Uchaguzi 2020 Kutoka kitabu cha ilani ya CCM: 2010-2015 Uchumi ulikuwa kwa wastani wa 7%, 2015-2020 Uchumi ulikuwa kwa 6.9% Kumbe tumerudi nyuma!

Duniahadaa

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
336
677
Ilani ya CCM 2015-2020 Ukurasa wa 7

1603001517881.png


Ilani ya ccm 2020-2025, Ukurasa wa 10

1603001560050.png


Hivi hizi kelele zote hasa huwa za nini wakati namba zinaonyesha jamaa na CCM mpya yake wame- drop? Kumbuka hizo ni mukuu kutoka ilani ya CCM yenyewe.

NB: Moderator achia uzi ujitegemee, wala usiupotezee maana hizo hapo ni screeshot za kwenye ilani sio maneno yangu. Ukiondoa uzi nitakulaani.
 
Back
Top Bottom