Uchaguzi 2020 CCM ipo katika 'Sakaratul Maut', tutawasikia wakisema mengi sana

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
CHADEMA inawamaliza CCM na kuwaziba koo, CCM wameanza kupata tatizo la kupumua mbali ya kuwa safari zao za wagombea wao wamefungasha wasanii magoigoi waliojaa hofu ya kuiogopa CCM,

Msiiogope CCM kwani mwisho wao ni mara tu baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi ikiaminiwa bila ya chenga kuwa CCM imefikia mwisho wake, naaza kuinua mikono juu Kumshukuru Mwenyezi Mungu.

Vyama vya upinzani endeleeni kuwatoa hofu wananchi, kwani wale vichwa maji wa CCM wanoranda na malori ya wahudhuriaji wakiwahamisha mkoa hadi mkoa baada ya October 28 watakuwa ni historia kiburi chao na ujuwaji wao unakomeshwa.

CCM haipo na jinsi inavyokata roho inapaparika kupita maelezo,wanasomba watu kutoka kila kona ya Tanzania, waonekane wanajaza watu kwenye mikutano yao ya kampeni, kama mnavyoona misafara yao kutoka mkoa hado mkoa imejaa magari waliyotoka nayo Dodoma, magari ni yale yale watu ni walewale. Ni aibu kwa chama kinachosema kimeleta maendeleo kila kona.

Si wananchi, si polisi, si wanajeshi si vyombo vya usalama si wafanyakazi serikalini, wote wameshaichoka CCM kwa jinsi inavyowahangaisha, njooni huku twendeni kule watu hawana raha na maisha wapo mbioni tu wakitakiwa kuilinda CCM, ambayo bila ya kuwatisha watu kwa barua za kuhudhuria mikutano na kuweka waimbaji mastaa asingehudhuria mtu.

Watajwa hapo juu msiogope kitu kura ni siri na hakikisha unaondoa udhia huo unaowakumba kwa kuikataa CCM kwenye sanduku la kura, unaogopa nini, nani wakati CCM inachinjwa tarehe hiyo, wewe ukiwa mmoja wapo wa kuisitisha uhai wake.
 
Kwani ccm wanahajagani yakutumia nguvu katika kampeni?

Kampeni walishamaliza siku nyiiiingiiii saaanaaa, na ushindi wa magufuli mwaka huuu ni wa asilimia miamojaaa.

Ndiomaaanaa tumewaaacha washuhudia kiki za miujiza ili wahangaike wenyewe kuzunguka kila siku ili wasijeraum hawakufanya kampeni.

Leo hiiii tuu ukimuuliza mzee wa kiki za miujiza, toka arudi kutoka ugaibuni mpaka leo, anashinda kwenye nyomi ya watu rundo, muulize kama atanakumbuka kuvaaa barakoa, au kunawa mikono. Hii inaonesha korona magufuli ameitokomezaaa. Walibisha saana na kuomba rock down huku nao wakifanya kiki za maigizo za kufanya vikao kwa njia ya mtandao, jee mbona kwa sasa hizo kiki hazipo? Kwahiyo nao wanaunga juhudi za magufuli Tanzania hakuna korona?

Kama wanaamini korona ipo kama walivyokuwa wakiwasaport mabeberu wao, jeee kunajuhudi zozote huyu mzee wa kiki za miujiza amechukua ilikorona isiendeleeee??
 
Muda mwingine unawaonea huruma Chadema. Walikuwa na miaka 5 ya kujipanga lakini wamekuwa wanakimbiza na mambo ambayo hayana tija kwa chama wala mwananchi wa kawaida. Kisa, wanasema hakuna uhuru wa siasa. Sia sio majukwaani tuu, ni pamoja na mikakati pia. Leo hii wanalaumu vitengo vya habari ndani na nje ya chama, Duh.
 
Kwani ccm wanahajagani yakutumia nguvu katika kampeni?

Kampeni walishamaliza siku nyiiiingiiii saaanaaa, na ushindi wa magufuli mwaka huuu ni wa asilimia miamojaaa.

Ndiomaaanaa tumewaaacha washuhudia kiki za miujiza ili wahangaike wenyewe kuzunguka kila siku ili wasijeraum hawakufanya kampeni.
Leo hiiii tuu ukimuuliza mzee wa kiki za miujiza, toka arudi kutoka ugaibuni mpaka leo, anashinda kwenye nyomi ya watu rundo, muulize kama atanakumbuka kuvaaa barakoa, au kunawa mikono. Hii inaonesha korona magufuli ameitokomezaaa. Walibisha saana na kuomba rock down huku nao wakifanya kiki za maigizo za kufanya vikao kwa njia ya mtandao, jee mbona kwa sasa hizo kiki hazipo? Kwahiyo nao wanaunga juhudi za magufuli Tanzania hakuna korona?

