Hii ndio Falsafa ya Mwl Nyerere juu ya Mkoloni mweupe kwa sasa tunae Mkoloni mweusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndio Falsafa ya Mwl Nyerere juu ya Mkoloni mweupe kwa sasa tunae Mkoloni mweusi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Aug 28, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,372
  Likes Received: 8,463
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  "Tumeonewa kiasi cha kutosha
  Tumeonewa kiasi cha kutosha
  Tumepuuzwa kiasi cha kutosha
  Unyonge wetu ndio unaotufanya tuonewe, tunyonywe na kupuuzwa.
  Sasa tunataka kufanya mapinduzi,
  Na Shabaha kuu ya mapinduzi ya Afrika ni kumkomboa Mwafrika. Ukombozi huu haudondoki kama mvua, bali hupatikana kwa kupambana na unyonyaji, ukoloni na ubeberu. Wala ukombozi huu hauleywi na watalaam. Wataalam ni sisi wenyewe tunao nyanyaswa, tunaonyonywa na kuonewa.

  Wajibu wa kujikomboa ni wetu na mbinu na utaalam........

  [​IMG]
   
Loading...