Ukiongozwa una nafasi yakumweleza kiongozi njia sahihi pale unapobaini mnakwenda wrong direction. Mkiongozwa mnaridhia,mnakubaliana na kusimamia misingi ya kuongozana bila kupindisha au kuegemea...
Waingereza wana msemo usemao:
"If you cheat me once, shame on you: If you cheat me twice, shame on me!!"
Anakuja mwanasiasa anakupa ahadi tamu unampa kura. Baada ya kupata madaraka anakataa...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Queen Sendiga, amesema akichaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, akiunda baraza la mawaziri...
Kila mara tumekuwa tunamsikia Rais wetu akitamka kuwa Maendeleo hayana chama.
Kwa maana nyingine ni kuwa nchi hii ni ya mfumo wa vyama vingi, kwa hiyo mwananchi yeyote anaruhusiwa kuwa mshabiki...
Kamanga ateuliwa Mkurugenzi NIC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Oktoba, 2016 amemteua Bw. Samwel Peter Kamanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika...
Kuelekea katika tarehe za kupiga kura mimi bado naendelea kuwashawishi vijana wenzangu wa kitanzania kujitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura ili tuweze kuchagua viongozi tunaowahitaji ili...
Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni.
CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120
CCM ni chama...
Katika kipindi cha Utawala wa CCM kuna Sheria zilitungwa na kupitishwa na Wabunge wa CCM bila kutumia Busara. Leo hii zinaigharimu Serikali ya CCM.
1) Sheria ya FAO LA KUJITOA na KIKOKOTOO KIPYA...
Hii ni kengere ya kuwaamsha na kuwakumbusha tu,
Mnakumbuka yaliyojitokeza kwa watinia Nia udiwani na ubunge ilivyokuwa kazi kurudisha fomu, watu walitangiziwa njiani na kupolwa fomu. Hiyo ilokuwa...
Rais katengua Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa na ameteuliwa mhadhiri Chuo Cha usimamizi wa Fedha, IFM Dkt. Elirehema kuchukua nafasi yake.
Ni mhadhiri sio mkuu was chuo.
=====
Rais Dk...
Masaa ya Ukombozi yanakaribia tujitwalia Uhuru wetu kwa kura zetu. Kwenye diplomasia ya utawala kuna msemo wa kiswahili wenye maana sana unasema, "Wali wa kushiba huonekana kwenye sahani". Hii...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli le amteua Bw. Samwel Peter Kamanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC).
Uteuzi huu uanza rasmi leo...
Wazungu wanasema legacy ni pesa au mafao unayo yaacha kwenye jamii yako baada ya kifo chako. Dunia ya leo ina kumbuka legacy ya Mwalimu Nyerere si kwakua alijilikimbizia mali bali alijali watu...
Takriba miaka minne tumedhurumiwa kiasi cha kutosha haki zetu,wengi wetu tumenyanganywa nyavu zetu, ndoano, na vitendea kazi zetu ktk uvunaji wa samaki wakisema eti na zana haramu au samaki...
October 11, 2017
Polisi wamevamia mkutano wa Sheikh Issa Ponda katika hoteli ya Iris, Kariakoo. Taarifa za awali zinasema baadhi ya waandishi wamekamatwa.
Awali alikuwa anazungumzia kuhusu...
Wakuu heshima sana,
Kadri siku ya uchaguzi mkuu zinapokaribia nabaki najiuliza maswali kadhaa bila majibu.
Najaribu kutafakari ni eneo gani haswa CCM ilikosea ?.
Mosi, kununua wapinzani...
ASKOFU AFIKISHA SAUTI YA HAKI KILIMANJARO
Tarehe 19 Oktoba 2020. Nikiwa na Mheshimiwa Freeman Mbowe (Mwenyekiti CHADEMA), Mheshimiwa Tundu Lissu (Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA), na...
Wanabodi
Watu wameisha zoea ukitolewa wito, then wito huo uwe umetolewa na kiongozi fulani, mtu ukiwa nobody, huwezi kutoa wito.
Mimi ni nobody, lakini hapa natoa wito kwa Watanzania wenzangu...