀
Huyu akipita kwenye sanduku la kura, nitaamini Dar hakuna wanaume, wanaume tupo mikoani.

Everyday is Saturday............................ :cool:
 
Kero niliyoipata jana kutokea mjini sina hamu na hawa jamaa; how comes unatoka Kariakoo saa 10 jioni unafika viunga vya jiji saa 6 usiku? Wahusika oneni aibu basi; ni kero ya kila mara lakini hamjifunzi.
 
Nyooka nao 28th Oct...

kulialia haidii..
 
Tunaomba kura zenu. Tumejenga uwanja wa ndege Chato. Sasa tutawasikiliza
Kero niliyoipata jana kutokea mjini sina hamu na hawa jamaa; how comes unatoka Kariakoo saa 10 jioni unafika viunga vya jiji saa 6 usiku? Wahusika oneni aibu basi; ni kero ya kila mara lakini hamjifunzi.
tarehe 28 kura zote kwa Lissu
hili ndio suruhisho
 
Kero niliyoipata jana kutokea mjini sina hamu na hawa jamaa; how comes unatoka Kariakoo saa 10 jioni unafika viunga vya jiji saa 6 usiku? Wahusika oneni aibu basi; ni kero ya kila mara lakini hamjifunzi.
We tatizo lako unapita chocho ungepita UBUNGO au Tazarra
 
Back
Top Bottom