AbbasTwalb
Member
- Oct 15, 2020
- 13
- 32
Nimefuatilia mwenendo wa chaguzi zetu kubwa kwa muda mrefu tokea tuanze kutumia mfumo wa vyama vingi vya siasa ili kupata viongozi mbalimbali wa ngazi za juu nikagundua miaka inavyozidi kwenda na kila chaguzi zinapozidi kusonga ndivyo hali ya chama chetu kilichotupa uhuru kinazidi kuangamia kipolepole.
Vyama vya upinzani vya miaka ya hivi karibuni vichache vyao vinamifumo mizuri mno ambayo kwa miaka ya mbeleni kipo kimojawapo kitatwaa mamlaka ya kuongoza nchi na sio siku za mbali ni hivi karibuni kama Sheikh Ponda anavyosema kwamba upinzani wanakaribia kuupata ushindi na hawapo mbali.
Kitakacho ipelekea CCM kufa mapema zaidi ni kuendelea kuamini juu ya siasa za mabavu ambapo baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho wamekuwa na wanaendelea kutoa matamshi hatarishi ambayo yanapelekea wananchi kuwa njia panda na kujiuliza hivi kweli hichi chama ndio kilitupatia uhuru 1961!.
Kwakumalizia ninauhakika Mwl Nyerere akifufuliwa sasa hivi na akaambiwa akisuke chama hichi cha Ccm upya kiwe kama zamani basi wengi wa wanachama wake wataishia Gerezani kutokana na makosa mbalimbali HASWA la uvunjwaji wa katiba na sheria.
N.B bado tunaihitaji CCM ila iwe mpya na ifuate misingi ambayo Mwl Nyerere aliijenga ili chama hicho kiwe msaada mkubwa kwa jamii bila hiana nitoe heko kwa Wanaccm wote wanaoamini siasa si uadui na wale wanaomini juu ya maridhiano na vyama vingine.
@abbastwalb