Uchaguzi 2020 Davis Mosha: Kaskazini sio upinzani, tusifuate mkumbo

zanku

Member
Jun 9, 2020
69
149
Akiongea na Wananchi wa maeneo tofauti tofauti kaka Mkubwa Davis Mosha amewataka wanaMoshi kumchagua Rais Magufuli, Priscuss Tarimo na Madiwani wa CCM na sio kufuata mkumbo wakuaminishwa kuwa Kilimanjaro na Kaskazini Ni Upinzani hata iweje,

Kaka Mkubwa Mosha amesema leo wafanyabiashara wa Moshi na Arusha wanafaidika na kufufuliwa kwa reli Jambo ambalo lilikuwa ndoto

Mosha anaendelea na kuwaombea kura wanagombea wa CCM kila mahali.

 
Back
Top Bottom