Kama wanaamini korona ipo kama walivyokuwa wakiwasaport mabeberu wao, jeee kunajuhudi zozote huyu mzee wa kiki za miujiza amechukua ilikorona isiendeleeee?
CCM wanashinda kwa asilimia 100 kutokana na ile idadi ya tume kwamba wamejiandikisha watu m29, wakati wapiga kura halisi ni nusu ya hao.
 
Sasa mbona Chadema awaishi lawama kwa mtu anaekata pumzi salakatul mauti?

Kwani umeambiwa Sakatulmauti ni kifo???--- mtu akiwa katika Sakatulmauti anaweza akarejea katika uzima, sasa Chadema wanachofanya hivi sasa ni kuhakikisha huyo "MTU" anakufa kabisa ili asijekuzinduka.
 
Kwani ccm wanahajagani yakutumia nguvu katika kampeni?

Kampeni walishamaliza siku nyiiiingiiii saaanaaa, na ushindi wa magufuli mwaka huuu ni wa asilimia miamojaaa.

Ndiomaaanaa tumewaaacha washuhudia kiki za miujiza ili wahangaike wenyewe kuzunguka kila siku ili wasijeraum hawakufanya kampeni.
Leo hiiii tuu ukimuuliza mzee wa kiki za miujiza, toka arudi kutoka ugaibuni mpaka leo, anashinda kwenye nyomi ya watu rundo, muulize kama atanakumbuka kuvaaa barakoa, au kunawa mikono. Hii inaonesha korona magufuli ameitokomezaaa.

Walibisha saana na kuomba rock down huku nao wakifanya kiki za maigizo za kufanya vikao kwa njia ya mtandao, jee mbona kwa sasa hizo kiki hazipo? Kwahiyo nao wanaunga juhudi za magufuli Tanzania hakuna korona?

Kama wanaamini korona ipo kama walivyokuwa wakiwasaport mabeberu wao, jeee kunajuhudi zozote huyu mzee wa kiki za miujiza amechukua ilikorona isiendeleeee?
Mzee Corona imeingiaje hapa.....hivi kusomba wasanii 200 huku si kuhangaika!😂😂
 
CCM wanashinda kwa asilimia 100 kutokana na ile idadi ya tume kwamba wamejiandikisha watu m29, wakati wapiga kura halisi ni nusu ya hao.
Hizotakwimu za kusema nusu ya hao nitakwimu gani mzeee?
Shule hujakanyaga halafu unajitapa masuala ya takwimu?
Achajanjajanjaaa
 
Kwani ccm wanahajagani yakutumia nguvu katika kampeni?

Kampeni walishamaliza siku nyiiiingiiii saaanaaa, na ushindi wa magufuli mwaka huuu ni wa asilimia miamojaaa.

Ndiomaaanaa tumewaaacha washuhudia kiki za miujiza ili wahangaike wenyewe kuzunguka kila siku ili wasijeraum hawakufanya kampeni.
Leo hiiii tuu ukimuuliza mzee wa kiki za miujiza, toka arudi kutoka ugaibuni mpaka leo, anashinda kwenye nyomi ya watu rundo, muulize kama atanakumbuka kuvaaa barakoa, au kunawa mikono. Hii inaonesha korona magufuli ameitokomezaaa.

Walibisha saana na kuomba rock down huku nao wakifanya kiki za maigizo za kufanya vikao kwa njia ya mtandao, jee mbona kwa sasa hizo kiki hazipo? Kwahiyo nao wanaunga juhudi za magufuli Tanzania hakuna korona?

Kama wanaamini korona ipo kama walivyokuwa wakiwasaport mabeberu wao, jeee kunajuhudi zozote huyu mzee wa kiki za miujiza amechukua ilikorona isiendeleeee??
Then unakuta na wewe una familia unaiongoza
 
Kwani ccm wanahajagani yakutumia nguvu katika kampeni?

Kampeni walishamaliza siku nyiiiingiiii saaanaaa, na ushindi wa Magufuli mwaka huuu ni wa asilimia miamojaaa.

Ndiomaaanaa tumewaaacha washuhudia kiki za miujiza ili wahangaike wenyewe kuzunguka kila siku ili wasijeraum hawakufanya kampeni.
Leo hii tu ukimuuliza mzee wa kiki za miujiza, toka arudi kutoka ugaibuni mpaka leo, anashinda kwenye nyomi ya watu rundo, muulize kama atanakumbuka kuvaaa barakoa, au kunawa mikono. Hii inaonesha korona magufuli ameitokomezaaa. Walibisha saana na kuomba rock down huku nao wakifanya kiki za maigizo za kufanya vikao kwa njia ya mtandao, je mbona kwa sasa hizo kiki hazipo? Kwahiyo nao wanaunga juhudi za magufuli Tanzania hakuna korona?

Kama wanaamini korona ipo kama walivyokuwa wakiwasaport mabeberu wao, jeee kunajuhudi zozote huyu mzee wa kiki za miujiza amechukua ilikorona isiendeleeee?
Hebu "warock down" kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom