Ukifuatilia vuguvugu la kisiasa linaloendelea nchini kwa sasa, hususan ‘mnyukano’ unaoendelea ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), utagundua kwamba kuna shida kubwa mahali fulani na...
Huyu jamaa, hana kabisa mvuto akiwa jukwaani.
Siasa kwake naona si jambo alilonalo kiasili.
Anajitahidi sana kuongea na kudondosha vibwagizo akiwa jukwaani, lakini wapi! Hamna kitu kabisa...
Nidiriki kusema mchezo umeisha na CCM tumeliwa hadaharani.... Ingizo la Sheh Ponda katika kampeni za Lisu ni total disaster kwetu CCM.... Kwa ratiba ya Lisu niliona jana ataenda huu ukanda wa...
01: watumishi wa umma wote ,sababu mpaka sasa hawajapandishwa madaraja ,vyeo na mishahara wananyanyasika kazini bila hatia wanateseka uhakiki wa kila siku ambayo unawapa gharama kila kukicha.
02...
Mwenendo wa TV inayoendeshwa kwa kodi za watanzania wote bila kujali vyama vyao, ni mbaya. Wanaonesha LIVE mikutano ya kampeni za CCM pekee.
Kama walitofautiana na CHADEMA, kwanini hawaoneshi...
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.
Chanzo: Eatv
My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini
Maendeleo hayana vyama!
Nimekuwa Geita kikazi nikagundua CCM ilishafutika kabisa kule na Chadema inaweza shinda Jimbo lolote kule .
Kuanzia Bukombe, Geita mjini, Geita vijijini, Sengerema Buchosa hakuna kabisa kitu...
Wanabodi,
Huwa siandiki uzi kama sijapata hisia/kuwiwa kuandika ,siandiki kiushabiki ila napenda kushusha nyuzi nikiwa kama kijana mzalendo wa Taifa la Tanzania na mpenda maendeleo.
Huwa napenda...
#USAFIRI WA ANGA.
CCM inatambua kuwa usafiri wa anga ni njia muhimu na ya haraka inayounganisha visiwa vya Zanzibar na sehemu nyingine duniani. Katika Ilani hii, Chama cha Mapinduzi kitaelekeza...
Akizungumza na BBC kwa njia ya simu msemaji wa jeshi hilo, Luteni kanali Juma Sipe amesema kwamba habari hizo ni uvumi uliozagaa katika vyombo vya habari na kwamba hazina ukweli wowote.
Matamshi...
Wadau wa Sekta binafsi nchini Tanzania wanakutana na Mh Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. leo katika ukumbi wa JNICC kwa nia ya kumpongeza Kwa mafanikio ndani ya miaka mitano
Everything speaks for itself! Need I say more?
Uchaguzi huu ccm ni LAZIMA ianguke, suala ni kama watakubali kuachia madaraka kwa amani!
Ni uchaguzi ambao utatupatia UHURU mpya.
Mkuu wa mkoa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge ameagiza Manispaa ya Ilala kuhakikisha wanampiga faini mkandarasi wa ujenzi wa machinjio ya kisasa ya Vingunguti kwa kushindwa kukamilisha ujenzi...
FURAHA tuliyokuwanayo Watanzania, sasa haipo tena. Ni wakati wa kuhoji, kwanini maisha yamekuwa magumu kiasi hiki?, anaandika Faki Sosi.
Ni kauli ya Sheikh Ponda Issa Ponda, Katibu Mkuu wa Jumuiya...
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameibuka kupinga kurudiwa kwa uchaguzi wa Zanzibar na kumkumbusha Rais Dk. John Magufuli, atimize kwa vitendo ahadi...
Tukiwa tunasubiria ripoti ya CAG ya mwaka wa fedha 2017/2018 unaoishia June 30, 2018; Je, mapungufu yaliyoibuliwa 2016/2017 yamepatiwa ufumbuzi? Katika ripoti itakayotolewa, tutegemee kupigwa tena...
Uhuru wa Sheikh Issa Ponda umeingia katika sura nyingine kufuatia uamuzi wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kukata rufaa Mahakama Kuu kupinga uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani...
SHEIKH ISSA PONDA NA WATU WENGINE 50 WAPANDISHA KIZIMBANI MAHAKAMA YA KISUTU LEO
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam,Sheikh Issa Ponda, leo amepanda kizimbani na watu wengine 50 katika...
Polepole na Bashiru mnapaswa kujipanga upya. Hali halisi ya huku mtaani kwa wanachama wenu wamama, vijana na wazee ni hivi kwa sasa.
Yaani furaha kwa kila wasikiapo kuhusu Chadema bila hata...
Moja ya mdahalo unaondelea kwenye kampeni za urais ni kati ya maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu. Mimi nakubaliana na Tundu Lissu kwa kuchagua maendeleo ya vyote! UHURU, KAZI NA MAENDELEO...